Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

SEHEMU YA SABA* CEO NISAMEHE SIRUDII TENA 7--8

9th Sep, 2025 Views 40



Upande wa Baba na Mama walijiona wakosaji na sio wazazi bora hata kidogo, walilala wakiwa na maumivu makali, kaka aliyamwaga mpaka wakajikuta wanalia wote, kulikucha wakakubaliana wajue muoaji na wapi nimeolewa, wakaanza kunitafuta, nilikuwa bado nimelala,simu iliita Naseer ndie aliisikia akaamka, aliona anaepiga ni mama, akaamua kupokea tu kuliko kuniamsha, alisalimia vizuri tu, mama akasema shida yake, Naseer akajitambulisha, na kuwaambia leo anaondoka na mimi kwanza nikapate darasa na ushauri kwa ajili ya kuweka akili yangu sawa nijitambue kama mwanamke, akaomba waonane baada ya mimi kuwa nimekaa sawa, na kuhusu yeye pia atakaa na mimi uko mpaka niwe sawa, akampa no zake na namna ya kumpata, nyumbani wote walisikia make iliwekwa sauti....

Mama kabla aliomba angalau anione hatujaondoka, Naseer alikubali akawaelekeza pakukutana na muda pia, walishukuru na kukata simu, Naseer alioga akatoka nakukuta Najma kalala pale pale sebleni macho yakiwa yamevimba mno, alimuamsha, Najma aliamka akiwa na hasira akawa analia tu nakumlaumu mme wake, "Naseer nakuchukia, nakuchukia kulikuwa na haja gani ya kumfanyia hivyo mtoto wa watu? Tena unamuoa.....

Najma tena nyamaza kabisa, nilikuwa nakustahi kwa sababu ya mwanangu Elham, sasa hivi naona naanza kushindwa kukustahi,sasa nakuonya Najma kaa mbali na mke wangu vinginevyo, nitakuja kukufanyia kitu hutokaa usahau wewe na familia yako yote, unanijua vizuri sana, sio mara ya kwanza kukufuma na mwanamke mwezio nilijua umeacha baada ya kukuoa na kukufumania na wanaume mara kadhaa, nikajua umeacha usagaji kumbe bado...

Nakupa onyo kaa mbaki na Thuraya, wengine wewe pita nao tu, nilipanga hili fumanizi, lakukuweka mbali na mwanangu mbali na jamii kwa usalama wa watoto wa watu, ila kwa ajili ya mke wangu Thuraya, naacha lipite kwa sababu nimhusika na siwezi kumacha adhalilike, mtu ninaempenda, na unajua nikipenda vile nakuwa ee? Sasa weka akilini nimependa, wewe nilishakuapia sitokaa nikuguse, sigusi uchafu tena, mwanzo sikujua, na nikwasababu ulinitia kilevi...

Sasa wewe endelea na wengine ila hii pisi yangu kaaa nayo mita mia, ha ha ha ha Naseer apo umechemka labada tu nikupe jibu mapemaaa, mimi Thuraya simuachi ata ufanye nini, unajua anachonipa baba anajua afu anajua tena kakuzidi mbali mno, "ha ha ha ha Najma wewe boya kweli umesikia vizuri jana mtoto alivyokuwa anaulilia ee, na kingine nadhani umesikia kabisa nimekata utepe kumaanisha nafasi yangu hapo hakuna wakuibandua, ndo nimeanza sasa tutaona nani atachukua nafasi kati yangu na wewe...

*SEHEMU YA NANE*

Walivimbishiana kisha kila mtu, akatoka nje, Naseer aliona muda unazidi kwenda na siamki, aliamua kuniamsha, nilishtuka na maumivu yangu, nikaanza kulia, Naseer alinibeba akaniogesha, nakunipaka mafuta, alikuwa kaniagizia nguo zingine, alinivisha mimi nilikuwa kimya tu natililisha machozi, alianza kunimbembeleza, akanikumbatia nakuniambia," Thuraya usihofu kila kitu kiko sawa, na hapa ndio sehemu salama kuliko popote, nakupenda sana mke wangu, naomba tutoke kila kitu nimeshaandaa....

Sikujibu chochote aliniinua nikawa naumia akaamua kunibeba, akanipeleka kwenye gari, akafunga alikuwa kashapakia mizigo nilibaki mimi tu, dereva alitoa gari, tulifika Airport, tukashuka, mimi huwa ni mtu wa tabasamu muda wote, lakini leo toka kumekucha hata kufikiria tu kutabasamu sikufkiria, nilishuka ivyo ivyo kwa shida...

Tulivyoshuka tu, mama, baba na kaka wakaja, ata sikuwa na furaha nao, niliwaona kama wameshriki mimi kupitia haya, wasingekubali mimi kuolewa saivi ningekuwa nyumbani, niliwatizama tu kama watu baki, walisogea mama akanikumbatia, nakuniomba tuongee, sikutaka ata kujisogeza, alinishika mkono anivute, nilipiga hio tambo moja ya ghafla kwa nguvu, nikajikuta naumia, nikalia, Naseer akawal kuja kunitizama, wote wakawa hawaelewi....

Naseer alinibeba na kunirudisha kwenye gari, akarudi na kumuomba mama aingie kwenye gari tuongee, kaka alihisi nimepigwa, akamfata kwa hasira Naseer nakumuhoji, kwa nini umempiga mdogo wangu, Naseer alikataa hajampiga, Baba alihisi kitu, akawai tu kumzuia kaka, nakumwambia ngoja kwanza tupate uhakika, mimi na mama, alikuwa anaongea mimi kimya. nalia tu ananiomba msamaha, kwa kutokunitizama vizuri adi dada wakazi kaniharibu, nilichukia nakijibu dada wa kazi. hajaniharibu, ila huyu shetani waliemruhusu anioe ndo kaniharibu, ata siwezi kutembea, mama alishtuka akahisi nimeingiliwa kinyume...

Akaniuliza kwa mashaka na kulia, nikamwambia naumia mimi sijawai kuingiziwa mimi, akauliza kaingiza wapi nikamwambia uku naona aibu, kwanza akashusha pumzi, akaniambia nisijali nitakuwa sawa, nilichukia nikamwambia atoke waniache tu, mama alitoka, akaja na kaka na baba, sikuwa nataka kuona mtu, kaka alianza kuuliza kama nimepigwa, nikakaa kimya, akajua tu nimenuna, akaanza kunimbembeleza, niko kimya tu...

Mama akaomba wanipe muda siko sawa, natakiwa kupumzika, wakamtizama, wakatoka baba alinipa kisimu kidogo sana cha sumsung kwa siri akanambia kama kuna hatari yoyote nitumie hio simu inakila kitu, ni ndogo lakini inaingia whatsup kashaniunganishia kila kitu, apo, alikuwa kabaki peke yake, angalau nikapata amani kidogo baba angu anajali ata usalama wangu...

Nilikipokea, nikaficha, waliondoka nikabaki nalia tu, Naseer aliingia nakuniambia, Thuraya mke wangu acha kulia basi, utaugua ujue, relax mimi sio mtu mbaya, alinikumbatia na kunilaza kwenye kifua chake, nililia mno, muda wa kuingia kwenye ndege ulifika, ilikuwa ni private, tulipanda, kulikuwa na kitanda kabisa nililala, sikuwa nataka kuongea na mtu yeyote kichwa kilikuwa kinauma vibaya mno...

FULL 1000
WHATSP 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SEHEMU YA SABA* CEO NISAMEHE SIRUDII TENA 7--8  >>> https://gonga94.com/semajambo/sehemu-ya-saba-ceo-nisamehe-sirudii-tena-7-8

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu
Kama wewe hujatimiza miaka 18+ usije nasema usije kabisa ni wakubwa tu

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest