Vino Snap anasema kuwa usiku wa leo ameota kuwa Mamelodi Sundowns walikuwa wanaongoza 3-0 dhidi ya Real Madrid kwenye Fainali ya FIFA
30th Jul, 2025 Views 19
ππΏπ¦Mpiga Picha maarufu wa Afrika Kusini, Vino Snap anasema kuwa usiku wa leo ameota kuwa Mamelodi Sundowns walikuwa wanaongoza 3-0 dhidi ya Real Madrid kwenye Fainali ya FIFA Club World Cup!
Anauliza aendelee kuota ama azinduke upesi?π€£.
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Vino Snap anasema kuwa usiku wa leo ameota kuwa Mamelodi Sundowns walikuwa wanaongoza 3-0 dhidi ya Real Madrid kwenye Fainali ya FIFA   >>> https://gonga94.com/semajambo/vino-snap-anasema-kuwa-usiku-wa-leo-ameota-kuwa-mamelodi-sundowns-walikuwa-wanaongoza-3-0-dhidi-ya-r #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war