SIMBA NA YANGA LIENI TUU π!!
Taarifa kutoka Congo DR π¨π© zinasema kocha wa zamani wa RS Berkane na AS Vita Florent Ibenge amefikia makubaliano na Azam FC ya kuinoa timu hii msimu ujao.
Kocha huyu atasaini kandarasi ya miaka miwili huku kwa mwezi akikunja Milioni 100 pale Viunga vya Chamazi Complex.
Ibenge anakuja kuisuka timu imara Chamazi Complex ambayo itakuwa tishio kwenye michuano ya CAF na atapewa Uhuru wa kusajili mchezaji yoyote ambaye ana mahitaji. #azamfc
#timuborabidhaabora #weareazamfc #ligikuutanzaniabara
#mpekeo_mtandala.