Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
Gonga94 · Stories

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa anaenda hospitali, mara anaambiwa mambo ya hormonal inabalance, kuna wakati anaambiwa kuwa ana uvimbe anatumia dawa lakini hakubahatika kupata ujauzito.

Mwaka juzi hali ilikua mbaya, nikajikuta naanza kuwa na hasira, namkasirikia mke wangu na kuona kama ananichelewesha, katika kipindi hicho chote nilikua sijawahi kuchepuka lakini watu wengi walinishauri kuchepuka kutafuta mtoto kwani umri unaenda, kweli nilifanya hivyo lakini kuna dada mmoja wakati niko naye namuambia matatizo ya mke wangu aliniambia kitu ambacho kilinichanganya sana.

“Mbegu zako mbona maji hivi, mimi mwenyewe ex wangu alikua kama wewe ananisumbua kuhusu mtoto kumbe yeye ndiyo mwenye shida!” Hapo ndipo niligundua kuwa, kumbe alikua kaolewa na mume wake alikua akimnyanyasa sana walivyoenda kupimwa wote mwanaume ndiyo akakutwa na tatizo hivyo akamuacha na sasa hivi anataka mtoto.

Wakati nakutana na huyo Dada nilimuambia kuwa mke wangu hazai hivyo alivyoona mbegu zangu ziko hivyo aliniacha kabisa kwani yeye hakua anataka mapenzi bali mtoto. Baada ya kuniacha kwakweli nilihisi kuchanganyikiwa, kwakua mke wangu kila akienda hospitalini aliambiwa sijui ana viuvimbe nikajua ni yeye sikuwahi kupima. Nilijipanga na kwenda mkoa mwingine nikapimwa nikaambiwa mbegu ninazozalisha ni maji tupu hivyo siwezi kumpa mwanamke ujauzito.

Ilikua ni siku ngumu sana kwangu, nilipima sehemu nyingine kama nne lakini jibu lilikua ni lilelile. Nakumbuka nilikua safarini ile narudi sina furaha mke wangu ananiambia kuwa ana ujauzito wangu. Sikuuliza sana nilikua na mawazo, nikaendelea kumhudumia mpaka akajifungua na sasa hivi ana mtoto ambapo bila kupima DNA kwa kuangalia tu magroup ya damu najua kuwa si mtoto wangu.

Sababu ya kuja kwako ni hivi, najua mke wangu kanisaliti na kwenda kuzaa na mwanaume mwingine, sijawahi kumfumania wala hanionyeshi dharau yoyote. Ananijali kama mume wake na mtoto ananipenda sana, lakini nashindwa kuelewa nitaishije na mtoto ambaye si wangu? Vipi siku moja Baba yake akija, nawaza nifanye nini kwani mwanzo niliamua kukubali hivyo hivyo, ila kwasasa mke wangu ananiambia ana ujauzito mwingine.

Najua mimba si yangu kwani nimepima tena bado tatizo lipo sasa nifanye nini naona kama kachepuka tena, nahisi kuchanganyikiwa na sijui cha kufanya. Mtoto kaniheshimisha, kuna watu wengi walikua wananidharau, nyumbani nilikua naonekana kama mtoto yaani kama sina akili ila baada ya mtoto kila kitu kimebadilika lakini nawaza hivi nitalewa watoto wa watu mpaka lini, nishauri, nimuambie mke wangu ukweli niachane naye au nivumilie tu na nivumilieje?

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa anaenda hospitali, mara anaambiwa mambo ya hormonal inabalance, kuna wakati anaambiwa kuwa ana uvimbe anatumia dawa lakini hakubahatika kupata ujauzito.

Mwaka juzi hali ilikua mbaya, nikajikuta naanza kuwa na hasira, namkasirikia mke wangu na kuona kama ananichelewesha, katika kipindi hicho chote nilikua sijawahi kuchepuka lakini watu wengi walinishauri kuchepuka kutafuta mtoto kwani umri unaenda, kweli nilifanya hivyo lakini kuna dada mmoja wakati niko naye namuambia matatizo ya mke wangu aliniambia kitu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miaka-7-ya-ndoa-mke-wangu-ana-ujauzito-mwingine-ambao-si-wangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miaka
 Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.   SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO  ENDELEA. . .   BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe. SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ENDELEA. . . BAADA YA MIAKA KUMI NA TANO
  NAKUPENDA  Sehemu ya : 1  By Miss Hamida Simulizi yetu inakwenda kuanzia Miaka ya nyuma kabisa kabla ya kila mtu hajaanza kumiliki simu, ambapo mtu akikupa...
NAKUPENDA Sehemu ya : 1 By Miss Hamida Simulizi yetu inakwenda kuanzia Miaka ya nyuma kabisa kabla ya kila mtu hajaanza kumiliki simu, ambapo mtu akikupa...
 NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MBILI ILIOPITA AKIUZA MAJI HUKU AMEVALIA NGUO ALIEKUA NAYO SIKU ALIFARIKI Episode 3
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MBILI ILIOPITA AKIUZA MAJI HUKU AMEVALIA NGUO ALIEKUA NAYO SIKU ALIFARIKI Episode 3
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEKUFA MIAKA MIWILI ILIOPITA SOKONI AKIUZA MAJI Episode 1
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEKUFA MIAKA MIWILI ILIOPITA SOKONI AKIUZA MAJI Episode 1
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA)  MTUNZI 🫐Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu  UMRI 🍓 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU 🍓01
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA) MTUNZI 🫐Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI 🍓 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU 🍓01
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA)  MTUNZI 🫐Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu  UMRI 🍓 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU 🍓02
"SITAKI MIEEE" (IMEBANAAA) MTUNZI 🫐Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI 🍓 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU 🍓02
Nina miaka 23, niko chuo mwaka wa tatu. Mwaka jana nilikuja hapa kwa dada yangu baada ya baba yangu kufariki, ambaye alikuwa ananisomesha
Nina miaka 23, niko chuo mwaka wa tatu. Mwaka jana nilikuja hapa kwa dada yangu baada ya baba yangu kufariki, ambaye alikuwa ananisomesha
🔞 ONYO: Hii ni hadithi ya wakubwa tu. Usisome kama hujatimia miaka 18.  ZUWENA NILIUZA BIKIRA YANGU  KIPANDE CHA 1 💔
🔞 ONYO: Hii ni hadithi ya wakubwa tu. Usisome kama hujatimia miaka 18. ZUWENA NILIUZA BIKIRA YANGU KIPANDE CHA 1 💔
"MKATABA WA TAIFA"      (OOOOPPSSSS)    UMRI 🤣 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU YA 01
"MKATABA WA TAIFA" (OOOOPPSSSS) UMRI 🤣 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU YA 01
 NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MIWELI ILIOPITA AKIUZA MAJI KWA STREET Episode 2
NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEFARIKI MIAKA MIWELI ILIOPITA AKIUZA MAJI KWA STREET Episode 2
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji waliotimiza umri wa miaka 18 Zawadi Sehemu ya 3
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji waliotimiza umri wa miaka 18 Zawadi Sehemu ya 3
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
Margret Chola, bibi mwenye umri wa miaka 85 aliyejizolea umaarufu mtandaoni kutokana na aina ya mavazi
Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11
Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11
ELIE MPANZU KIBISAWALA alisaini Simba mkataba wa miaka 2
ELIE MPANZU KIBISAWALA alisaini Simba mkataba wa miaka 2
🔞 ONYO: Hadithi hii inafaa kwa wasomaji waliokomaa (miaka 18+). Ina maudhui ya kihisia na kimapenzi. Tafadhali soma kwa  uangalifu.  ZUWENA  NILIUZA BIKIRA YANGU M KIPANDE CHA...
🔞 ONYO: Hadithi hii inafaa kwa wasomaji waliokomaa (miaka 18+). Ina maudhui ya kihisia na kimapenzi. Tafadhali soma kwa uangalifu. ZUWENA NILIUZA BIKIRA YANGU M KIPANDE CHA...
""'NAPANUA"''    UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU 💋 10 🍓🍁💋🍁🌲💘🍁
""'NAPANUA"'' UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU 💋 10 🍓🍁💋🍁🌲💘🍁
Miaka 4 iliyopita mke wangu aligundua kuwa niliwahi kuchepuka na kwa bahati nikapata mtoto wa nnje ambaye ki umri alikua ni sawa na mtoto wangu wa kwanza
Miaka 4 iliyopita mke wangu aligundua kuwa niliwahi kuchepuka na kwa bahati nikapata mtoto wa nnje ambaye ki umri alikua ni sawa na mtoto wangu wa kwanza
⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page...
⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page...
""NAPANUA"    UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18   SEHEMU🌹04 💘💘💘💘
""NAPANUA" UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU🌹04 💘💘💘💘
 FATE TO LOVE YOU 💓1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU 💓1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
""'NAPANUA"''    UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU 💋 09 🍁😅🌲🌼
""'NAPANUA"'' UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU 💋 09 🍁😅🌲🌼
🔞 Tahadhari: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima na siyo rafiki kwa walio chini ya miaka 18. Hadithi ya Watu Wazima:  Zawadi Sehemu ya 5
🔞 Tahadhari: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima na siyo rafiki kwa walio chini ya miaka 18. Hadithi ya Watu Wazima: Zawadi Sehemu ya 5
""NAPANUA"   UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18   SEHEMU🌹01
""NAPANUA" UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU🌹01
MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming).
MWISHO WA AI... Bill Gates: Hata baada ya miaka mia moja, kutabaki eneo moja lisiloshikika na akili bandia (AI), nalo ni kutengeneza programu(Programming).
""NAPANUA"    UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18   SEHEMU🌹05 🍓🍓🍓😭
""NAPANUA" UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU🌹05 🍓🍓🍓😭
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
Bado Kuna Miaka 2 na Miezi 7 ya Kutakiwa Kumkaba ELIE MPANZU KIBISAWALA
Bado Kuna Miaka 2 na Miezi 7 ya Kutakiwa Kumkaba ELIE MPANZU KIBISAWALA
SARA ni Binti Mdogo mwenye miaka 17 kutokana na umbo lake kubwa basi akajiona tayali kawa mtu mzima asie hitaji uangalifu wa wazazi..
SARA ni Binti Mdogo mwenye miaka 17 kutokana na umbo lake kubwa basi akajiona tayali kawa mtu mzima asie hitaji uangalifu wa wazazi..
""'NAPANUA"''    UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18  SEHEMU 💋 08 🌼😅🥀🍁
""'NAPANUA"'' UMRI💋 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU 💋 08 🌼😅🥀🍁
""NAPANUA"   UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18   SEHEMU🌹03
""NAPANUA" UMRI🌹 ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU🌹03
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

864
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

759
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

697
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

594
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

548
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

444
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

261
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

229
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

211
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

170

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest