zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Twambie mpaka muda huu we ushaingiza shingapi?.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.