Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10
Gonga94 · Stories

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"By Babie Love 0742133100"

Shangazi baada ya kuona mashuka alooh wacha aitishe mkoba wake wenye dollar 💵 😂😂😂niliziogaaaaa...

Nilimiminiwaaaa mpaka yale maumivu ya bikra yakapotea kwa muda😂😂😂🙌 shangazi aliniambia nikibeba mimba ya mtoto wangu wa kwanza nitaenda kumzalia America nyie😂

Nikaambiwa gari yangu ya kwanza nayotakiwa kumiliki ni Rangeeeeeeee😂😂😂nilipagawaaaaa😂😂😂kimoyomoyo nikajisema nitake nini mieeeee🙌

Kumbe haya mambo kweli yapo mwenyewe nilikuwa siamini😂😂😂🙌kumbe kujitunza kunaheshimisha kiasi hiki??

Familia ilinipandisha vyeo mme ndo usiulize alikuwa ananiona kama malkia nikikohoa tu ananiuliza babe umeniita???😂

Nilidekezwa zaidi ya walivyokuwa wananidekeza wazazi wangu😂😂😂🙌 kesho yake nilimpigia mamangu simu nikiwa natabasamu la pesa yote nikamsimulia kila kitu mama alifurahi sana jamani..

Aliniambia mwanangu ndoa ni baraka ndoa ni heshima heshimu mme wako heshimu familia yako mpya heshima ni utajiri...

Sawa mama nimekuelewa nitafanya hivo.... sina mashaka na wewe malkia wangu nina imani nimekulea vyema ninachofanya ni kukumbusha tu🥰..

Hahahaaaa bila shaka mama yangu❤️ tuliongea vingi mwisho mama akaniambia...

Tunakupenda sana binti yetu mwenyezi Mungu aifanye ndoa yako kuwa yenye furaha Amani na upendo wa dhati....

Kibarikiwe kizazi chako na daima machozi kwenye ndoa yako yawe machozi ya furaha tu mwanangu.... ndiyo mamaa🥹 nina imani itakuwa hivo❤️❤️❤️...

Ndiyo Maya hivo ndo itakavokuwa mke wangu nakuahidi🫂♥️

Alidakia Rouhy wala sikujua kama alikuwa nyuma yangu akinisikiliza kile ninachokizungumza kwenye simu🙈🙈❤️

Kumbe uko hapa??? Ndiyo mke wangu nitaenda wapi na kwako nimefika❤️❤️... Rouhy alinikumbatia na kisha alinipokonya ile simu na kuiweka sikioni..

Aliwasalimia wazazi wangu kisha wakazungumza... wazazi wangu walifurahi sana...

walimwambia Rouhy tunatumai mtoto wetu yuko kwenye mikono salama tunaomba sana umlinde binti yetu...

Mme wangu aliwaahidi kuwa hayo ni majukumu yake atayateketeleza ipasavyo🥰🥰🥰..

Nilifurahi sana mwenzenu🙈🙈nilijiona kama mwanamke mwenye bahati sana❤️❤️❤️..

Rouhy baada ya kuongea na wazazi wangu aliniuliza unaendeleaje mke wangu mzuri🙈🙈nikamwambia unataka uniumize tena??.

Akasema mke wangutukirudia itakuwa tamu sana nawe utaenjoy....

Nilimuahidi nitampa tena lakini siyo kwa usiku ulee... yale mahela niliyopewa na shangazi Rouhy aliniambia ataenda kunifungulia account bank niziweke..

Bibi yeye aliniambia zawadi yake atanipa nikijifungua tena aliniambia niharakishe kabla hajafa akione kitukuu chake😂😂😂🙌..

Ndo kwanza ndoa ina siku tatu nishaanza kuomba kitukuu😂😂😂kazi ninayo...ila kwa zile raha nilitamani niwazaze hata wanne kwa mkupuo😂

Mama mkwe wangu yeye aliniambia zawadi yake atayabadilisha maisha ya nyumbani kwetu

akiwa na maana ya kuwajengea wazazi wangu jumba la kisasa pamoja na kuwafungulia mradi wowote kule kijijini ili waweze kujikimu kimaisha....

Aliniambia Maya nimekupenda ukiendelea hivi hivi utavuna vingi sana kutoka kwangu❤️❤️nilimkumbatia mama nikamwambia asante sana mama mwenyezi Mungu akuzidishiee...

Wanafamilia wote walitoa zawadi akabakia Rouhy peke yake mpaka muda huo alikuwa hajasema lolose🙄🙄

Na kumtunzia kote huko jamani🙄🙄🙄au anapanga kunizawadia Dunia😂😂😂

Itaendeleaaaaaa

WhatsApp 0742133100

Itaendeleaaaaaaa...
Tangazo - Hostinger 2026 on fire
Hostinger 2026 on fire
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

"By Babie Love 0742133100"

Shangazi baada ya kuona mashuka alooh wacha aitishe mkoba wake wenye dollar 💵 😂😂😂niliziogaaaaa...

Nilimiminiwaaaa mpaka yale maumivu ya bikra yakapotea kwa muda😂😂😂🙌 shangazi aliniambia nikibeba mimba ya mtoto wangu wa kwanza nitaenda kumzalia America nyie😂

Nikaambiwa gari yangu ya kwanza nayotakiwa kumiliki ni Rangeeeeeeee😂😂😂nilipagawaaaaa😂😂😂kimoyomoyo nikajisema nitake nini mieeeee🙌

Kumbe haya mambo kweli yapo mwenyewe nilikuwa siamini😂😂😂🙌kumbe kujitunza kunaheshimisha kiasi hiki??

Familia ilinipandisha vyeo mme ndo usiulize alikuwa ananiona kama malkia nikikohoa tu ananiuliza babe umeniita???😂

Nilidekezwa zaidi ya walivyokuwa wananidekeza wazazi wangu😂😂😂🙌 kesho yake nilimpigia mamangu simu nikiwa natabasamu la pesa yote nikamsimulia kila kitu mama alifurahi sana jamani..

Aliniambia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/i-love-you-dady-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi i-love-you-dady
 I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘17 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘11 "By Babie Love
I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘09
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY💘❤️💘15
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘18 "By Babie Love 0742133100"
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
I LOVE YOU DADY💘❤️💘16
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘12
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘13
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘14
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘07
 I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘06
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘04
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘05
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.17K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.63K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest