Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 06πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Wewe chukua Sweta uvae 😳😳 aliniambia Mr Paschal baada ya kuniona vile ninavyoteseka Kwa baridi...... Boss nilisahau kuiweka Sweta kwenye bag😟😟 ukasahauπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈwhy usahau na nilikwambia mapema kuwa huku Kuna baridi sana🌚🌚 nilisahau et! Mr Paschal aliivua Sweta yake aliyokuwa ameivaa akanipatia nivaeπŸ™ˆπŸ™ˆ kale kafilling nilikokapataπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ kwanza hiyo Sweta siyo ya kibongo my zanguπŸ˜†πŸ˜† ni kitu original kutokea USA πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ niliivaa then nikamtizama Mr Paschal machoni kwake nilimwambia thank you πŸ™ˆπŸ™ˆ! Aliniangalia then akaniambia it's okay pendo feel free! Haaa hivi ni yeye Kweli au naota🫣🫣 Mr kufoka Leo Kawa mpole Hadi ananiambia nifeel free🀣🀣 he is shangaza me Kwa Kweli! Safari iliendelea tulifikia Hill view hotel iliyopo jijini mbeya! Mr Paschal alilipia vyumba viwili Cha kwangu na Cha kwake! Tulikabidhiwa funguo Kila Mmoja akaelekea chumbani kwake! Vyumba vyetu vilikuwa viko Jirani Sana! Niliingia chumbani kwangu ilikuwa ni usiku niliweka bag langu hapo nikajitupia kitandani nilijifunika oops bardi ilikuwa ni Kali sanaπŸ˜΅β€πŸ’« kwenye simu yangu iliingia msg niliicheki ilitoka Kwa my booπŸ’‹πŸ’‹ aliniuliza Chakula ambacho nitapendelea kula usiku huo Ili aweke order! Niliwaza chapu chapu think think Nile Nini mmhh nichague Nini Sasa hebu Nile tu chip's yai na gland Malta! Nilimwambia Paschal ya kwamba aniwekee oda ya chip's yai pamoja na gland Malta! Baada ya nusu saa alinipigia akaniomba tushuke chini Kwa ajiri ya kwenda kupata dinner! Nilitoka Nikamkuta ananingoja nje ya chumba Changu nyie nyieeeeeeee πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ nilianza kujiona mie ndo Mimi πŸ™ˆπŸ™ˆ

Alivyoniona paschal aliniambia pole baridi ni Kali Sana! Alloh πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ hivyo ndivyo kinafsi Changu kilivyokuwa kinajisikiaπŸ™ˆπŸ™ˆ thank you boss πŸ˜‰

Tulishuka chini pale tukawa tumekaa sehemu tulivu amazing iliyokuwa na taa za rangi na kimziki Cha taratibu πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ chakula kililetwa nyama choma ya mbuzi chip's zangu ugali wa boss gland Malta pamoja na maji makubwa ya boss tulinawa na kuanza kula! Nilikuwa nakula Kwa mapowziπŸ™ˆπŸ™ˆ as you know nimekaa na handsomeπŸ€ͺπŸ€ͺ pendo kula mbona hauli unachezea tu Simu au unaniogopa mimiπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈ no boss mie ndo nishazoea kula taratibuπŸ˜‰πŸ˜‰ Mambo ya kujifagilia yakafikiwaπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ ooh it's ok πŸ’β€β™€οΈπŸ«° tuliendelea kula huku tukiwa tunatizamana Kwa kuibia πŸ™ˆπŸ™ˆ uwww aibu nyie 🀣 hivi ukila na handsome ndo unakuwa unajisikia aibu vile πŸ™ˆπŸ™ˆ mbona hamkuniambia akiiπŸ˜† nilikula Kwa tabu hivyohivyo Hadi nikashiba buana! Thank you boss I'm done😊 oh okay! Tulinawa baada ya Hapo boss Paschal aliniuliza kinywaji ambacho Huwa napendelea kutumiaπŸ˜‰πŸ˜‰ nilimwambia Mimi situmiagi vinywaji vikali I mean I don't like an alcohol 😌😌 oh but unaweza kuonja hata taste yakeπŸ˜‹πŸ˜‹ mmhhh sijui nikubaliπŸ™ˆ it's ok boss basi Wacha nionje kidunchu😌😌 Mr Paschal alimuita mhudumu🫰akawa ameagiza mzingaπŸ˜† aliniwekea Kwa glass na yeye akaweka yake tuligonga chears πŸ₯‚ nyie nyieeeeeeee 🀣 nilivyoonja nilihisi kama machungu🀭🀭 sikumeza nilirudishia Kwa glass😌😌 hello kunywa aliniambia paschal huku akiwa anaishika Glass yangu Kwa mikono yake na kuanza kuninywesha Ile 🍷 wine😌 nilijikuta nakunywa etπŸ™ˆπŸ™ˆ chezea kunyweshwa Wewe πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈHow does it taste!? Aliniuliza boo mmhh naanzaje Sasa kusema et ni chunguπŸ™ˆπŸ™ˆ nilimwambia oohπŸ˜‹ it's very sweet 😝
""Wow really!?""
"" Yeah Ofcz πŸ™ˆ""
"" so you enjoyed it!?""
""Yeah yeah I like it""
""πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚""
My boo aliendelea kunishawishi nami nikaendelea kujilazimisha tu ilimradi nisimkwaze🀣🀣 nyieeeeeeee kupenda huku mtu Hadi unakunywa kitu ambacho hujawahi kunywa na unaulizwa ladha yake unasema ni tamu na ilihali Wala hauenjoy taste ya hiyo kitu 🀣🀣 Alf Sasa mbona hamkuniambia kama ukishakunywa ndo unakuwa vile πŸ˜† mie nikaanza rembua rembua😌😝 smile smile😊😁 khaaa 🀣 hamkuniona tu nilitisha Walah basi nikaanza kumtizama boo Paschal Kwa kurembua Paschal naye na vile kichwani vitu vishaingiaπŸ˜†πŸ˜† basi akaishika mikono yangu na kuanza kunipapasa aiishh🀣 eh sangapi sijanyanyuka na kumtaka my boo anyanyuke tuchezeπŸ˜† ukisikia pombe si chai we amini tu 🀣🀣 Wala siyo uongo
paschal alinyanyuka pale kwenye kiti chake akanishika kiunoni tukaanza kucheza anajua kubambia mshenzi yule alikuwa ananipeleka taratibu aliichukua wine iliyokuwa kwenye Glass yake akawa ananinywesha nayy akawa anainywa Yani tukashea Hadi kinywaji imagine πŸ˜‰πŸ˜† baada ya ule mziki kuisha nilibakia namuangalia paschal Kwa jicho mlegezo huku nikiwa nampapasa kwenye ndevu zakeπŸ™ˆπŸ™ˆ alitulia akawa ananiangalia tu alinishika mkono akanikalisha kwenye kiti changu akaniuliza vipi nikuongezeee kunywaji??! Najibu Sasa mie rembua rembua all de tymeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilimshika mikono yake nikaanza kumpapasa huku nikiwa namchungulia machoni kwake🀣🀣🀣 nilitia aibu siku Ile Walah kama mtu angekuwa anaweza kujichapa siku Ile ningejichapa siyo Kwa ujinga ule niliokuwa naufanya Kwa bossπŸ™ˆπŸ˜† pendo are you okay!? Yeah 😁😊πŸ₯°

Niliushika mkono wa boss Paschal nikauweka mdomoni kwangu nikaanza kuuchumu chumu nyie πŸ˜†πŸ˜† mwanaume alibakia kunishangaa tuπŸ™ˆπŸ™ˆ pendo naomba nikupeleke chumbani kwako uende ukapumzike.... No boo nataka niendelee kubakia hapa na Wewe! Kesho tuna kikao uende ukapumzike aish nataka kupumzika na wewe😟 no unatakiwa kupumzika chumbani kwako right!? Boo I want sleep in your bed room with you πŸ˜”πŸ˜” with me!? Yeah with youπŸ˜” paschal alinishikilia mkono tukawa tunapanda juu chumbani kwangu mbona hamkuniambia kama ukilewa ukiwa unaenda mbele unaona ni kama ndo unarudi na ukiwa unarudi nyuma unakuwa unaona ni kama ndo unaenda mbeleπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† paschal akiwa busy kunivuta mkono nimfuate yeye namimi Niko busy kumvuta mkono namrudisha nyuma huku tulikotoka🀣🀣🀣🀣Alf hapo nacheka Cheka kama Kamala kalikoona madanga yenye HelaπŸ˜†πŸ˜† paschal alitamani kuninasa vibao 🀣🀣 alinibeba Juu Hadi chumbani kwangu akanitupia kitandani kwani namuachia SasaπŸ˜†πŸ˜† nilimvutia kitandani nikawa namwambia nyunyunyu chumu chumu chumu chumu ahahaha chumu chumuπŸ˜†πŸ˜†kaka wa watu alitubu nawambia πŸ™ˆ alinilaza kitandani akanifunika nikanyanyuka vile amefika mlangoni anataka kutoka nikamkumbatia Kwa nyuma🀣🀣🀣

Khaaa🀣🀣 lait kama Mimi ndo ningelikuwa paschal πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†au basi nimefupisha naomba tukutane badae katika sehemu inayofuata...............

Itaendeleaaaa...........
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 06πŸ’˜πŸ’˜


Wewe chukua Sweta uvae 😳😳 aliniambia Mr Paschal baada ya kuniona vile ninavyoteseka Kwa baridi...... Boss nilisahau kuiweka Sweta kwenye bag😟😟 ukasahauπŸ€·πŸΌβ€β™‚οΈwhy usahau na nilikwambia mapema kuwa huku Kuna baridi sana🌚🌚 nilisahau et! Mr Paschal aliivua Sweta yake aliyokuwa ameivaa akanipatia nivaeπŸ™ˆπŸ™ˆ kale kafilling nilikokapataπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ kwanza hiyo Sweta siyo ya kibongo my zanguπŸ˜†πŸ˜† ni kitu original kutokea USA πŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ niliivaa then nikamtizama Mr Paschal machoni kwake nilimwambia thank you πŸ™ˆπŸ™ˆ! Aliniangalia then akaniambia it's okay pendo feel free! Haaa hivi ni yeye Kweli au naota🫣🫣 Mr kufoka Leo Kawa mpole Hadi ananiambia nifeel free🀣🀣 he is shangaza me Kwa Kweli!...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-no-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-no
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 19...20πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 17...18πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 15...16πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 11..12πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 13...14πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 09πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜   NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 10πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 07πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 08πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.57K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.58K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.36K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.27K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.2K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.14K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.14K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.06K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest