Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
54 MPAKA 55
๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก

Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba na nilitoa mimba yake. Anashatoka na watoto wangu tu. Yule mzeee alimuangalia saan princess. Akasema princess punguza hasira mwanangu. Binadamu hukosea sana . Ila ni vyema kusameheana na maisha yakaenda . Mpe watoro wake usimnyime .mbona kasema kafanana nao. Princess akasema hajafanana nao uyu n muongo ni amechanganikiwa tu. Nikasema princess mi sijachanganikiwa .unamaan mi siwez kuona kinachonifanana. Yule madame faustina akasema princess ebu tupe picha za wanao tuone. Princess akasema mi siwapigi picha wanangu. Mh

Et watoto wa miaka 7 .hana picha zao anakimbia kuonesha mana anaelewa ni kwa jinsi gani nimewafanana watoto wangu.basi yule mam akasema sikia nikwambia princesss.ni bola tuyamalize aya mambo apa. Kama nahisi uyu jamaaa kakufanyia chochote kibaya. We sema . Atalipa faini. Utapewa ila kumnyima wanae utashindwa. Princess akasema sijazaa nae. Yule madame akasema.sawa kama hujazaa nae . Mnaenda kupima dna kesho. Na ikigindulika ni watoto wake atawahudumia. Na atakuwa baba. Na kama ukikataa kwenda kupima. Tunampa jamaa anaenda mahakamani uko hawatataka mchezo na hakuna kumbembelezana kama apa .ila utapokonywa watoto wako. Akabaki kimyaaa .

Basi tukamaliza kakao na muafaka kwamba tukapime dna za watoto kesho. Aseeee nilitoka na furaha hii siku mana niliona wanangu ntawapata .ni ambana kidogo tu. Basi bwana .kesho yake namtumia sms hajibu. Nampigia hapokei. Nilipiga .mpka nikapiga tena. Akanitumia sms ebu tok apa . Siendi kokote nishasema.sio wanao. Ila princess ahaaa uyu maa ni mbishiii. Aseeee nilipiga simu hakupokea ataa. Mi sikuangaika nae. Ila kesho nilikuja ustawi sasa . Nikasema.a kwamba jana mwenzangu hajakubali kwenda kupima DNA .akapigiwa simu akaambiw tunampa barua aende mahakamani.akajibu sawa mpeni tutajuana mahakamani . Mh anajiamini . Naelewa pesa kwao ipo. Kweli mi nikaandikwa barua ya kuanza taratibu za mahakamani sasa

Basi mi nikaludi kwanza moro kujipa mda kidogo. Mana daah kazi inanitaka na bado mambo mengne yananitaka. Nilimtumia sms kuwa mi nishapewa barua . Nimekuja moro baada ya week.2 nikija dar naaanza proncess. Akanitumia sms ili upate wanao nilipe fidia milion 50. Khaaa kwanza nikacheka ata least leo kakubali awa ni wanangu. Nikampigia mda uo uo .akapokea .nikamuuliza upo serious akasema ndio .nilipe iyo fidia nifidie shida zote nilizopitia mpka kufukuzwa nyumbani . Mh nikasema sawa nakulipa kesho mchana .akanmbia sawa hakuna shida. Daah nikacheka account yangu nna milion 25. Tena iyo ndo nilikuwa nimeplan nijazie jazie nikafanue finishing nyumbani kwangu niamie. Ila akivyonambia nimpe fidia aniruhusu kuwa baba kwa wanangu weeee. Nikaona ela natafuta chapu tu. Mi nikaanza kuwapiga simu wanangu wa kazini. Nikawa nawakopa kisenge. Yani uyu milion 5 uyu 6 uyu 2. Mpka nijafikisha milion 45. Kesho yake mchana akanitumia account namb yake nimuingizi pesa nikampigia .nikamwambia princess sikia nimekosa milion 5 . Naomba nikulipe hii 45 kwanza. Akanmbia no sitaki uswahili nataka yote. Bila ya hivo tutaenda uko mahakamani na ntakana sio mwnao na ntaona hautaamini ww. Ahaaa nikamwambia basi mama ngoja nipe dakika 10. Alinipelekesha kisenge. Mpaka majasho ya pumbu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Ahaa nikaanza kufosi milion 5. Alafu annazidi kutima sms ikifika jioni hujatuma iyo pesa utasahau kuhusu watot. Ahaa nilichanganikiwa . Nikafosi kinoma nikapata. Iyo alinikopesha mwanangi lemi .mana lemi mwenyewe nilishamkopa. Nikamtumia milion 50 kwa account. Yake. Kanmbia sawa utapanga siku ya kuja kuwaona wanao. Nilitamni kwenda iyo siju ila ata elfu 30 ya mafuta sikuwa nayo. Aliniacha na mpumbu yangu tu. Manina.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. Nikamwambia sawa. Akanambia kahaa si ulikuwa unadai watoto kwa fujo ww aya njoo uwaone. Mbona hutaki kuja . Nikajua unakuja leo.nikasema princess ntakuja week end . Kazi zimenibana. Princess akacheka akasema looh ata kuongopa huwez .sema huna ata mia pesa zote nishakupulusa mshamba ww. Nyooo kisha akakata simu yake. Nilijisikia aibu.na kweli hii siku sikuwa ata na buku mfukoni akiba zote nimempa uyu demu mamae.

Dah kweli kesho yake nimeingia job.nipo kma msenge. Yani ni vile gari yangu ilikuwa na mafuta na kazi msosi ni free. Ila nashukuru ilikuwa ni tarehe za mwisho wa mwezi. So sikusuffe sana baada ya siku 3 mshahara ukaingia sasa . Na kwenye biashara zangu kukatiki. Kwaiy kidogo . Ndo nikajiona mwanaume. Mana mwanaume bila pesa mfukoni daah sio powa . Kwaiyo iyo ijumaa ndo nikampigia princess sasa. Kuwa nataka kwenda kuwaona watoto. Akambia sipo nimeenda nao zanzibar kutembea kidogo. Nikasema mbona hujanipanga. Akanmbia ndo nakupanga kwaiyo kama bwana angu anataka kwenda kunitombea zanzibar nisiende kisa. Mh nikasema kwaiyo umeenda kutombwa na watoto? Akanmbia bwna sipo elewa hivyo akanikatia simu. Mi ikabidi nipoee.

Basi ikawa ndo hivyo. Kila nikimpigia ni sipo. Nimeondoka na watoto. Nimefanya iki na watoto. Asee mpka.nilichoka.simu iyo nimepigia akanmbia sipo nimeenda tanga .nimewapeleka watoto kutalii. Nikamwambia sikia princess. Nimeshindwa juu ya awo watoto tufanye nimeshindwa . Tumefanye upo huru na wanao . Na mm sio baba yao kuanzia leo mi sitawafatilia tena ao watoto unajua niliongea kwa uchungu mpaka nikawa nalia .akaniuliza ndo unajiliza makubwa. Sawa hakina shida nashukuru kwa kuukataa ubaba mapemaa sana . Kisha akakata simu yake ahaa nilichoka bwana miez 6 nambembeleza yey bado naoga matusi na dharau .aya kama nimekomsea sio kama hivi

Mi nikamkaushia kabisa princess. Yani ilikata kama mwez .siku iyo sasa hee simu yangu inaita bwana naangalia anayepiga ni princess kisha ananipigia video call. Mi nikashangaa. Ni usiku uo mdaa. Nikapokea ile simu . Mh nikamuona na yeye yupo maeneo ya nyumbani tu. Akanmbia watoto wako wanataka kukusalimia. Mh nikasema sawa wape simu. Kweli akawapa. Aseee hi siku nilipata rahaa ya moyo kweli kweli. Basi watoto wakwa wananinshangilia kabisa .et baba.unakuja kutufta lini. Ahaa aka ka kike ndo mkorofi et uyo sio baba yenu ni bab yangu et baba utanipa pesa nikanunue ice cream mana mama kaninyima .et baba utanipa na pesa nataka nikanunue kibanio cha nywele. Nikaona kabisa aka kakike aka katakuja kuwa kanapenda ela. Mwanaume wake atakoma๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. We siku ya kwanza tu anataka ela kisha nikanaonekana kasumbufu yani kanafosi kaongee peke yake

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

54 MPAKA 55
๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก

Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba na nilitoa mimba yake. Anashatoka na watoto wangu tu. Yule mzeee alimuangalia saan princess. Akasema princess punguza hasira mwanangu. Binadamu hukosea sana . Ila ni vyema kusameheana na maisha yakaenda . Mpe watoro wake usimnyime .mbona kasema kafanana nao. Princess akasema hajafanana nao uyu n muongo ni amechanganikiwa tu. Nikasema princess mi sijachanganikiwa .unamaan mi siwez kuona kinachonifanana. Yule madame faustina akasema princess ebu tupe picha za wanao tuone....

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-54-na-55

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

732
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103

513
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102

499
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

444
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

410
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53

318
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55

260
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

169
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

105
MY CRAZY BOSS 1 - 5

MY CRAZY BOSS 1 - 5

103

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทโค๏ธโ€๐Ÿฉน Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

โ€œThe CBF stands in solidarity with Vinรญcius Jรบnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™ Post Mpya
๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐‘น๐’†๐’”๐’‘๐’†๐’„๐’• ๐Ÿคฒโœจ

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest