Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10
Gonga94 · Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Tulifanikiwa kupata lile fremu lilikuwa kubwa zuri lina hewa na pia lilikuwa lipo barabarani hivyoo ni rahisi watu kuona lile bango pale la officine, ambalo tutaweka tukatoka hapo tukaenda sehemu ya mabango tukampa maelekezo na kuacha pale picha ya dada nakumbuka alipigaga kwenye graduation yangu ya chuoo hhhh alikiwa kapakwa make up akaona Ile inafaaa kuwekwa pale dukani tukampa na jina la saloon, tulitaka iitwe Mam classic saloon na kweli tulitaka iwe classic haswa maan tumeweka mtaji wa ml 4, kwanini isiwe pambe maan ile 1 ml, tuliiitoa pembeni kwa ajili labda ya mambo madogo madogo just kike usafiri, hayo mabango, wallpapers na mengineyoo, yaani sikumwambia hata Zakia kuhusu hili maan nilikiwa nataka nimfanyie suprise baada ya kila kitu, na nimueleze hadi pesa nilipoitoaa.

Tulirudi nyumbani sasa, tulikuwa tumechoka sana muda huoo Hussein hajanipigia bado ila kwa upande wa CEO alikuwa ananitumia text kila mara kunijulia hali ila nilikuwa nampotezea maana nilikuwa naona ananisumbua vilee, huku dada nae kapigiwa simu kwahyo we mam huji kazini? Mbona unakuwa mvivu wee sijui upoje wewe mwanamke hujui kwamba hapa ndio kula kwako, ishi kwako, vaa yako na unaleta ujeuri nakuoneaa huruma tu nitakufukuza kazi mshenzi wew yure mwajiri wa dada alikuwa anafoka sana dada anamsikiliza tu anamuona kam sijui kama mtu gani vile "saw ila mimi nishaaacha kwahyo, wafokeee hao wafanyakazi wako, siio mimi mimi mwenyew nakuheshimu tu kwasababu ni mtu mzima, maana ntakuja nikutukane saa hiz, afu hizo hela ninazokudai unaweza ukaongeza lasta saloon kwako usinichoshe mee saaa hizi nina mambo yangu alisema dada angu na akakata simu yake akaanza kucheka,

"Ila we dada hivyoo hujajipata hivi siku ukijipata itakuaje dada alicheka tuhzi ndio dalili za kujipata kwan bahresa aliaanza moja kwa moja kumiliki kiwanda cha ngano wee vipi? Shutka, halafu pokea hiyo simu mimi nina maji mkononi, ni mama huyo anapiga niliipokea na kuweka loud

Huyo mdogo wako yupo hapo?" Ilikiwa hata kabla ya salaam mama akaaanza kuongeaa alikuwa na shida na mimi, mama hata bila salaamu jamani? Haya binti yako huyu hap aliongea dada angu huku akinipatia simu niongee na mama" hallo mama shikamoo, "

"Marhaba hujambo binti yangu?" Mama alisema sijambo mama, vipo unaendeleaje kwani na hali? na huyoo mtoto wako wa kiume hajambo?" Nilimuuliza mama utampata saa hizi shgaa, yupo huko shambani na baba yako, me nimekuja nyumbani kupika" alisema mama yani mama huyo baba na hiyo miguu yake mibovuu anaweza kweli kustahimili kulima jaman mhhh mbona hivyoo jamani" nilikuwa nalalamika kwa Mama, yani mimi ni wa pili na jina mdgo wang mkubwa tu ila mimi ndio nadeka jamani hhhh sasa tutafanyaje binti yangu? tuna mtu wa kulima zaidi yetu, tunakuwa tu tunapeana likizo leo baba yako kesho mimi, huyo mdgo wako ataweza basi mikimikiki shga angu alisema mama mh nambie mbona umenipigia kuna nini?" Nilimuuliza mama Aah sijui ni boss wako sijui ni nani alikuwepo hapa, tumekaa nae hapa toka juzi, alikuepo nikakupigia simu kupitia simu yake haupokeii, nikajua upo mbali na simu shga angu, si unajua salio sinaga hapa ndio katoka kuondoka kurudi hukoo, maana kampa mdgo wako smartphone hapa yupo shambani anajishauaa, pia katuwekeaa umeme na katuvutia maji ....pia kabla hajamalizia

nikamdaka

mh akasemaje huyoo?" Niliiuliza Aaah kasema tu kuwa kuna fomu uliijaza kwenye kampuni yake, ili kuwasaidia wazazi wako ndio amekuja kushuhudia hili na hii nyumba yetu ipo inawekwa bati, mwanangu mhhh asante kwa hi tu umejitahidi kam usingefanya kazi hapo yasingetokeaa mhh asante, haya mimi nilipiga kukushukuru kisha akakkata simu jaman nilishangaa mbona mimi hakuna form niliyojaza. pale officine afu etyy hapana huu msaada sasa kwangu ulizidi jamani mhhh hata kam ndio kupendwa ni ni hiki jamani mhhh mbona kazid nikasahau hata sio kwamba kazid ni vile tu sijawahi pata mwanaume anaenihudumia ndio maana nilikuwa nashaangaa sana lililotokea

"Heee kumbe na nyumbani pia wameenda kampuni yenu ipk vizuri na hyoo boss wenu anaupendo kweli, haya mimi hadi nimeshindwa kumwambia mama. Habari njema ila jaman, hapana dada alikuwa anazungumza mimi sikutaka kumtilia maanani maana nilikuwa na stress zangu afu na yeye ananiingizia weusi nikaona bora tu nikalale ila hili la huyu CEO liliniwazisha sanaa, maaan sio rahis jaman mtu kukusaidiaa sana hivii hadi nikawaza au ndio

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10



Tulifanikiwa kupata lile fremu lilikuwa kubwa zuri lina hewa na pia lilikuwa lipo barabarani hivyoo ni rahisi watu kuona lile bango pale la officine, ambalo tutaweka tukatoka hapo tukaenda sehemu ya mabango tukampa maelekezo na kuacha pale picha ya dada nakumbuka alipigaga kwenye graduation yangu ya chuoo hhhh alikiwa kapakwa make up akaona Ile inafaaa kuwekwa pale dukani tukampa na jina la saloon, tulitaka iitwe Mam classic saloon na kweli tulitaka iwe classic haswa maan tumeweka mtaji wa ml 4, kwanini isiwe pambe maan ile 1 ml, tuliiitoa pembeni kwa ajili labda ya mambo madogo madogo just kike usafiri, hayo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*

736
 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

542
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*

216
REALLY LOVE* *26&27*

REALLY LOVE* *26&27*

212
MY CRAZY BOSS 10

MY CRAZY BOSS 10

170
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

161
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

159
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWE🙌* *1-5* * Facebook

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWE🙌* *1-5* * Facebook

32
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *

*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *

30
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

22

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.28K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.03K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.54K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.35K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED  ESCAPE FROM... Post Mpya
HOW TO BUILD A LIFE YOU DON’T NEED ESCAPE FROM...
@majario LIVE

Most people don’t actually hate their life. They hate how their days feel. The constant mental noise unfinished tasks waiting for texts living for the weekend scrolling to decompress from a day they barely chose So they...

This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998 Post Mpya
This cute moment from Pyaar To Hona Hi Tha perfectly captures the magic between Kajol and Ajay Devgn. Back in 1998
@majario LIVE

, this film gave us one of the most loved on-screen jodis of the 90s, and their chemistry felt so natural and effortless. Kajol was full of life, emotional, expressive —...

THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD.  THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL.  “El Mencho Post Mpya
THEY DIDN’T JUST KILL A DRUG LORD. THEY KILLED A DEEP STATE GENERAL. “El Mencho
@majario LIVE

” was untouchable for 30 years. He had drones. Armored vehicles. Land mines. He shot down a military helicopter. The CIA looked the other way. Why? Because he wasn’t just moving drugs....

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
@majario LIVE

Kilichoniashtuaa sio kwamba nilifika nje nikashtuka hapana, yaani nilishtukaa baada ya kuingia ndani maan nilimkuta Hussein na Zakia wapo ndani tena kitandani na kwa mkao. waliokaa kwanza wanaonekana kuchoka kana...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

Siku ile ilikuwa ndefu sana kwangu sikuwa najua nafanyaje maaa nilikuwa na mawazo sana yaaani hadi usiku unafika sijui kam ni usiku maaan nilikua nimevurugwa sana, hadi nikawa nalinganisha kati...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10
@majario LIVE

Tulifanikiwa kupata lile fremu lilikuwa kubwa zuri lina hewa na pia lilikuwa lipo barabarani hivyoo ni rahisi watu kuona lile bango pale la officine, ambalo tutaweka tukatoka hapo tukaenda sehemu...

*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* * Post Mpya
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
@majario LIVE

__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Nelly ni mtoto wa kwanza kwa baba yangu wazazi wangu hawakuwahi kuishi pamoja hivyo niliishi na mzazi mmoja tu ambaye ni mama . Niliishi na mama yangu...

*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWE🙌* *1-5* * Facebook Post Mpya
*NDOA YA MCHONGO BIBI NA MAMKWE🙌* *1-5* * Facebook
@majario LIVE

* *SEHEMU YA KWANZA* Huyu aliyegundua cabbage ni mboga, jamani jamani, nikimkamata uko kiama patachimbika 🤨, nikiwa nawaza kwa sauti, na hasiraa, bibi yangu akanipa za uso uku ananisogelea, "hio mboga imekukuza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO......... Baada ya yule dada kuondoka akaiingia sir Joseph huyu ni mshkaji wangu sana yani huyu kaka nilivyo mimi ndivyo na yeye alivyo, anapenda mademu huyu na kibaya zaidi ametongoza...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14
@majario LIVE

"Hapana sir, lakini mbona sielewi chochote..." "Utaelewa tu shika viatu.." Nilisema huku nikichukua fimbo, basi kijana wa watu akashika viatu nikamchapa pale viboko kama vitano na kumwambia aende, na sirudie tena 😂 Mtoto...

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
@majario LIVE

Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake. "Shikamoo...

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*
@majario LIVE

Kwanza Mimi na Enzo tukaangaliana, na Mimi Ndio nilikuwa na wasiwasi sana kuliko ata huyo Enzo, Walahi niliogopa sana, madam Groly alionekana kuchukia Sana na niliona hasira yake kupitia uso wake. "Shikamoo...

REALLY LOVE* *26&27* Post Mpya
REALLY LOVE* *26&27*
@majario LIVE

walimpeleka katika bahari iliyopo kigamboni na kumtupa katika bahari hiyo kisha wakaondoka walifanya hivo ili kupoteza ushahidi, upande mwingine fahima alikuwa anabembelezwa na mpenzi wake ili ale chakula maana hakutaka kabisa...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *12&13*
@majario LIVE

Kwanza nikashtuka na kumgeukia pully na kisha Nikamuangalia Enzo, kuna Namna ni Kama moyo wangu ulikubaliana na shida zote tu ninazozipitia, kabía Enzo ajajibu kitu chochote kile nikazungumza. "Naona mambo ni...

AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZOO* *SEHEMU YA 11*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana na muda huo huo moyo wangu ulingia ganzi kutokana na jinsi ambavyo namchukia sana enzo, Huyu kaka Walahi namchukia kuliko maelezo yangu. Niliamua ata kuachana na hiyo Pesa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest