...Chapter 12
"Naitwa Edward marco, na Yule unaemuona kwell ni baba yangu, alimuoa mama yangu miaka kadhaa nyuma na walikuwa wanaonekana kama wanapendana sana, maana walikuwa wanatembea pamoja na kufanya vitu vingi sana pamoja, mpaka wakati ambapo nazaliwa basi nilizaliwa kwenye familia yenye upendo sana.....
Sikuwah kuwaza wala kufikiria kuwa baba yangu alikuwa amemuoa mama yangu kimaslai maana mama yangu alikuwa ni miongoni mwa watu ambao walitoka kwenye familia nzuri sana, familia ambayo ilikuwa maarufu na pia, familia ambayo ilikuwa inajiweza sana kikipato..
Kumbe alioa kwa malengo yake na alikuwa ana ndoa nyingine ya kanisan kabisa,na alikuja kwa mama yangu kuchuma mali na mama hakujua kabisa kuhusu hilo..
Mama akamuamin, pamoja na wazaz wake, kutokana na uchapakazi wake, na uhodari wake wakampa usimamizi mkuu wa makampuni ya wazaz wa mama, na hapo ndipo changamoto ilipoanzia...
Alikuwa anafanya kazi kwa uhodari mkubwa sana ila akaja akamtengenezea kashfa baba yake na mama yangu kuwa alikuwa anatembea na dada wa kazi wake, ambae ndio Yule mwanamke wake ambae alimuoa kabla ya mama kipindi hicho wate walikuwa wasichana wadogo tu, na akasema kuwa wamemuharibu sana, babu yangu alikuwa mtu mzima hivyo hakuweza kuhimili zile kashfa, maana alikuwa anaendesha gari, na miaka hio kukuta mtu ana gari ni lazima awe na maisha mazuri sana, hivyo akajikuta anapata ajali na kufariki hapo hapo....
Baada ya babu kufariki, mkewe nae alipopata taarifa kuwa mumewe amefariki nay eye akafa kwa pressure na bibi na babu yangu nao wakawa wamekufa siku moja bila kutegemea kabisa...
Kwakuwa mama yangu alikuwa ndio mtoto pekee kwenye ile familia, alipopata taarifa alinichukua mimi nikiwa mdogo, na wakati huo nilikuwa nina miaka nane tu, tukaanza kwenda msibani, ila wakati ambapo tunafika pale kwenye geti kuu la kuingilia kwa babu na bibi, tukawakuta wananchi, na walipomuona mama wakaanza kupiga kelele na kumlenga mama yangu na mawe, wakisema kuwa nay eye ana damu chafu ambayo inawakatili wadada waka kazi, kumbe hata haikuwa kweli, na mama yangu akauwawa nan wananchi wenye hasira kali siku hio hio...
Sasa kuna namna lile tukio liliniathiri sana, kwa maana kila nikisikia kelele najikutan naogopa na namuona mama yangu namna ambavyo alikuwa anauliwa, na kuanzia siku ile sijawah kuwa sawa tena mpaka sasa, na ndio maana sipatani na kelele, Ila naweza kukaa sehemu yenye kelele ikiwa nimeshakunywa dawa, ila kuna muda hata dawa zinakuwa hazifanyi kazi, na ndio maana nilichagua kufanya kazi kwa bidii na kutengeneza jina langu mpaka sasa nimekuwa mtu mwingine kabisa, ila nataman sana kuhakikisha namuona Yule mzee anateseka sana, maana ameniulia mama yangu, bibi yangu pamoja na babub yangu kwa sababu ya tamaa zake za mali...
Nilichukuliwa na kulelewa na rafiki wa mama yangu, na alikuwa anataka kuhakikisha kuwa namfanya baba yangu analipa, kwa maana aliona namna mama alivyofariki, na anadai kuwa ameshawah kumsaidia sana kwenye maisha yake kuliko kawaida, basi nikafanya biashara kwa nguvu na nikaanza kama mmachinga ila baada ya miaka kadhaa nikawa na kampuni na Yule mama yangu wa kufikia ambae ndio mama yangu mdogo nae akaweka nguvu zake mpaka sasa nimefika hapa nilipo fika.....
ITAENDELEA..Chapter 13
Sijawah kumuona baba yangu, ila kuna kipindi alikuwa anatuma watu kunitaifisha, maana alijua kuswa ni lazima nitamlipisha kwa akichokifanya, ila nilimshtukia na hakuweza kufanya jambo lolote lile, nikawa nimemshtukia mapema sana, hivyo hakuweza kufanya jambo lolote lile.... Basi hata ugonjwa wangu nilifanya siri sana na watu wangu wa karibu sana, sina uhakika kama anajua sana au laa, ila nitapambana nimuangushe kabla hajajua udhaifu wangu na akaniangamiza maana mimi kuna muda nakuwa kama kichaa au nakuwa kama mtoto mdogo kabisa anae ogopa giza, akasema...
Nilimuonea huruma sana, na nikamuuliza kuhusu kuwa na mahusiano nae, akanambia kiuwa alishawah kuwa na mahusiano ila Yule dada akawa anamlazimisha waende club na hali yakuwa siwez kupatana na kelele, hivyo nikawa namuacha aende mwenyewe, mwisho akaniona kama namboa vile, akaachana na mimi na kwenda kuwa na mwanaume wa kufanana nae....
Hata roho haikuniuma sana, maana kwanza hakuwah kuujua udhaifu wangu na pili sikuwa nampenda kama ninavyokupenda wewe, na nilikuja kujua hilo siku ambayo aliniacha hata sikuumia kabisa yaan, yaan nilikuwa kawaida kana kwamba sio mimi ambae niliachwa, ila kwako, yaan kwako shemina, hata nikikuona na mwanaume au una furaha ambayo haitokani na mimi, sio siri nachanganyikiwa kuliko kawaida, nahisi kama navurugwa sio utani, akasema nikamuangalia na kumuambia kuwa siku zote nitakuwa karibu nae na nitakuwa nae hatal iweje....
Akanikumbatia na kunikiss, kisha akasema unajua nimekuwa nikijizuiansana ili nisikukere, Ila ule wakati lumelala kifuan kwangu unaniambia, au wakati unanituliza huwa Napata hisia za ajabu, ila naogopa kuchukua hatua kwa sababu sitaki kukukasirisha, ila naomba kama hautajali nichue hatua hata mara chache maana nateseka mwenzio kila wakati, si unajua mimi ni mwanaume. tena ni mwanaume ambae nakupenda kuliko kawaida...
Nikamuangalia kisha nikamuambia mimi ni wako siku zote na unaruhusiwa kunifanya utakavyo...
Akanikiss kisha tukaanza ile michezo ya kiutuuzima, siku hio nikasema sasa na mimi nijiongeze maana nimekuwa kila wakati naongozwa mimi tu, nikasema kuwa niwe nahodha kwenye meli ya mwanaume wangu, nikamchukua na kuanza kumfanyia massage, yaan kwa namna alivyokuwa na hisia na mimi, yaan kwa massage tu akafika kilelen kabisa, baada ya hapo akaanza kuwa na pupa maana alipata bao la kwanza na kuanza kunikamia, nikaona nisimbane na siku ugwadu wake. ukipungua huenda nikawa nahodha maana sitamani kumtesa Edward wangu...
Basi tukamaliza burudan zetu kama kawaida, na ilikuwa raha rahani, yaan niseme nini nisipewe, nikawa natembea nae kana kwamba nilikuwa miongoni mwa viungo vya mwili wake, kwa namna ambavyo tulikuwa tunafatana sana kama kumbi kumbi...
Basi bana maisha yetu yakawa yanaendelea kama kawaida, na tukawa tunaenda kwenye mikutano ya watu wengi na wakati wote nilikuwa nakaa pemben ya Edward ili asije akadhalilika, siku moja nikamuomba sana niende nae hospital kuangalia afya yake, akakubali...
Tukaenda hospital na wakasema kama akilala pemben yangu analala vizur, basi mara chache anaomba nisiwe nalala nae ili kuangalia kama anaweza kulala pekee yake au laa, na kingine tuwe na tabia hata ya kuweka disko ndani mara kwa mara ili akili yake izoee kelele na wakatupa dawa za dharura ikiwa kama kuna lolote lile. ambalo litatokea na tukashindwa kulihimili
Full 1000
Whatsp 0784468229.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments