Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm akiri haikamati kabisa. Nikasema lemi mi nipo kama week nataka niwekane sawa kbisa na princess akanmbia saw. Basi jioni saa nilmpigia princess tuongeee .aseee alivyopoke na akajua ni mm. Niljuta. Alinitukana matusi ya. Nguoni sitasahau. Unaua mi sijawah kugombana na princess mpaka akanitukana ata mjinga tu ila hii siku nilijutaa. Aabaaaaa yani aliuvua uanaume wangu wote akauweka paleeee

Alinambia we msenge si nishakukataza kunifatilia. Nimekwambia kaaa mbali na maisha yangu msenge ww. Unafirwaa eeh nakuuliza unafirwaa. Nimesema huna mtoto na mm wewe. Kwanza kwa mboo gani ya kunizalisha mm wewe. Una mboo ya kunizalisha mimi msenge ww. Sitaki nakwambia kwa nn huelewi .sina mtoto na ww. Ahaaaaa mbona nilitulia .sikuongea neno ata.moja. akanmbia we ni mshamba sana. Tena mshamba wa maisha . We ushanizalilisha mala ngapi. Nakuuliza ww ushanizalilisha mala ngapi. Ushanikataa mala ngapi. Leo unakuja na kimboo chako .nyoko nyoko watoto.nenda na ww kachanike mboo yako watoe. Au wambie wanaume wenzio wakufanyeee upate mimba ukazae. Aseeeee mbona nilikoma.mi simujua kama princess ana matusi hivi.namuonaga mpole kinoma. Akanmbia sasa kam ww mwanime endelea kunifatilia ntakuitia mwizi msenge kisheti wewe. Akakata simu ndwii. Unajua niliweka loud kwa pembeni alafu lemi alikuwepo. Aseee lemi alicheka hii siku๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Alicheka mpaka alikaa chini. Akanmbia oyaaaa mpka ukipata wanao .tupo hoi .uyu demu si wakisure uyu ndo anatukana hivi. Mi nimenuna apo nishaikoga mitusi ya maana . Lemi akanmbia daaah unanuna nn sasa. Mi ndo nimekwambia ukazae. Ila princess kiboko kumbe wanaume wanaza.a alicheka kisenge. Mi nilimind yale matusi yaliniingia kinoma.ila nikarelax nikajua ana hasira tu. Kesho yake sasa ilikiwa j pili. Lemi akanmbia huondoki kesho si job. Nikasema hpana bado mimi na princess tunahitaji kuongea. Akanmbia sawa . Basi hii siku nikaomba location aliyopo. Nikaambiw akaingia mikocheni. Asee mi nikapambana nitumiwe location nikachukua boda mpaka mikocheni. Hii siku lemi alienda kunuona mama yake mzazi .alipigiwa simu anaumwa. Mie ndo nikaenda mwenyewe sasa. Nilishajipanga kwa kila kitu asa matusi

Nimefika pale nikamuona yupo kwenye duka kubwa la pafyumu. Si kuna kioo .nikamuona kwa ndani kama vile anaongea na wateja.daah kwa haraka haraka nikajua apa ndo kazini kwake. Na kwa juu ya lile duka kuliandikwa jina lake . Kwa herufi kibwa zile usiku zinwaka. PRINCESS PERFYUMU. Mi nikasogea mpaka ndani nikaingia bwana daah yukagongana macho kwa macho . Akanipotezea mana alikuwa anaongea na wateja. Na alipomalozana nao . Akanmbia eeh shida yako. Mi nikamsogelea nikampigia magoti kabisa sikujali kwamba kwa nje watu wanaona. Ama vp. Nilimwanbia princess nisamehe tu. Nisamehe mama. Nipo tayari kwa kila kitu ila princess usininyime watoto. Princess nilipata ajali mbaya mno. Mi now siwez kuzalisha mwanamke princes.s. nionee huruma awa ndiop wanagu wa pekee. Na mtoto nilozaa na fatuma sio wangu. Fatuma alinibambilizia tu. Plssss proncess kama ni laaana ishanipata mama. Kama maumivu nishapitia .nisamehe tu niruhusu niwe baba kwa wanangu sasa.

Princess alinambia wewe apa ni kazini Apa ni dukani kwangu natafuta wateja sa hizi ebu ondoka usipatie nuksi. Nkasema nielewe mama. Princess akanmbia nenda ww mpumbavu mmoja .hivi we unajua mm nimepitia mangapi baada ya kuanza mahusiano na ww. Umenidhalilisha mala ngapi haji. Umenikataa mala ngapi? Umenitumia mala ngapi. Unajua nimeteseka vp na mimba.nimeshindwa ata kumaliza chuo. Nimefukuzwa mpaka nyumbani. Nimeteseka na mimba miez 9 nikiumwa mnoo. Niliangaika sana . Mimba ya watoto 3 .unahisi ni masihara leo unakuja na mapumbu yako unaongea nn wewe. Ebu nyanyuka uondoke haraka. Sina mda na ww. Na sitakaa nikakusamehe kwa yote umenifanyia. Yani nakwambia na mimba unanipa pesa nikatoe . Leo unakuja kudai watoto gani unikome mpumbavu ww.

Ondoka nakwambia ondoka. Aseee apo akaw anaongea uku analia akaanza kunilushia chupa za pafyumu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. Nikamshika nikamwambia tulia tulia mama plss akanmbia nimesema toka ofisini kwangu. Sikutambui na sikujui ondoka nimesema. Nikasema sawa naondoka.asee mwenzangu alishakuwa na hasira. Alinipiga na chupa moja maeneo ya uso mpka kimevimba..si mnajua chupa za udongo zile๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.. daaah ikabidi nimuache. Nikaondoka . Nilielewa nimemuumiza sana uyu mwanamke yani sana . Aseeeee nililudi home nimevimba. Yani princess ana hasira na mimi kinoma. Nikaona uyu siku nikienda pembeni kuna kisu atanichoma wallah . Mi niliomba kalikizo cha week 2 .nipo dar napambana na princess ahaa nilikuwa nakoma

Yani mi na lemi mpaka tulikiwa tunachanganikiwa .kuna siku tumeenda dukani kwake .katoka na ndoo ya maji ya kidekia. Akatumwagia kudadeki. Aseee maongezi yakaishia apo. Tukaludi nyumbani kupumzika๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. Mh nikaoana sasa inakiwa ni shida na mambo ni magumu mana hataki kuelewa kabisaa yani kabisaa. Lemi alinambia apa tutumie watu wazima . Kwaiyo sasa tukaenda kuongea na baba yake lemi. Nilimuelezea uhalisia kabisa mzee. Sikumficha wala .nilimuelezea kweli mm nilikosea .moja mbili na tatu. Ila tu sikuwa nimemwambia kuwa sina uwezo wa kuzalisha kwa sasa.ilo nilimueleza princess tu. Ila wapi ata huruma akunionea.tulimpa na location ya kwa princee . Na kweli mzeee alienda. Nlijua mzee ana busara uwenda ata nipa majibu mazuri san akiludi ilaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Alivyoludi mzee alinambia .nimefika mpaka kwa princess na nimefanikiwa kuwaona wale watoto. Asee mwanangu una damu kali na umejizaa. Ila yule mwanamke ana hasira sana. Hajanielwa ata kidogo. Tena ana hasira aswaa nafikiri baada ya kumpa mimba kuna shida kapitia so kaweka kisasi moyoni. Amenambia kwamba hajaazaa na ww. Na wale sio wanao ila wale ni watoto wako. Mmefanana sana . Yani mmefanana mno. Asa yule wa kike doooh. Nikachoka apo ni week.ya pili napambanai watoto ila wapi. Mzee akanmbia nakushauri kesho nenda ustawi wa jamii watakusaidi. Yule kwa maneno hawez kuelewa .nenda katumie sheria.nikasema sawa. Nyie si mmezoe ustawi wanaendaga wanawake kualalamika hawaudumiwi watoto. Sasa hii nilienda mm kutaka kuhudumia wanangu kidadeki๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51


Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm akiri haikamati kabisa. Nikasema lemi mi nipo kama week nataka niwekane sawa kbisa na princess akanmbia saw. Basi jioni saa nilmpigia princess tuongeee .aseee alivyopoke na akajua ni mm. Niljuta. Alinitukana matusi ya. Nguoni sitasahau. Unaua mi sijawah kugombana na princess mpaka akanitukana ata mjinga tu ila hii siku nilijutaa. Aabaaaaa yani aliuvua uanaume wangu wote akauweka paleeee

Alinambia we msenge si nishakukataza kunifatilia. Nimekwambia kaaa mbali na maisha yangu msenge...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-51

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

582
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

506
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

504
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 63๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 63๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

482
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

307
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

155
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

127
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

88
MALAIKA  SEHEMU YA 1

MALAIKA SEHEMU YA 1

65
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10

58

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.18K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™ Post Mpya
๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐‘น๐’†๐’”๐’‘๐’†๐’„๐’• ๐Ÿคฒโœจ

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
@majario LIVE

Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100
@majario LIVE

Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya paschal kuondoka pale Hemed alinichekiiii ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช kisha nayeye akaondoka akaniacha pale bila kuniongelesha chochote๐Ÿซฃ au ndo nimeachwa na woteโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ sa mbona hivi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž aah haya mambo ya kumiliki njemba...

Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini, Post Mpya
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini,
@majario LIVE

hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbili mnamo 2030, na kupindukia mnamo 2031 na 2047. Kupitia Shirika...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minongโ€™ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

โ€œMalaika! Malaika mwanangu!โ€ โ€œNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?โ€ Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA โ€œNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukuleโ€ โ€œYesu.....โ€ Nilipagawa huku nikiwaza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest