*REALLY LOVE Chapter 20
fahima hakujibu kitu akarudi ndani naseven nae akarudi ndani, sasa ndonini miseme mbele za watu alisema
fahima
"siili uniamini kama nakazi nyingi alisema. seven
sasa kwani nisipokuamini wewe unaumia nini alisema fahima
unadhani ni rahisi kukaa hivo yani naona haupo sawa halafu nikae tu hujui kama namimi naumia nikikuona hivo alisema seven
"ok twende tukale alisema fahima
sawa ila nimekumiss sana alisema seven kisha akamsogelea fahima na kumkumbatia
"ujue nakupenda sana mke wangu kwahiyo tukiwa na mifarakano siwezi kabisa kuna kitu nimekimiss sana zaidi ya chakula alisema seven huku akimuangalia fahima ambae alitulia.
kwa wakati huo
mh kitu gani aliuliza fahima kwa tabasam
"nimekumiss sana wewe fahima pis nakuomba unipatie tu kidogo mke wangu nimejikaza sana ujue alisema seven kwa hisia mno
lakini mi naogopa sikulle uliniumiza sana alisema fahima
am sorry mamaa haitajirudia tena nakuahidi hautaumia tena" alisema seven
sawa alijibu fahima
nakupenda mwenzio alisema seven
nakupenda pia severni alisema fahima ebwana ee kasauti cha mahaba ka mtoto wakike kalimchanganya seven, alimvutia kifuani kwake.
taratibu akasogea mdomo wake na kumpa romance mtoto wa watu, alitulia nae ndani ya dakika 4 jinsi gani alimmisi mtoto wa kike kisha akaondoa mdomo wake
asante sana mke wangu twende kwanza. tukale kisha tukimaliza nikuogeshe nikuandae vizuri alisema seven
sawa asant pia mume wangu alisema.
fahima basi walifurahi sana wakatoka chumbani.
humo wakiwa wanatabasam fahima akaelekea Jikoni kuendelea na mapishi ya jioni huku seven akarudi sebleni kuongea na familia
muda ulienda sana hatimae chakula cha usiku
kiliandaliwa walikula kisha mzee fahad yeye akamua kuondoka maana muda ulienda mama seven na dada zake wakaenda chumbani kupumzika na fahima akaongozana na seven.
chumbni,
siku hiyo mtoto mzuri aliogeshwa aliandaliwa vizuri ipasavyo kimwili hatimae fahima.
alimtunuku penzi tamu sana seven yaani penzi
la utulivu sana lililomkolea seven kisawasawa siku hiyo walienjoy sana ndipo fahima akajua kumbe mchezo huu wa usiku ni mtamu sana, basi walimaliza na kulala siku hiyo walilala
usingizi mnono kwelikweli,
asubuhi na mapema nyumbani kwa mama
cathe, sikuhiyo calor aliamka akiwa na mawazo. sana, aliwaza mengi sana juu ya mdogo wake, aliamua kumfata nje ambapo ndio cathe alikuwa amekaa tangu alfajiri
naona leo umeamka mapema sana alisema calor
"ndio kaka alisema cathe
nimekuja hapa nina jambo muhimu sana. nataka tuzungumze alisema calor
sawa kaka alisema cathe
kabla ya kuzungumza naomba ujue kitu kimoja, cathe sisi wanaume tunajijuwa ni waongo sana kwahiyo hata ukinidanganya
nitajuwa tu hivi cathe nikweli devi amekubali hiyo mimba aliuliza calor cathe alishtuka sana hakutegemea swali zito kama hilo
nataka uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje mdogo wangu ukinificha haitasaidia kitu alisema calor
kaka nikweli kusema ukweli devi hajaikubari
ameikataa kaka amenikataa namimi pia sijui
nitafanyaje mimdanganya mama ili asinifukuze alisem cathe huku analia
dah usijari mdogo wangu nataka nikaongee na devi pia nikaongee na seven najuwa seven ni muelewa sana anaweza kunisaidia alisema.
calor
kaka seven hatonikubali tena mimi kaka alisema cathe.
usijari niachie mimi alisema calor, muda huohuo akajitokeza baba cathe akiwa amesikia
kila kitu wakati wa maongezi yao, cathe na calor walishtuka walipomuona baba yao waliamini kasikia kila kitu,
"wote njoeni ndani alisema bab cathe kisha akatangulia ndani, nawao wakafuata wakiwa na wasiwasi sana,
upande mwingine wa wapenzi hao wawill seven alikuwa anafungwa vizuri vifungo vya shati alipokaa sawa kila kitu akawa tayari sasa kutoka. kwenda kazini
kwa staili hii mimi sirudi tena nyumbani alisema seven nakufanya fahima acheke
Macha ujinga huko kumbuka leo wote mnarudi nyumbani mama kasema alisema fahima
"yani sirudi nani arudi sirudi kwalile penzi la Jana yani muda wote naliona tu utakuja kuniua fahima we haya tu alisema seven
"sasa seven ujue hivi tunazini mimi sipendi kabisa alisema fahima
"am sorry mke wangu nafanya maandalizi ya ndoa leo ndo nataka nikaandae kadi za mualiko wa harusi alisema seven
"wow nitafurahi halafu leo nataka nitoke alisema fahima
wapi yani usije kuniambia unaenda kwenu sitaki kusikia kabisa hapa ndo ushafika na usitarajie kutoka wewe ndio mama mwenye nyumba hii alisema seven
seven jamani hata sijamaliza mi nilitaka niende kwa agness tu kule bar kumsalimia alisema fahima
aha sawa ila tutaenda wote alisema seven
alokwambia naenda nani yani apa sitoki nitakaa mpaka utakapoondoka namimi nikupeleke na nikurudiahe nyumbani ndo niende
The seven hebu nenda kazini alisema fahima
kazini alisema seven maneno hayo yakamchukiza ghafla tu fahima akatoka
chumbani akiwa amekasirika seven nae akamfuata walifika seblen na kumkuta mama. seven anaandaa chai
"kumekucha nyie vipi asubuhi asbh kugombana tu alisema mama seven
mama mwambie seven aende kazini alisema fahima
"mimi siendi sasahivi alisema seven
"kwani shida nini jamani aliuliza mama seven
sihuyu apa hataki kwenda kazini anataka kufuatana namimi tu alisema fahima aiseee mama seven alishindwa kujizuia akaanza kucheka alicheka sana
sasa seven jamani mkwe wangu yupo nenda kazini mie sinipo leo alisema mama seven
mama uyu anataka kutoka siwezi kumuacha atoke pekeyake apa tunaenda wote na kirudi wote alisema seven
sasa hapo shida iko wapi basi fahima.
mwanangu usijari nenda na seven sawa mwanangu tatizo muelewe mwenzio anakupenda sana na anawivu sana ndio maana hataki utoke pekeyako alisema mama seven
sawa mama fahima alijibu kishingo upandw
kisha akaelekea jikoni, mama seven aliwaangalia sana akabaki kucheka tu
*MWISHO WA SEASON ONE*
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni