UDHAIFU WA MR CEO
SEHEMU YA TATU*
mwamba kama anaanza Nikashangaa kunogewa vile, maana akawa ananikiss huku anahema juu juu kama mtu ambae amepoteza muelekeo, nikaona huyu anaelekea kutaka zaidi ya busu, nikajitoa mwilini kwake, akaniachia ila mnara ulishasoma zamani sana, akaniangalia kisha akatabasamu na kusema unaweza. kwenda sasa..
Nilikurupuka na kuondoka, sikutaka kupoteza muda kuendelea kukaa pale, asije kunibadilishia mada bila kutegemea, nikaondoka zangu..
Basi nimeyoka pale na mawazo ya kutosha, nikawa nawaza imekuwaje, mpaka kwanza akawa anaogopa kelele kiasi kile, na kwanini amelala na mimi na hali ya kuwa hata hanijui, nilikuwa nataman kumlaan, nataman kumtukana ila sikuwa najua hata naanzia wapi, maana kwanza nilikuwa namtegemea kwenye field yangu, nikaenda nyumban ninapo kaa, nilikuwa nimefikia kwa shoga yangu, hata niliporudi asubuh hakunihoji sana maana anajua mimi ni mtu mzima, nikaanza kujiandaa na mara baada ya kumaliza kujiandaa tu nikaanza kwenda zangu kazini, nafika kazin nashangaa kila mtu. ananishangaa na sio kawaida...
"kuna nini, ikabidi niulize mara baada ya kuona kama sielewi yanayoendelea..
" una mahusiano gani na boss? Yule niliemuuliza nay eye akaniuliza...
" hamna sina mahusiano nae yoyote yale, kwani
kuna kitu gani kimetokea?...
"yaan kama tunavyojua boss wetu huwa sio mtu wa watu, hata kama sisi ni wafanyakazi wake ila kumuona ni ngumu sana, sasa leo amekuja anakuulizia wewe, ndio maana kila mtu anashangaa maana sio kawaida yake. kumuulizia mtu, au ameshaanza kukupenda hautuambii, maana kwanza amesema ukifika tu uende ukamuone ofisini kwake, na si unajua mtu pekee ambae huwa anaruhusiwa kuingia ofisini kwake ni Yule msaidizi wake, hivyo inashangaza na wewe leo uende ofisini kwake, akanambia huyo aliekuwa ananiuliza....
Sikutaka kuhoji sana, nikaanza kwenda kwenye ofisi ya boss, alikuwa amesimama mlangoni kwake akiwa anazunguka zunguka kana. kwamba kuna kitu alikuwa anakisubiri, aliponiona hata hakuvunga akanisogelea na kunikumbatia kwa nguvu kisha akasema mbona umechelewa hivi kazini, unajua nilikuwa nimekuja mapema sana nakuulizia wew..
Nikashangaa ananiulizia mimi kwa minajili ipi, maana kwanza mimi sio chochote kwake, "kwanini ulikuwa unamuulizia mfanyakazi ambae hana cheo chgochote kile kwenye kampuni yako, ambae hana maana kwenye maisha yako, embu nambie ulikuwa unaniulizia kwa sababu gani?.. Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akajikoholesha na kusema "wewe upo hapa kwa ajili ya kupimwa ila nashangaa unachelewa, unafikiri nitakutafuta kwa sababu gani zaidi ya kukuonea huruma tu, mkufunzi wako akafika alafu wewe haupo...
Nikaona sababu zake hazina mashiko yoyote, nikamuangalia na mimi kwa sekunde kadhaa. kisha nikasema " naomba nikaendelee na majukum yangu, ukinihitaji kwa kazi yoyote unaruhusiwa kuja kuniita, kisha nikawa. naondoka zangu, ila ni kama hakuwa anataka niondoke kabisa, ila hakuwa anajua anaweza vipi kunizuia, nikashangaa anaanza kujikohoza kana kwamba amepaliwa, na kwakuwa nilikuwa mimi pekee yangu pale ofisini, nikaanza kumtafutia maji, kisha nikampelekea, ila nilipofika aliponikampa glass ila hakuishika na badala yake glass ikaanguka na akaanza kunikiss kwa fujo, ikabidi nijitoe mwilini mwake, Ila akawa anivuta kana kwamba alikuwa amenipania sana, ila nikamskuma kumuweka kibao, kisha nikaanza kumuambia "wewe sijui ni mwanaume wa aina gani, yaan kila nikikusaidia kwa lolote unataka kunilipa kwa kunifanyia ubaya, una shida gani na mimi, au ni kitu gani nimekukosea mpaka unataka kunikwaza, ila hata hakunijibu kabisa akawa zake kimya na mimi nikaondoka zangu.....
Basi mkufunzi akaja na nikaassesiwa na baada ya hapo nikashangaa mkufunzi ananipongeza na kunambia hongera hakika una bahati sana. kisha akaondoka zake...
Basi baada tu ya kufanyiwa usalli baada ya kama siku tano nikawa natakiwa kurudi chuo nashangaa ceo hataki, alikuwa anaitwa Edward marco, mfanya biashara maarufu sana kwenye jiji la dar es salam, yaan hauwez kutaja biashara bila kutaja jina lake kama ambavyo alivyo bwana vunja bei kwa zama hizi....
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Maoni