๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐! โค๏ธ๐๐๐ผ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐! ๐ฟ
Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
RATIBA ZA MAKALA ZETU
Hakuna Ratiba kwa sasa
Post Mpya
MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...
Post Mpya
AKIWA UWANJANI. โ ๏ธ๐ซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐คโ
Post Mpya
SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...
Post Mpya
Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Post Mpya
Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐ฃ๐ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐๐ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...
Post Mpya
alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...
Post Mpya
Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐น๐๐๐๐๐๐ ๐คฒโจ
Post Mpya
Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm...
Post Mpya
Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh...
Post Mpya
Baada ya paschal kuondoka pale Hemed alinichekiiii ๐ช๐ช kisha nayeye akaondoka akaniacha pale bila kuniongelesha chochote๐ซฃ au ndo nimeachwa na woteโบ๏ธโบ๏ธ sa mbona hivi๐๐ aah haya mambo ya kumiliki njemba...
Post Mpya
hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbili mnamo 2030, na kupindukia mnamo 2031 na 2047. Kupitia Shirika...
Post Mpya
49 MPAKA 50 ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...
Post Mpya
ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minongโono ya majirani iliyomchoma...
Post Mpya
โMalaika! Malaika mwanangu!โ โNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?โ Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....
Post Mpya
MR AB TULIPOISHIA โNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukuleโ โYesu.....โ Nilipagawa huku nikiwaza...
Maoni