SONGA NAYO
Nilijikuta natetemeka haja kubwa na ndogo vinanishika Kwa pamoja nikamwambia mama ni nini iko mbona sielew mama akanijibu hujui iki ni Nini unajifanya umevurugwa ee c kipimo cha mimba iki briella anasema kilidondoka Jana kutoka katk mkoba wako afu unajifanya kuulz eti Nini iko unajitoa akili e😳😳 ndo nikagundua Sasa kile kipimo kilidondoka nilivyompiga Brie na mkoba wangu kipindi ambacho alikua ananizuia kuingia ndan nikawaza nifanye sasa apa Kwa haraka araka au nikimbie mana ni kwel nna mimba na mama akisema anikague atanigundua bas nikabak nimesimama ktk mlango ule mkubwa wa kutokea nje mama akaniambia Annabell sogea apa nataka uniambie iyo mimba ni ya nani niambie usinivuruge mimi ntakupasua nakwambia baba akadakia iv kwnn unanitia aibu we mtoto Yan Mimi nilikutegemea nikakutetea nikakupigania nilikueka kalibu yangu nikiamini we ni mkubwa unajielewa ona Sasa umefanya kitu Gani iki ee ntaweka wap sura yangu Mimi niambie 😔😔baba alikua anaongea kwa hasira lkn nlimuonea Sana huruma baba angu nikajilaum kwann niliruhusu cliff aniingilie ili siku wakat nilikua cku za hatari 😭😭 nilikua nalia nikamuona mama anakuja haraka nilipo nikaona aah Cha kufia nn nikatoka mbio apo mama anamwambia mlinz usimfungulie get uyo lkn mlinz alichelewa nilipita fasta nikaingia katk gari yangu nikaondoka nkawa najisemea apa naenda wap usiku huu nikaona ngoja nimpigie mimah lkn anaez kua na mwanaume wake nikasema au nimchek Agrey nikafkilia lakn nikaona sio vzr kusumbuana na watu usiku huu bas nikatafuta gest nikapak gar nikaenda kukodisha chumba
Nilikua na pesa katk sim na mkoba Wang ulikua na pesa na card yang ya bank ilikua na pesa nying Sana nikapata wazo kesho nikiamka naenda kuwai kutoa pesa kabla baba ajaziamisha mana Kwa Jins alivyokasilika anaweza akanifungia card yangu ya benk au akatoa pesa zote kunikomoa bas nikapanda Zang kitandan mawazo yalikua yananitawala nikawa nawaza chakufanya kila nnachokiwaza kinagoma aisee nikajiambia ngoja nilale kesh ntawaza vizr bas nikajilaza ivoivo japo kimagutu magutu nikapitiwa na usingiz nakuja kushtuka sa nne asubh jua linawaka nikaamka nikaoga nikavaa nguo zangu zile zile nikatoka mpk mapokez nikaenda kuongea na yule mdada wa mapokez nikamuulz apa kalibu Kuna bank akasema ipo apo tu mtaa wa tatu nikamwambia Asante sikutaka kwnda bank ya mbal nilihofia kuchlwsha muda baba atatoa pesa zangu nikatoka fasta nkaita boda boda nikaenda mpk bank nikamuyyule mkaka wa pale bank kama Kuna uwezekano wa kuhamisha pesa kutoka bank kwnda katika cm yule kaka akasema yes inawezekana ila iwe unatoa nusu nusu ukitoa yote itakuletea shid nikamwambia nataka kutoa m 10 yule kaka akasema aya bas nikatoa akanipa nyingine niliiach nikasema ntakuja kutoa kesho nikaondoka kulud kule gest nikampigia mimah nikamueleza akaniambia njoo kwangu tuongee mi pia sijaend kazn nikamwambia sawa nikatoka mpk Kwa mimah nilivyofk nikaliaaaa 😭😭😭 nilivyochoka ndo nikaanza kumuelezea Sasa akaniambia usilie bana kama unayo pesa tukafute chumba tutafute na biashara ufanye uku ukiwa unaskilizia mambo yanavyoenda nikasema sawa bas tukatafuta Dalal akatutaftia chumba nilitaka chumba kimoja tu skutaka mambo mengi nikapata chumba chenye umeme apo apo magomen ila hapakua karibu na Kwa mimah mi nilipata chumba magomen kanisani kilikua kikubwa ila sio sana Kodi ilikua elf 50 nikalipa miezi mitatu nilijua tu ikifkia kujifungua siwez kukaa apo ntalud tu nyumbn kwaio skutaka kulipia pesa nying bas tukaenda kununua vitu vya ndani tukavipanga nikaanza maisha pesa ya kula nilikua nayo na Agrey alikua ananipa saport mana nilimwambia kila kitu akaniahdi kunisaidia kwasababu tayal ameshakua ndugu yangu bas mimah akanishaul nifungue japo biashara nimueke ata mtu akae nikamwambia utanitafutia uyo mtu akasema yes nitakutaftia bas akanitaftia kasichana Cha apo jirani na kwake nikafungua tigo pesa nikaeka na vipodozi apo heleni chupi chupi Iko kischana kikawa kinauza namlipa mshahara Kwa mwezi Nampa laki nilimwambia laki ili asipate tamaa ya kuiba mana niliambiwa ukimpa msichana mshahara mdogo atafanya juu chini akuibie na Kwa vile yule hakua na majukum nikampa iyo kakafrai chenyw.... Mimah alikua akilud kazn anakuja kunipa umbea yaliyojili kazn akaniambia yule binam yako anakuja pale kila siku asubh anakuja kukuulizia nikamwambia achana nae kaona anipat ktk sim anaangaika Sasa akae atulie na mwanamke wake yani tangu nilivyoondka nyumbn ilipita kama miezi miwili sijawasiliana nao na sijui chcht kinachoendelea apo nmeblok namba za watu wa home naogopa kuwasiliana nao nilibak na namba ya Maggie tu na nilikua ata simtafut skuio nikaona ngoja nimtafute anipe umbea bas nikaeka vocha nikamtafuta nikamwambia nataka tuongee nenda kajifungie chumban kwako akaenda tukaanza kuongea akaniambia amenimisi sana
Akanipa umbea akaniambia Annabell unatafutwa nyumbn mama Ako Analia tu bibi Ako alikuja shangaz yako pia walikuja alikuja na yule cliff Ile cku iloyoondoka nae alikuja 🙄🙄 ndo nikajua Sasa kumbe alikuja nikamuulz alivyokua ikawaje akasema amekuta ndo inshu imekolea lkn ameshajua kama unamimba nikamwambia ehe ikawaje akasema walikua wanakutafuta wanasema namba zao umeziblok mama Ako Analia anasema ulud nyumban atakusamehe baba Ako alikasilik akataka kukufungia account yako ya bank ila bibi Ako alikataza nikamwambia cliff huwa anakujaga akasema anakujaga kila siku lazma aje kuuliza kama umepatikana alafu Sasa nikwambie juz kulikua na kikao cliff aliwaambia nfugu zake kwamba yeye ndo mwenye iyo mimba 😳😳 Nini kawaambiaje nikamuulz Maggie amewaambiaje akasema amewaambia yeye ndo baba wa iyo mimba na anakupend awez kukuacha nikamuulz baba akasemaje Maggie akajibu alihamaki lkn bibi na shangaz yako walimwambia inawezekana nyie kuoana wakambembeleza ndo akakubal kwaio kidogo kumepoa wanataman ulud nikamuuliza na vp kuhus Brie akasema yupo na shoga ake Diana wanapuyanga mitaani uko skuiz ata chuoni aend ila wazaz wako awajui wanamlipa ada tu🙄🙄 nikajikuta nasema ili toto lishashindikana nikamwambia Maggie usiseme kama tunawasiliana sawa Mimi nitalud lakn sio Sasa Maggie akasema saw dada nikamwambia ivi Maggie nikuulz akasema uliza nikamuulz aujawai kuskia ata wakimuongelea mchumba wa cliff mzungu apo home akasema apana cjawai kuskia ila Kuna siku cliff alikuja apa na mdada wa kizungu cjui ni mkorea yule sijui mchina anaitwa beby naskia ni mdogo ake 😳😳😳😳 ni mdogo ake akasema mdogo ake naskia Kwa upande wa baba ake uko yupo kama mkorea ivi anavimacho vidogo jina lake anaitwa challote naskia ila shangaz yako na cliff wanamwi beby nahs ni jina lake lingine ndo nikagundua kumbe yule msichana nilomkuta Kwa cliff Ile siku ni ndugu yake Mimi nilichkulia wivu na alivyomwta beby nikajua mwanamke wake kumbe beby ni jina lake aaah😂😂😂😂 wivu sio poa basi nikasema sawa badae ila cliff akikuulz kama unaongeaga na mm kataa ctak wanipate mpk niweke mambo yangu sawa akanijibu sawa dada nikakataa zangu sm apo miezi miwili ishapita tangu niondoke nyumban skuio mimah akanishaul kwnda clinik nikamulz naendaje na Sina mwanaum mana naskia clinik ukienda lazma uwe na baba wa mtt mimah akaniambia skuiz kila kitu pesa nenda hospital ya private unalipa pesa unapewa kad nikamwambia saw nipeleke bas mimah akasema poa tutaenda kesho
Bas kesho yake tukaamka asubh tukaenda hospital apo apo magomen ya private ila ni kubwa tukaingia zetu nikaa zangu folen kitumbo kilikua kimechomoza Yan mtu akiniona anajua ni mjamzito tofaut na kipindi mimba ndogo mana ckuwa na tumbo kubwa Sana ilikua ni mie 6 inaenda saba ila mwili ulijaa jaa kidogo kule kukonda na kufubaa kukaish nikawa atlist naonekana mtu katika watu😂😂 bas nikakaa folen tulikua watu watatu tu nilivyofika zam yngu nikaingia Kwa daktar 😳😳😳 daktar mwenyw ni kelvin rafki ake cliff afu ni rafk Ake kichiziiii nikasema tobaaaaaaa Nini iki naanza kukutana na watu nisio wataka jmn
Malizia season one na two kwa sh 1000 tu
Njoo WhatsApp 0743433005
Usisahau kusoma BOSS MI NAONA AIBU, na NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA kila moja ni 1000 kumalizia kuanzia pale nilopoishia fb
Kama hujazisoma pita kwenye page ya BURUDAN SIMULIZI 🟡🔵 uanze nazo
Nama ya kupata vipande vya mwisho lipia 1000 m pesa 0743433005 jina Agostino kisha unanicheki WhatsApp namba hiyo hiyo
Kusoma vipande vya mwanzo bonyeza 👇🏾
👉🏻👉🏾 Mr Burudan.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments