Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*  *Chapter 5*
Gonga94 ยท Stories

AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *Chapter 5*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ANZA NAYO.....

Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi.

"Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?"

Ilikuwa ni SAUTI ya kike SAUTI nyororo sana na kwerrye mawazo yangu niliwaza Kuwa ni binti tu Kama Mimi, Maana ni Mtoto wa huyu mama ambaye amenichukua na kunileta NYUMBANI kwake.

"Ulitaka nifanye nini? Nimuache MTAANI au ? Suzy usisahau Kuwa ni wewe Ndio umemsababishia matatizo huyu binti, usisahau Kuwa wewe Ndio ulimgonga na kusababisha kupoteza kila alichokuwa nacho"

Hapo kwanza nikashtuka Maana naona taarifa ni mpya kabisa na ni tofauti na ile ambayo nilipewa mwanzo na mwana mama huyo.

"Ila mama sijui unajikutaga Nani, Yaani Sijui, wewe muda wote unatakaga kusaidia watu tu, kwani si ulishamtibia ungemuacha aende

alikokuwa anaenda tu"

"We unajua alikuwa anaenda wapi au? Suzy Kuwa na huruma binti yangu"

"Mimi simtaki Huyu binti hapa NYUMBANI"

"Ndio nimeshasema, Ishani atakuwa hapa ะฟะฐ sisi tukitazamia hali yake, na akikaa Sawa tu namuajili kazi za Ndani aweze kumsaidia mama Zena

"Utajua Mwenyewe Bwana"

Alijibu msichana huyo ambaye sikuwa Nimeona sura yake, Bali nilishika tu SAUTI yake na kujua

Jina lake kupitia maongezi Yao.

Kwa Namna moja nyingine, niliweza kugundua Kuwa, madam Groly ni mtu Mwema sana, lakini huyu binti yake sasa ni kazi juu ya kazi

Muda huo huo niliweza kusikia SAUTI za miguu ikisogea hivyo kwa mwendo haraka nikajiondoa eneo ilo na kwenda sebuleni na kubaki nikishangaa tu uku na uku.

"Umeshaamka"

Alizungumza mama zena bada ya kunikuta sebuleni nikiwa nashanga shangaa tu "Ndio mama, naweza kupata maji ya kunywa?"

Nilimuuliza mama zena ambaye ni msaidizi wa kazi za Ndani hapo.

"Nifuate"

Moja kwa moja Mimi na mama zena tukaenda jikoni, my zangu, kuna watu wanaishi kishua sana, Yaani huyu mama uwiiiiih, Uko jikoni kwake Ndio usiseme ni pazuri sana, hii familia

Inaishi maisha ya ndoto zao.

Baada ya muda familia nzima ilikutana kwenye meza ya chakula kwaajili ya kupata chakula cha usiku, na madam Groly akatumia muda huo

kunitambulisha kwa kila mtu, lakini pla kunikaribisha Rasmi kwenye familia yake uku akiniaidi kunisaidia.

"Asante sana mama Mungu akubariki mno"

Nilimshukuru kwa kila kitu ambacho madam Groly amenifanyia

Hatimaye mwezi mzima ukapita nikiwa kwenye Nyumba ya madam Groly na tayali nilikuwa ni Kama dada wa kazi na nilikuwa nikishare chumba kimoja na mama zena ambaye ni

mfanyakazi mwenzangu.

"Hivi ulimpelekea Suzy maji yake ya moto?"

Mama zena aliniuliza, muda huo Mimi na mama zena tulikuwa jikoni tukiandaa kifungua kinywa.

"Sjampelekea"

Nilijibu uku niliendelea kukanda ngano kwaajili ya chapati

"Ishani nae unapenda kugombana na Suzy, Yaani muda unayoyoma na ujampelekea maji yake

Alizungumza mama zena kwa style Kama

ananilaumu hivi.

My zangu iko hivi, Suzy ni binti ambaye yuko

makini sana kwenye kutunza mwili wake, ni binti

ambaye anauchukia sana unene hivyo, amekuwa

akifanya diet lakini pia uwa anakunywa maji ya

moto yenye limao kila siku asubuhi kwaajili ya

kuchoma mafuta ya tumboni.

Kabla sijamjibu mama zena, muda huo huo Suzy akaingia jikoni alionekana Kuwa na hasira Sana

na nilijua kabisa hasira yake ni juu yangu.

"Kwahiyo Unataka kila siku niwe nakukumbusha

kuja kuniletea maji yangu?"

Aliniuliza Suzy uku akinikanyaga vidole vyangu vya miguuni, imagine, yeye amevaa viatu, halafu

Mimi niko pekua.

"Suzy unaniumiza"

Nililalamika Maana viatu chake vilikuwa na soli ngumu sana.

"Ni jibu swali langu, Unataka kila

Siku tuwe tunakumbushana tu au? Kwani Ishani

wewe ni Chizi kidogo?"

Suzy aliniuliza kwa kunifokea Kama Mtoto Mdogo vile, lakini pia bado alikuwa akikanyaga

vidole vyangu.

Klukweli Mimi ni binti mpole na Mtulivu mno, lakini maisha ya manyanyaso ambayo nimeishi

kwa mama yangu Mdogo yamenibadilisha pa kubwa mno, Nimekuwa muongeaji mno lakini. pia ni mtu ambaye sitaki kabisa kuonewa, na kuna Namna Nimekuwa ni Kama mtu ambaye.

siwezi kuzuia hasira zangu.

Nilijikuta nikimsukuma suzy kwa nguvu sana na kwakuwa hakuwa ametalajia tukio fio, Suzy

akaanguka chini Kama Mzigo na kujikuta akiangukia makalio.

Mama Zena alishtuka sana na kwa haraka

akawai na kumnyanyua Suzy.

"Ishani Muombe msamaha Suzy

Alizungumza man zena akiwa amenikazia macho.

"Nafikili yeye. Ndio anatakiwa kuniomba Mimi

msamaha

Nilijibu kwa kujiamini mno.

"Nitakuonesha

Alizungumza Suzy kwa hasira kisha akatoka nje.

Baada ya muda Suzy akarudi na kuzungumza.

"Mama zena niletee maji chumbani"

Kisha akaondoka zake.

Kwa upande wangu niliendelea kukanda ngano

lakini kwa hasira sana.

Ishani ni nini lakini umefanya??"

Mama zena aliniuliza.

"Huyu msichana anataka kunipanda kichwani tu,

Jana usiku si aliniambia ataki Tena kuandaliwa maji na Mimi? Bado akasisitiza kuwa ataki kuniona chumbani kwake, halafu sa Hizi

ananiletea ubabe wake wa kijinga

"Lakini sio kwa style hiyo, Ishani usisahau Kuwa Suzy ni Mtoto wa boss wako"

Nilimuangalia mama zena kwa muda kisha

nikamjibu.

"Na yeye ajue mipaka yake Mimi ni msaidizii wa kazi tu na sio mtumwa wake"

Kisha nikaendelea na kazi zangu mie.

Kama kawaida Mimi nikishamallaga majukumu

yangu moja kwa moja Uwa naenda kukaa tu chumbani.

Ikiwa ni Majila ya Saa 1 jioni kuelekea saa mbili,

nikiwa na uchovu wa hali ya juu, nikajivuta vuta na kwenda jikoni kwajili ya kutenga chakula mezani Maana Uwa wanakula sa mbili au Saa 3.

Nikiwa natokea jikoni kuelekea Kwenye meza ya chakula, nikajikuta nikishangaa sana baada ya

kumuona madam Groly akishuka ngazi kwa kukimbia lakini pia alikuwa akishangilia kwa

Furaha sana uku akiimba

"Mwanangu, Mwanangu Mwanangu

Nilibaki nikimshanga na madam akaenda moja

kwa moja na kufungua mlango.

Uwiiiiiih kitendo cha madam Groly kufungua tu

miango, nilijikuta nikiangusha jagi la Juice

baada ya kukutana uso kwa uso na mkaka Yule aliyetoa bikra yangu nikiwa kwa ma Mdogo

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *Chapter 5*


ANZA NAYO.....

Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi.

"Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?"

Ilikuwa ni SAUTI ya kike SAUTI nyororo sana na kwerrye mawazo yangu niliwaza Kuwa ni binti tu Kama Mimi, Maana ni Mtoto wa huyu mama ambaye amenichukua na kunileta NYUMBANI kwake.

"Ulitaka nifanye nini? Nimuache MTAANI au ? Suzy usisahau Kuwa ni wewe Ndio umemsababishia matatizo huyu binti, usisahau Kuwa wewe Ndio ulimgonga na kusababisha kupoteza kila alichokuwa nacho"

Hapo kwanza nikashtuka Maana naona taarifa ni mpya kabisa na ni tofauti na ile ambayo...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-chapter-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-chapter
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

1.19K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118

618
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

525
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

492
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*

263
REALLY LOVE* *22&23*

REALLY LOVE* *22&23*

235
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*

124
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7

119
MY CRAZY BOSS 08

MY CRAZY BOSS 08

54
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8

45

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.25K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.34K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.33K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 11 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Japokuwa nilimfukuza lakini ukweli huyu binti nimetokea kumpenda jamani, Leo ndio naweka hisia zangu wazi maana siku zote nilikuwa nawaficha mnisamehe sana ๐Ÿฅน Basi somo liliendelea na hatimaye kipindi changu...

AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*  *Chapter 5* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *Chapter 5*
@majario LIVE

ANZA NAYO..... Kitendo cha kusikia Jina langu nilijikuta tu nikisimama niweze kusikia na kujua Kuwa hawa watu ni Kwanini wananiongelea Mimi. "Kwahiyo mama Unataka huyu binti akae na sisi hapa NYUMBANI?" Ilikuwa ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
@majario LIVE

Asubuhi ilifika sasa ila leo nilichelewa sana, japo huwa nachelewa ila leo ilijulikana dhahiri kwamba siendi kazini, naaamka hivi ilikiwa saa 4 inaelekea saa tano namuona dada bado yupo pale...

MY CRAZY BOSS 08 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 08
@majario LIVE

SONGA NAYO Usiku haukuwa usiku kwangu, kila dakika nilijigeuza nikiamini boss muharibifu atakuja muda wowote kwaajili yangu Muda ulienda hatimae nami nilipitiwa na usingizi , nilikuja kushtuka asubuhi ikiwa ni majira ya...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE*
@majario LIVE

baba cathe haraka akaichukua picha ile ili kuangalia mtoto mwenyewe aiseeeeeeee alikodoa macho hayo kama kaba roho hakuamini kabisa baada ya kuona mtoto mwenyewe ni catherini ambaye alimlea tangu mdogo yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 118
@majario LIVE

Zayd akasema.si mwanagu unanipangia kwa kumpeleka muache mtoto wangu. Mlige akasema muachie uyo mtoto. Akasema simuachii. Oyaaaa we mwanamke ongea na mshikaji wako. Mi ntakukanda wewe na bwana ako. Mlige...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜   N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 74...75๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Hongereni sana kwa jinsi mlivyokaa nahisi nyie ni wapenzi eh aliongea doctor ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ndiyo doctor wala hata hujakosea huyu ni mke wangu.... paschal alimjibu yule dactari.... jina langu ni...

REALLY LOVE* *22&23* Post Mpya
REALLY LOVE* *22&23*
@majario LIVE

walibaki kushangaana tu, baba cathe alishangaa sana maana hakumfaham mzee fahad lakini alishangaa baada ya mkewe kufahamiana na mzee huyo, pia cathe alishangaa kumbe mama. anamfahamu basi itakuwa vizuri msamaha...

REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA* Post Mpya
REALLY LOVE* SEASON TWO* *SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA*
@majario LIVE

upande wa baba cathe alimuita mkewe hapo seblen unawaona hawa wapumbavu wamekaa wakazani mimi sitasikia akakudanganya kuwa amekubaliwa kumb devi kaikataa mimba sasa cathe sitaongea tena ndoa umeivunja mwenyewe nakupa mda...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
@majario LIVE

Asubuhi ilifika maana nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana maan sikulala na niliona hapakuchi nilikuwa na mawazo sana niliinuka kitandani saa 12 kamili nikajiandaa nikahakikisha nampikia hadi dada angu chakula...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117
@majario LIVE

Mlige akanambia sikia sio kila wanachosema wazazi wnapatia. Nooo kma mama yako amesema anakupa radhi. Ukiludiana na mm ata mm mama yangu kanambia hivyo hivyo. Lakin faridah mi bila...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 72...73๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya ile simu ya mme wangu kuita niliipokea mimi kisha nikamuwekea mme wangu sikioni kwa sababu yeye mkononi kwake alikuwa kambeba mtoto..... nilimsikia baba lia akiwa anaongea kwa machungu...

*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest