Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHEMEJI WEKAA...  Sehemu Ya 01
Gonga94 · Stories

SHEMEJI WEKAA... Sehemu Ya 01

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHEMEJI WEKAA...

Sehemu Ya 01

Ni stori ya kweli inayo muhusu binti mmoja anaeitwa ISABELA,.

ANZA:

Mimi naitwa Isabela ni mzaliwa wa wilaya ya kwimba mkoani Mwanza nilizaliwa mnamo mwaka 06/ 05/1987 katika hospitali ya rufahaa bugando.
Katika Familia yangu tumezaliwa watoto Wa wili Mimi pamoja na kaka yangu Gabriel na pia wazazi wetu walitulea kwa misingi ya dini na pia wazazi wangu na sisi kwa ujumla tuliishi kwa kutegemea kilimo.
Hatukufanikiwa kuishi na wazazi wote kwani mzazi mmoja alitangulia mbele za haki Mnamo Mwaka 1999
R I P (BABA YANGU )
Kipindi hicho sito kisahau kwani baba alitutoka kwenye mazingira ya kututatanisha nakumbuka siku hiyo ilikuwa jumapili asubuhi na mapema baba aliamka na kwenda shambani basi Mimi pamoja na mama na kaka yangu Gabriel tulichelewa kwenda shambani kutokana na shughuli
za asubuhi (KAZI ZA NYUMBANI)na tulipo maliza Kazi hizo tulielekea moja kwa moja shambani tukaungane na baba yetu kwa siku hiyo.
***
Tulifika shambani Mara moja hatukupoteza mda tulianza Kazi kwani tulikwisha muona baba yetu yuko ng’ambo ya pili akiendelea kulima.
Masaa machache yalipita baadaye Mara gafla BABA alipiga kelele na kunyamaza kimya wote tulishituka na hofu mwili mzima ulinitawala na ndipo tulipoelekea alipo baba yetu na tulipofika tulimkuta baba kalala chini na aongei tena Mimi nilijitahidi kumwita huku kila mmoja akilia kivyake, nilimwita sana, tulilia sana ila hapakuwepo na ishara zozote zile za kuonyesha kuhema kwa BABA yetu kitendo kilicho nifanya kugundua kuwa alikuwa tiyari ameshatutoka.
***
Tulisikitika sana kwani hatukujua nini kilimpata baba yetu na kupelekea mauti yake kwani alikuwa mtu mwenye afya nzuri siku hiyo.
***
Basi tulifanya mipango ya mazishi ambayo haya kuchukua mda mwingi sana yalikamikika huku tukisaidiwa sana na wanakijiji na wana ndugu wachache walio fika kwenye msiba huo,tulipo maliza mazishi kila mmoja alirudi na kuendelea na shughuli zake.
***
Mama alikuwa mpweke sana kipindi hicho kwani ndiye aliyekuwa nguzo yetu na mboni yetu kwa kila kitu kwani ndiye aliyekuwa akitusomesha kwa bidii na kutusihi tusome tuutokomeze ujinga Mimi pamoja na kaka yangu Gabriel,.
***
Kilichokuwa kina niuma zaidi ni kwamba Baba alitutoka gafla sana kwani nasi ndo tulikuwa ndo tumehitimu masomo yetu ya darasa la saba na kipindi hicho hicho ndicho kipindi ambacho tulikuwa tukisubili matokea yetu ya kujiunga na masomo ya sekondari.
***
Matokeo yalikuja vizuri mimi pamoja na kaka yangu Gabriel tulichaguliwa kujiunga na Masomo ya secondary,.
Mama alipo pata taharifa ya kuwa sisi tumefanikiwa kujiunga na masomo ya sekondari mama……….?

endelea kufutilia MKASA huu wa KUSISIMUA kwa KULIKE page yetu ili usipitwe na kipande hata kimoja,.
DAWA YA RAAHATU AL JIMAAI NI kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.

1? kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
2? dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
3? mishipa iliyolegea kwa kujichua nk

4? kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
5? Inarutubisha mbegu na kuziboresha
6? Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
7?Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
8?Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
9? Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
???? Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI MMEA SALAMA
Epuka aibu hii tumia" RAAHATU AL JIMAAI " ndio kiboko yao
BEI YA DAWA HII NI ELFU 25
INAPATIKANA MBAGALA CHARAMBE MIKOANI NA NCHI JIRANI KAMA NAIROBI NA MOMBASA TUNATUMA KWA BASI
ZANZIBAR KWA BOTI
NICHEKI WHATSAPP
0714282495 AU NITUMIE MESEGI NENO RAHAATU 0781637825 UTAJIBIWA
????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHEMEJI WEKAA... Sehemu Ya 01

SHEMEJI WEKAA...

Sehemu Ya 01

Ni stori ya kweli inayo muhusu binti mmoja anaeitwa ISABELA,.

ANZA:

Mimi naitwa Isabela ni mzaliwa wa wilaya ya kwimba mkoani Mwanza nilizaliwa mnamo mwaka 06/ 05/1987 katika hospitali ya rufahaa bugando.
Katika Familia yangu tumezaliwa watoto Wa wili Mimi pamoja na kaka yangu Gabriel na pia wazazi wetu walitulea kwa misingi ya dini na pia wazazi wangu na sisi kwa ujumla tuliishi kwa kutegemea kilimo.
Hatukufanikiwa kuishi na wazazi wote kwani mzazi mmoja alitangulia mbele za haki Mnamo Mwaka 1999
R I P (BABA YANGU )
Kipindi hicho sito kisahau kwani baba alitutoka kwenye mazingira ya kututatanisha nakumbuka siku...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shemeji-wekaa-sehemu-ya-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shemeji-wekaa-sehemu-ya
SHEMEJI WEKAA..  Sehemu Ya 02
SHEMEJI WEKAA.. Sehemu Ya 02
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

926
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

107
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest