AAAAH IMETOSHA BOSS๐๐ N0 65๐๐
Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐ฃ๐ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐๐ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache peke yake๐๐ baby mie nataka kuondoka nirudi nyumbani ๐๐ oh sweery heart lakini ujue kukaa kwako kule nyumbani kwa Hemed kunaniumiza sana mimi yani hata kama haujawa tayari kurudi hapa nyumbani ni bora uniambie mimi nikutafutie sehemu nyingine ukae na watoto kuliko hivyo unavyoendelea kukaa na yule mwanaume unaniumiza et๐คจ๐คจ pole mme wangu basi nitafutie nyumba nyingine ili niondoke pale nyumbani kwa Hemed.....wazo la paschal nililipenda sana la kunipangishia nyumba nilitamani kuwa huru nimkuze kwanza yule mtoto mdogo alikubali kunitafutia nyumba tuliagana ilikuwa ishafika saa 3 za usiku niliondoka pale kwa paschal nikarudi nyumbani..... mercy aliniambia kuwa tayari kaishafika kule baani aliko hemed na wako wote wanapata moja baridi moja ya moto....
Nilimpigia hemed nikamuuliza niwapi aliko aliniambia kuwa yuko sehemu na marafiki zake ni wapi huko nije ucjali hata hivyo natarajia kuondoka huku sasa hivi usijisumbue kuja nitakujoin nyumbani soon tu.....oh sawa.... niliendelea kusubilia lisaa lilikatika nilitaka kumpigia tena kabla cjapiga mercy alinitumia voice note alimrecord hemed akiwa anampapasa matiti huku akiwa anamsifu kuwa yeye ni mrembo na mambo mengine kibao...mhhh nilitaka ushahidi mzito kiasi nilimuomba apige picha na hemed tena picha itoke hemed akiwa akiwa ameshikilia nyonyo ya mercy ili hata akiiona asiweze kubisha๐๐ cjy hata nilikuwa nawaza nini et nikikumbukaga hizi vitu najiona mjinga sana๐คฃ๐คฃ mercy alifanikiwa kuzipat zile picha na alinitumia usiku uleule...... Best mwenzio tyr nimeshaanza kupata hisia juu ya Hemed naomba uniachie huyuhuyu nimempenda yuko lomantic.... ilikuwa ni msg ya mercy mmmhhh๐ฃ๐ฃ huyu naye mbona ananifanya nione wivu๐ ni sawa mercy ucjali nikifanikiwa kufanikisha kile ninachokihitaji basi nitakuachia.....
Uuuuwwww kamoyo kalikuwa kananiuma lakini๐คฃ๐๐คฃ kila nilipoziona zile picha vile hemed alivyoikamatilia nyonyo ya mercy๐ฉ๐ฉ nilikuwa naskia wivu hatari....mida ya saa saba usiku ndiyo mida ambayo hemed alilejea nyumbani alikuwa kalewa kiasi kwa mbali huwa siyo mlevi anakunywaga kidogo sana na siyo kila siku mara moja kwa mwezi na mwezi unaweza ukapita bila kugusa pombe kabisa lbda akiwa yuko na mastress yake ndo anakunywaga kupitiliza.....nilivyomuona hemed nilishikwa na hasira sana nilitamani kuuliza kuhusiana na zile picha zake na mercy lakini niliona wacha nivute subra ili angalau paschal anitafutie nyumba kwanza ikishapatikana basi ndo niharibu huku kwa hemed.... na pia nikimuuliza leo hii anaweza akahisi kuwa ni mimi ndo nimemchezea mchezo ngoja zipite hata siku tatu......nilimpokea hemed nikamtengea chakula alikataa kula๐ฃ๐ฃ nilimbembeleza kula lakini alikataa pendo usijali kuhusiana na mimi we jali mambo yako tu.... aliniambia hivyo.
Hemed alipanda kitandani akalala namm nilijitupia kitandani nikalala yani ilikuwa hakuna kuongeleshana ni kila mtu na usingizi wake๐๐ kulipambazuka tukajiandaa kwenda kazini bado kulikuwepo na sintofahamu kati yetu.....ilipita kama one week kila jioni mercy na hemed walikuwa wakitoka jioni baada ya kutoka ofisini...... ilifikia pahala hemed akaenda kulala na mercy nyie siku hiyo nililia ๐คฃ๐คฃ ilikuwa ni usiku mercy alinitumia msg aliniambia samahani best mimi kiukweli leo naenda kumpa hemed nyama uzalendo umenishinda..... pia tumekubaliana kupeana penzi usiku wa leo kwa kuwa jana tulicheki afya zetu tukawa tuko sawa...... namkataliaje sasa wakati nilimwambia atakayemkubalia anajibebea huo ndo ulikuwa mkataba wetu....nilimwambia ni sawa mercy endapo kama atakukubalia we nenda tu nilijibu tu huku kichwani nikiwa najipa imani kuwa hemed hawezi kufanya hivyo.... kilichotokea sasa ni alifanya tena alilala hukohuko usiku mzima๐ siku ile sikusinzia nililia hadi asubuhi.....mida ya saa nne asubuhi ndo hemed anarudi nyumbani nilimfuata nikamkaba๐คฃ nilimwambia wewe ni msalit nakuchukia๐ฃ๐ฃ ila wanaume ni waongo just imagine hadi picha zake na mercy nilimuonyesha lakini hemedy alijikana kabisa na hata mercy alimkataa kabisa akadai hamjui.....
Nilimwambia mimi naondoka kwako๐ฃ๐ฃ alianza kunibembeleza lakini nilikataa nilimwambia I'm done with you๐๐ uuuww alilia๐คฃ๐คฃ lakini haikuwa sababu ya kunizuia mimi kuondoka tayari paschal alishanitafutia nyumba na aliniambia nisibebe kitu chochote kutoka kule nyumbani kwa hemed zaidi ya nguo zangu tu na za wanangu.....nilihamia mtaa mwingine kwenye nyumba mpya nilianza kukaa kule na watoto wangu pamoja na msichana wangu wa kazi......
Hata kule ofisini kwangu kwa zamani aliponitafutiaga kazi hemed niliacha kwenda boo alinifungulia biashara nzuri kubwa๐คธ๐ปโโ๏ธ๐คธ๐ปโโ๏ธ akaniambia tulia hapo mama watoto๐๐ sitaki uonane tena na yule mshenzi niliajiri wasaidizi kule katika ofisi yangu mpya uuuhuuu namie nikaanza kuitwa boss๐คธ๐ปโโ๏ธ๐คธ๐ปโโ๏ธ kila siku boo alikuwa anakuja nyumbani kwangu pale et akawa anajidai kuwa kaja kucheza na watoto๐๐๐kumbe kaja kucheza na mama mtu๐คธ๐ปโโ๏ธ๐คธ๐ปโโ๏ธ alikuwa anakuja na kuondoka wooiii mwisho wa siku alihamia kabisa๐คช๐คช alihamisha na nguo zake karibia zote akazileta mjengoni maisha yakaendelea alizidisha huba kwangu likawa la motoooo๐ฅ๐ฅ tulipanga safari kurudi Tanzania kwa ajiri ya kwenda kuzichota tena baraka za wazazi๐ซถ tulipanga kumtembelea mika kule gerezani ikiwezekana pia tuweze kumtoa kule...... pia tulipanga kulitembelea kaburi la mama yake Paschal......
Tuliondoka USA tukarudi zetu Tanzania tuliwatembelea wazazi wangu walifurahi sana kutuona pamoja walitubariki na kutusihi tuungane na tuzidishe upendo tusijeivunja ndoa yetu.... walinikarisha kikao wakanifunda๐๐ kufundwa kwa baada ya ndoa chezea ๐คฃ๐คธ๐ปโโ๏ธ tulimtembelea mika gerezani alikuwa kakonda sana๐ฃ๐ฃ alionekana kama mtu aliyekwishayajutia makosa yake hakuwa na kiburi tena alituomba radhi akatuomba tumtoe kule kwenye ile sehemu..... nilimbembeleza my chocolate wangu nikamsihi na kumuomba amsamehe ndugu yake alikubali kumsamehe alianza kufanya taratibu za kumfutia kesi alhamdulilah vyote vilifanikiwa mika aliachiliwa huru kutoka gerezani na kwa pamoja tuliungana kwenda kulitembelea kaburi la mama yao mika na paschal mika alilia sana na kugalagala kule kaburini alikuwa anajutia kwa ujinga wote aliokuwa akiufanya kipindi cha uhai wa mama yake tulimnyamazisha tulimsihi atulie alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa tulimtafuta saikolojist kwa ajiri ya kumtibu mika ili akili zake zikae sawa.....
Tulipanga kurudi zetu nyumbani kwetu USA paschal alimuahidi ndugu yake atulize akili afuate kile anachoshauriwa na mwanasaikoloji alimwambia kuwa akishakaa sawa atakuja kumfungulia campuni yake nchini Tanzania ili apate kitu cha kumuingizia pesa alimnunulia mjengo kwa ajiri ya kuishi mika alimshukuru sana mdogo wake na kila muda hakuacha kumuomba radhi kwa ubaya wote aliokuwa akimtendea hapo nyuma.... ilikuwa ni usiku muda ambao nilikuwa busy kupakia nguo zetu kwenye mabag yetu ya kusafiria kwa sababu kesho mapema tulipanga kurudi zetu nchini marekani mme wangu paschal alikuwa yuko bafuni anaoga..... simu yake iliita niliichukua nikaitizama ilikuwa ni video call ile na ile namba ilikuwa haijaseviwa na jina sikuipokea niliachana nayo..... baada ya simu kukata ilitumwa msg hey baby where are you nilikuja ofisini kwako kukutafuta lakini cjakukuta kuna kitu nataka tuongee ni cha muhimu sana kwako na kwangu please honey pick up my call.....
Itaendeleaaaa.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni