WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
SEHEMU YA 1
ANZA NAYO.......
Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐
Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa kiume ni shida tupu ๐ maana kuna muda unajikuta tu umempenda mwanafunzi wako
Harafu sasa huyo mwanafunzi yeye anachotaka kutoka kwako ni maksi tu aisee ๐ bana bana mimi yalinitokea jamani
Yalinitokea zaidi ya mara tatu nikatoa rushwa ya maksi ๐ hii siku sitaisahahu binti alinihaidi nikimwekea maksi kubwa kwenye mtihani wake atanipa penzi ambalo sijawahi kupewa maisha yangu yote
Kwakuwa mimi nilikuwa mzee wa kupenda sana totozi na mademu sikupoteza hata muda yani fasta nikawa nimemuwekea maksi 100 ๐
Huyu binti mshenzi kabisa, popote alipo nakuapia nikikukamata sitakupiga bali nitakupeleka geto ambapo nitakushughulikia vibaya mno pamoja na hasiira nilizokuwa nazo
Za muda mrefu ambazo alinidanganya aweee nahakikisha hatembei kabisa ๐๐
Hahahaha๐๐ ndugu zangu na watu wangu leo nawaletea bonge la simulizi, simulizi hii inanihusu mimi hapa Henry Ooh au sir Henry ๐
Sasa Henry mimi ni mwalimu wa shule ya secondary hapa mwanza, hii shule bana ni shule ya zamani sana yani ya kizamani ila saivi imebadilishwa muonekano wake inapendeza sana
Na inaonekana kama shule mpya ambayo imefunguliwa siku chache zilizopita lakini hii shule inasadikika imesomesha wanafunzi wengi mno ambao baadhi yao wengine wameshazeeka kabisa ๐
Mimi ni mzaliwa wa songea mjini mjini huko, ila nipo mwanza kwa sababu ya kazi kama ambavyo nimewaambia mimi ni mwallimu ndio kwanza nimefika kwenye jiji la mwanza
Jiji ambalo linasifika kwa kuwa na fujo nyingi, aisee yani ninakaa kwa tahadhari kubwa nisije nikayaboronga mie ikiwa sina ndugu kabisa kwenye huu mkoa ๐
Eeeh bado sijajitambulisha vizuri, okay love jina langu kamili ni HENRY NESTORY nimezaliwa mkoani songea, mama yangu ni mgonjwa wa miguu ambayo imekuwa ikimsumbua kwa muda mrefu sana ๐ข
Baba yangu yeye alishafariki nikiwa kidato cha tatu ๐ฅน maisha yetu kule nyumbani ni maisha ya kawaida lakini kuna muda yanakuwa magumu
Sie nyumbani tumezaliwa wawili tu akianzia dada yangu Helen ndio namalizia mimi, yes mimi ndio rast born lakini inasemekana kwamba mama yangu alikuwa anataka kuongeza mtoto mwingine
Lakini alipoanza kusumbuliwa na tatizo la miguu akaairisha ๐ wazazi waacheni tu kama walivyo, dada yangu Helen ni muuguzi kwenye hospital iliyopo huko huko songea ni mtu ambaye hashindi nyumbani .
Kwa sababu ya kazi aliyonayo maana kuna muda anakuwa na shift ya usiku so hapo nyumbani tukaamua kumuweka mdada wa kazi awe anamuangalia mama
Basi maisha yanasonga mbele tukipata kidogo tunamnunulia mama yetu zawadi ili na yeye ajisikie furaha maana amebaki mpweke kweli ๐ข
Haya upande wangu mimi ndio kwanza nimefika huku mwanza so nimejipangia ka chumba na seble ambako nimelipia karibia miezi tisa huko, ili kasukume maisha mbele
Sehem ambayo nimepanga mimi ni zile nyumba ambazo ujenzi wake ni wa gharama sana, yani nalipia elfu 50 kwa mwezi huo mmoja ๐ฅบ nililazimika tu kupanga hapo maana sikupenda kabisa kujihusiha na nyumba za uswahilini
Maana kule kuna fujo sana nasikia usiku unatangiziwa wakati wa kwenda kuoga unapigwa makasi ya mbavu ๐ kitu ambacho sikitaki na nakiogopa sana
Sasa Henry mimi nsio kwanza ni siku ya kwanza toka nipange kwenye ile nyumba ambayo ina kila kitu maji yalikuwepo, umeme bila kusahau bafu na choo yani kilikuwa chumba kizuri ๐ฅฐ
Basi nilichofanya ni kununua kitanda changu cha bei sana kile ambacho ukilalia juu yake basi lazima usahau jina lako la ukoo kwa muda ๐
Nikanunua na neti zile originally wadada wanapenda kuita sijui neti za zipu ๐ basi nikanunua na gas na ndoo kubwa mbili na sufuria kama tatu hizi na sahani na mwiko
Eeh ili niwe najipikia maana sipendi kula hotelini kabisa, napenda kujipikia ndani, na nikipika chakula alooo ๐ฅฐ๐ฅฐ nyumba nzima inanukia
Baada ya kila kitu nilipanga vizuri kabisa bila kusahahu feni nayo nilinunua so vitu vile vizuri vilikaa chumbani harafu harafu ndoo na gasi niliweka seblen
Seble ikabaki kubwa haina hata kazi ya kufanya, ๐ basi baada ya kila kitu nikaoga na kupannda kitandani maana nilikuwa nimeshakula so kitumbo changu kilikuwa ndi
Muda huo ilikuwa saa 12 jioni na ilikuwa siku ya jumapili so kesho nilitakiwa kuriport shuleni, basi Henry mimi nikaingia online
Ambako nilianza kufatilia shule ambayo ndio nilitakiwa kwenda niliangalia na ufauli wa wanafunzi, kweli hii shule ilikuwa inafaulisha vizuri tu maana kwenye mtihani wa taifa wa form four ilishika nafasi ya 28 kitaifa
Basi kijana wenu nilipekua na ambavyo havikutakiwa kabisa baada ya hapo nikaingia whatsapp na kumpigia dada yangu, kwa kuwa siku hiyo ilikuwa weekend dada alikuwa nyumbani
So tuliweza kuzungumza vizuri pamoja na mama yangu, tulipiga sana story nikiwa naongea na ndugu zangu nikaisikia mlango wangu wa seblen ukigongwa
Kwanza moyo ukafanya puh, nikajua tu wazambuli wameingia, nyie hili neno nimelisikia baada ya kufika huku ngoja niwaeleweshe
WAZAMBULI, wazambuli ni kikundi cha watu flani ambao wanajihusisha na uhalifu kama wizi, kubaka, unyang'anyi, n.k
Kwahiyo kwa huku kibaka anafahamika kama mzambuli, mzambuli sio mbaba mkubwa, yani ni vijana wadogo sana wengine bado wanafunzi kabisa harafu wana vuta bangi ile mbaya ๐
Nazani mmenielewa sana tuendelee, sasa kitendo cha mimi kusikia mlango wangu unagongwa nikajua tayari nimevamiwa..
Ikabidi kwanza nishuke nikajihakikishie, kweli mwanaume nikashuka huku nikiwwa nimevaa pensi huku juu nikiwa kifua wazi, nilisogea taratibu mpaka kwenye mlango na kuchungulia kwenye kitobo cha kupitishia funguo
Nilimuona mdada akiwa amesimama huku mkononi akiwa amebeba sahani, sikusubili mara mbili mbili nikafungua mlango ๐
"Habari yako..??"
Alinisalimia yule dada.
"Salama vipi..??"
Nilimjibu huku nikimkagua juu chini kana kwamba nina msican ๐
"Salama, ah kuna chakula nimekuletea hiki hapa kwa sababu ndio kwanza umehamia hapa hata vyombo hujanunua so nimeona sio mbaya kama nitakupa angalau utulize utumbo.."
( ๐ kwahiyo unanifanya mimi mjinga sana siwezi nunua vyombo au kiherehere ndio kimekujaa, we kama unanitaka tu si useme. )
Nilijiwazia, kisha nikazungumza
"Aaah hata usijari dada yangu nimeshiba.."
Niliongea huku nikitaka kufunga mlango akanizuia
"Aah sio hivyo bana, unajua hiki chakula nimejitahidi kupika kwa ajiri yako jirani yangu so pokea hata ukila kidogo tu ..."
( mbona unanilazimisha hivyo, isijekuwa ukawa umeniwekea nanii zako huko harafu unipe mimi nile ili nikupende )
"Aah.."
Niliishia kusema hivyo
"Pokea kaka yangu tafadhali.."
Dada alikuwa analazimisha huyu, ikabidi nipokee tu kisha nikakitazama kile chakula, kilikuwa wali samaki.
"Hebu subiri kwanza.."
Nilimwambia baada ya kuona anataka kuondoka, basi mdada wa watu akageuka kisha akaniangalia
"Kula kwanza vijiko viwili hapa.."
"Eeh??"
"Nimesema kula vijiko viwili hapa isijekuwa umeniwekea sumu bure...."
"Aah kaka angu usifike huko me ni mtu mzuri tu na ninasali kabisa so kuwa na amani.."
( kwahiyo kama unasali ndio huwezi kumuwekea mtu sumu, hebu shika chakula chako bwana..)
Nilijiwazia huku nikimrudishia chakula chake, huyu mdada hakutaka maneno mengi alichofanya alichota kijiko cha kwanza na cha pili akala kisha akanitazama
"Haya umeamini sasa.."
Sikumjibu nilichofanya ni kuchukua kile chakula kisha nikamwambia asante na kufunga mlango, nikarudi chumbani nikiwa na hasira sana kwa sababu ya huyu dada kuniletea chakula
Ambacho kwa upande wangu nilikuwa nimshiba, nilifikilia kukimwaga roho iliniuma basi ikabidi nile hivyo hivyo, jamni kumbe mapishi ya mwanza ni mazuri hivi jamani ๐ฅฐ
Yani nilikuwa na mpango wa kula vijiko hata vinne ili kumlizisha lakini kwa utamu wa kile chakula nilikimaliza chote ๐ฅฐ nilikula huku nikimsifia mpikaji, jamani huyu mdada anajua kupika....
ITAENDELEA......
SEHEMU YA 2
SONGA NAYO.....
Baada ya kumalliza kula niliiosha sahani vizuri kisha nikatoka kumpelekea, hapo nilipokuwa naishi kulikuwa na wapangaji watatu ambapo ni mimi na yule mdada lakini na mtu mwingine aambaye simfaham bado
Basi mwamba nikagonga mlango, akafungua akiwa amevaa kinguo kifupi hicho walah shetan naomba uniepushe mbali ๐
Nami bila kupepesa macho nikiwa mkavu kama sijaona kitu nikampa sahani yake na kutaka kuondoka akazungumza
"Jamani si ungeacha tu nikaosha mimi.."
( ๐ we mdada kuwa na mipaka so ulitaka nikuletee sahani ikiwa chafu ili uniroge ) ๐๐๐๐พ
Katika ukuaji wangu wote ninaamini sana uchawi upo, yani ninaamini asimia 80 kuwa kuna watu wanachukuliwa misukule kabisa so nilikuwa makini sana
Nilichofanya mimi ssikumjibu yule dada nikashika njia na kuingia zangu ndani, nikimuacha akiwa ananiangalia tu....
Siku nyingine ikashika nafasi niliamka saa kumi na moja, ๐ ndio lazima niwahi maana ndio kwanza nina report, basi kijana wenu nikaingia bafuni na kuoga
Nilivyomaliza kuoga nikapigilia pamba zangu kali sana, katika siku ambayo nilijiona nimependeza basi ni hii siku aisee maana niliwaka kama moto ๐ na kibaya zaidi nina body nzuri awee mdada yoyote akinitazama hawezi kuchomoka walah
Basi Henry mimi nilikuwa tayari nikajipulizia na unyunyu ๐ฅฐ yani nilionekana kama mtoto wa kishua, saa kumi na mbili na nusu niko stendi.
Kwa sababu sehemu niliyokuwa naishi ilikuwa na umbali kidogo na shule ilipo so niliamua kuchukua boda huyoooo mpaka Muhandu Seco.
Kwa mara ya kwanza nikakanyaga kwenye hiyo shule bwana ๐ฅฐ shule ilikuwa nzuri na wanafunzi wake walikuwa na sare nzuri za shule mazingira yalikuwa yametulia na yalivutia
Nilifika nikashuka kwenye boda na kumlipa boda pesa yake, kisha nikaigeukia shule kuitazama, wanafunzi walikuwa wamekaa vikundi vikundi bila shaka walikuwa wanajisomea ilikuwa ni mida ya saa moja kasoro hivi
Nikajiuliza inamaana hawa wanafunzi wanafika shule saangapi maana mazingira yalionekana safi na sijui huo usafi ulifanyika muda gani..
Nikiwa natembea mdogo mdogo mara akaja mwanafunzi wa kiume, huyu mwanafunzi alikuwa mdogo tu kwa makadirio yake basi atakuwa na miaka 15 kama sio basi 16
"Morning sir..??"
Yule mwanafunzi alinisalimia huku akinipokea kibegi changu kidogo hivi cha kiume msije mkazani mkoba wa kike ndio maana nimesema kibegi
Kijana alikuwa na adabu sana, na mimi nikamuitikia ki roho safi tu akaanza kuniongoza njia
"Headmaster ameshafika..??"
Nilimuuliza akanijibu ndio, basi sikuwa na maneno zaidi akanipeleka mpaka ofsini kwa mwalimu mkuu, na muda wote huo wanafunzi walikuwa wananitazama sana walah
Kitendo cha kuangaliwa nilijua bila shaka nimependeza, basi Henry mimi niliingia ofsi ya mwalimu mkuu kwa kuwa alikuwa na habari za ujio wangu
Alinikaribisha vizuri na kunieleza mambo mengi, baadae akaja mwalimu mwingine tena huyu alikuwa wa kiume basi tukasalimiana palle akajitambulisha anaitwa sir Joseph
Basi ili kujuana vizuri na mimi nilijitambulisha pale, baadae kidogo niliweza kusikia kengere ikilia bila shaka ilikuwa ni kengere ya kwenda pared
Wanafunzi walikuwa wanakimbia hovyo hovyo kama kumbikumbi ๐ nilikuwa najionea tu maajabu ya hii shule, basi tulikaa mle ofsini kwa muda kidogo nikasikia wanafunzi wwanaimba wimbo wa taifa
Baadae kidogo wakaimba Tanzania nakupenda, walivyomaliza huo wimbo wakaimba wimbo wa shule aisee bora zile nyimbo za taifa waliimba vizuri ila wimbo wa shule ulinifanya nicheke walah
Yani kuna wengine walikuwa wanaimba kama hawakula usiku, sauti zinatoka ndogo kuna wale wengine wana bess hao, mpaka nikashangaa inamaana kumbe kuna vijana wana bess harafu kuna mimi hapa nina sauti na sio bess ๐
Baada ya muda kidogo tulitoka nikiwa nimeongozana na yule Sir ambaye alijitambulisha kama Joseph, nikiwa na mwenyeji wangu tulitembea mpaka pared
Kama zilivyo ratiba nyingi za hapa Tanzania mgeni lazima ajitambulishe ndio ilivyokuwa kwangu, Nikasimama mbele wanafunzi walikuwa wananitazama hatari kuna muda nilikosa kabisa kujiamini ๐
Ka uoga kakiwa kameanza kuninyemelea nikasogea mbele kidogo ili waweze kunipna vizuri..
"Habari zenu wanafunzi, natumaini mko poa, kwa majina yangu naitwa Henry Nestory, we unaweza kuniita sir Henry inatosha, ni mwalimu mpya kuanzia sasa nitafundisha hapa kwa mdarasa yale ya juu, asanteni sana..."
Nilimaliza kujitambulisha huku kijasho kikiwa kinanitoka mwanaume mimi, ๐ jamani sio kwamba nawaogopa wanafunzi hapana jamni ila kilichokuwa kinaniogopesha na kunifanya niweweseke bila sababu
Ni mabinti ๐ฅฐjamani kwenye hii shule kulikuwa na mabinti wazuri, yani wako smart harafu wengi wao ni slay queen Nyieeee ๐ kwa namna ninavyopenda mabinti wadogo nitafukuzwa kazi kabisa mungu naomba uniepushe mimi.
Basi bwana mwenyeji wangu akaniambia nimfuate bila ubishi nikaondoka lakini niliacha minong'ono huku nyuma, niliondoka na kwenda ofsini ya walimu huko nilikuta walimu wengi wako kama kumi na mbili hivi dah ๐
Harafu wengi ni wadada, jamani kumbe mwanza kuna wadada wazuri hivi na hamsemi tunaendelea kukaa single tu inachosha bana ๐ ....
Basi nilisalimiana nao nikajitambulisha pale kuwa mimi ni mwalimu mgeni lakini pia nipo kwa kipindi kirefu, basi wadada na wakaka wakaitikia tu yani walikuwa seriously sana
Jambo ambalo lilinifanya na mimi kuwa serious na kazi yangu, basi muda ulienda wanafunzi wakaiingia madarasani kuanza vipindi, kila mwalimu akanyanyuka na kwenda kwenye somo lake ambalo alitakiwa kufundisha kwa siku hiyo
Upande wangu nilitakiwa kuingia mchana maana nilikuwa na kipindi kwa form four na nilitakiwa kwenda kukabidhiwa rasmi maana yule aliekuwepo alikuwa na majukumu mengi so nikapewa kwenda kufundisha somo la biology.....
ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 3
SONGA NAYO........
Muda ulienda ukafika muda wa break, nikaletewa chai ya nguvu, hata sikujua walinunulia wapi hiyo chai ilikuwa tamu nyie ๐, hatimae muda wa kuingia madarasani tena uliwadia kama kawaida walimu walielekea kwenye majukumu yao
Hapo shuleni kuna mapumziko mawili yani break ya saa nne harafu na lunch ya saa sita, kwahiyo mimi nilitakiwa kwenda kipindi ambacho wanafunzi wametoka lunch
Basi mwamba nikatoa simu na kuanza kupekua pekua na kuangalia angalia hilo somo la biology maana kuna mengine nilikiwa nimeanza kusahau kabisa
"Sir Henry..."
Nikiwa bize na simu yangu nikasikia kuitwa na sauti laini lakini pia ilikuwa tamu nyie, nikainua macho yangu nilishangaa baada ya kumuona mwanafunzi
Tena huyu mwanafunzi alikuwa slay queen binti alikuwa mfasi jamani, mwanzo nilifikiri aliyeniita labda atakuwa mwalimu mwenzangu lakini nilipomuona aaaah mungu alifanya kazi yake sawa kwenye kuumba asiee
Nilibaki namuangalia huyu binti bila kummaliza kabisa, na sijui huyu binti alikuja kwa lengo la kunikomoa sijui maana alianza kunirembulia macho yake yale makubwa yaliyoka kama gololi yalizidi kunichanganya mimi ๐๐
Mnisaidie jamani huku, ndio kwanza siku ya kwanza nimeanza kutamani mwanafunzi wangu, pepo shindwaaaa ๐
"Nikusaidie nini..??"
Nilimuuliza huku nikijaribu kutomtazama.
"Sir nimeagizwa na sir japhet nije nichukue chark.."
Binti aliongea kwa sauti ya puani yani alikuwa anabana sauti sizani kama huko ndani mbavu zilikuwa salama kweli ๐
( sasa chark hujui sehem zinapokaa, mbona unataka kunipanda kichwani..?? )
Niliongea kimoyomoyo huku nikimtazama huyu binti, basi binti akasogea sehemu ambapo chark zilikuwa zikihifadhiwa akafungua kabati na kutoa chark
Muda huo amenipa mgogo namtazama maumbile yake namna yalivyokuwa yanavutia na jinsi ka siketi kake kalivyokuwa kafupi sasa dah
Yani hata sijui ilikuwaje kuwaje nashangaa binti ameangusha boksi la chark na chark zote zikaanguka na kupasuka vipande vipande.
Si binti akainama bana kuokota zile chaki tena hakuinama kwa kuchuchumaa yani aliinama ile ya moja kwa moja sijui mnaita chuma mboga ๐๐ me sijui
Katika siku ambayo nilipata tabu basi ni hii siku walahi, maana huyu binti alikuwa ananifanyia makusudi kabisa, na kibaya zaidi hakuwa amevaa hata taiti humo ndani yani mapaja yote yalikuwa nje na yalivyokuwa meupe sasa dah nilimeza mate taratibu tu
"Wewe.."
Nilimuita akageuka na kunitazama
"Hivi huwezi kushona siketi ndefu kama walivyo wenzako, kwahiyo wewe mapaja yako ni mazuri sana kushinda wenzio sio..??"
Nilimuuliza ila ukweli huyu binti alikuwa anakosea mno, hata kama napenda totozi ila kwa hili hapana kwa kweli, maana mimi niko serious na kazi yangu so ninapokuwa kazini nakuwa kazi kazi
Nilipomuuliza hivyo hakinijibu bali alianza kunichambua kama karanga yani ile ya kuangaliwa juu chini juu chini upo ๐๐
"Nakwambiaje mwisho leo, sitaki kukuona na hiyo siketi yako tena.."
Nilimwambia hakunijibu akaondoka zake huku nyuma akichezesha aiseee, yani kazi hizi zina changamoto kubwa, hapo ni kuwa na roho ya ujasiri la sivyo kuna uwezekano wa kumpa mimba mwanafunzi wangu kabisa
Basi niliendelea na kazi yangi, kweli muda ulienda na kipindi kiliisha ikafika kipindi cha lunch napo nikaletewa wali samaki na mboga za majani, aiseee ๐ hawa wana mwanza wanataka kunifanya nisirudi songea
Maana chakula ninachokula toka nifike huku ni kitamu tu mpaka nashindwa kujua nani mpishi.......
ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 4
SONGA NAYO........
Hatimae ule muda wa mimi kwenda kukabidhiwa ulifika, na ambaye alikuwa ananikabizi hilo somo alikuwa mwadada tu mrefu mwembaba kidogo lakini alikiwa na shape ya kichokozi mdada alikuwa ๐ฅ
Basi nikaongozana na huyo dada yeye mbele mimi nyuma naangalia namna mungu alivyotulia kuumba aisee ๐ tulifika darasani tukaingia, wanafunzi wakasimama kutoa salamu
Jamani jamani, watoto walikuwa wadogo ila wana sauti kubwa yani zile bessi mule ndani zilijaa darasa Zima sikujua kama nimesikia sauti za kike kweli ๐
"Karibu sana sir, hili ndio darasa ambalo unatakiwa kufundisha biology " Kisha akawageukia wanafunzi
"Jamani huyu mnaemuona hapa ni mwallimu mpya wa somo la biology na mimi ndio nimeamua kumkabizi yeye maana masomo mengi yamenielemea sana so naombeni kwa heshima na utiifu
Mmuheshimu kama ambavyo mlikuwa mnaniheshimu mimi niwapo darasani, haya wacha mie nitoke, sir Henry kazi njema.."
"Asante madam Penina..."
Nilimjibu basi madam akatoka nikabaki na hao wanafunzi sasa, wananitazama kama wanataka kunimeza vile
"Hamjambo..??"
Niliwasalimia baada ya kuona natazamwa sana, wakanijibu ki roho safi tu basi katika kuangaza si nikamuona yule binti ambaye alikuja ofsini masaa machache yaliyopita tena alikuwa amekaa nyuma kabisa na sehemu ambayo alikuwa amekaa amezungukwa na wavulana tu aisee
"Wewe njoo huku mbele.."
Nilimuita akajifanya hanielewi
"Nani mimi..??"
Aliuliza huku akijinyooshea kidole.
"Ndio wewe kwani kuna mwingine zaidi yako.."
Akanyanyuka na kuja mbele, namna alivyokuwa anatembea sasa dah ๐ฌ yani anatembea huku anarusha siketi inaenda kulia kushoto ๐
Basi kakafika mpaka nilipokuwa kananitazama kwa macho ya mahaba kweli, sasa najiuliza haya macho yako hivi au ni umalaya ndio unamsumbua
"Futa ubao..."
Nilimwambia, akashtuka kwanza na kuniuliza
"Unasema nifute ubao...??
( ๐ amna, futa makalio yako..)๐๐
"Kwahiyo hujasikia au..??
"Lakini sir..."
"Nimesema futa ubao.."
Nilisema kwa sauti ya ukali mpaka akaogopa, binti akachukua ufutio wa ubao na kuanza kufuta ndio nikajua macho yake sio ya hivyo bali anayalegeza tu anapokuwa anaongea na mimi mbwa huyu ๐
Alifuta akiwa amenuna hatari, basi baada ya kumaliza kufuta akarudi kukaa nikamsimamisha, akageuka na kunitazama
"Kachukie kiti chako na kila kitu chako uje ukae huku mbele.."
"What...??"
"Hujaelewa au unataka niongee kifaransa, nimesema hivi kachukie vitu vyako ukae mbele na marufuku kukaa nyuma kuanzia leo.. "
Nilimwambia akabaki ananiangalia tu sikujali nikageukia ubaoni na kuandika topic ambayo ndio walikuwa wamefikia, yule binti alienda kuamisha vitu vyake na kukaa mbele huku mdomo ukiwa umevimba huo kama ametafuna amira ๐๐๐๐พ
Sikujali kabisa nikaanza kufundisha, aah ukweli hawa wanafunzi walikuwa watulivu sana yani walikuwa wananisikiliza ile mbaya mpaka nikaanza kuhisi labda kwa sababu nimependeza sana leo.
Basi muda ulienda kipindi changu kikaisha nikaondoka zangu na kurudi staff, muda ulisogea kama kawaida ikafika muda wa wanafunzi kurudi makwao
Hii shule ni shule ya kutwa so wanafunzi walienda paredi mwalimu wa zamu akatoa matangazo mafupi na kuwaomba wanafunzi wa form four na two wabaki remedial
Kwa kuwa ilikuwa ni siku yangu ya kwanza hapo shuleni ikanibidi nibaki na nilitakiwa kufundisha kwa muda huo, nilifundisha form four
Kipindi cha remedial kilianza na kila wanafunzi walipangwa makundi tofauti tofauti na kila kundi kulikuwa na mwalimu ambaye alikuwa anawafundisha.......
ITAENDELEA DEARS.....
SEHEMU YA 5
SONGA NAYO........
Basi bwana mimi nae nilikuwa na kundi langu ambalo ndio nilitakiwa kulifundisha history, basi mwamba nikowa nawaka mtoto wa kiume nikaenda kwenye kundi la wanafunzi wangu
Kundi lilikuwa sehemu nzuri yenye upepo mtamu maana shule hiyo ilikuwa na miti mingi ambayo ilileta kivuri na upepo mzuri kipindi cha joto
Basi nikafika pale lilikuwa ni kundi la wasichana tu aiseee ๐, nimefika sasa wote wakasimama na kunipa heshima kama mwalimu nami bila kinyongo nikawaitikia na kuwaomba wakae
Wakaa na kuanza kunisikiliza nikaanza kwanza na kuwauliza maswali kadhaa wa kadha, wakanijibu vizuri tu sasa bana wakati naanza kufundisha macho yangu yakatua kwa binti flani hivi
Huyu binti alikuwa amekaa yani anatia huruma kumtazama alikua amekaa kinyonge nyonge hata lile tabasamu hakuwa nalo kabisa
Mimi kama mwalimunwa kundi ikabidi nimuulize shida nini isije kuwa ananjaa matokeo yake akanifia bure ๐
"Wewe uliekaa huko nyuma simama.."
Nilimsimamisha, kwa kuwa alikuwa amekaa nyuma mwenyewe akawa amejujiua hivyo akasimama hata hakunitazama kabisa akainamisha uso chini dah ๐ข
"Unaumwa..??"
Nilimuuliza
"Hapana sir."
"Sasa mbona umekaa kinyonge hivyo au labda unanjaa...??"
"Hapana sir..."
"Basi njoo ukae huku mbele ili unielewe vizuri maana umekaa kinyonge sana.."
Basi kakabeba kiti chake na meza yake kakaja huku mbele nilipokuwa mimi so nikawa namtazama kila ninapofundisha, jamni huyu binti hana uwezo wa kunitazama machoni sijui kwanini
Muda wote nafundisha alikuwa ameinamisha uso chini mpaka nikawa najiuliza kwani haumiii?? Basi muda ulienda nilifundisha kwa lisaa limoja wakati huo ilikuwa saa kumi na moja na nusu
So ndio muda wao wa kuondoka ikabidi nifunge somo na kuwasisitiza sana wajifanyie kazi kile nilichowafundisha, huku nikimuomba yule binti anifuate ofsini
Basi baada ya somo kuisha huyo nikaoondoka zangu nikiwa mbele yule mwanafunzi nyuma, kwa kuwa tulikuwa tumebaki walimu wadogo sana na wengine walikuwa bado wanafundisha huko nje
So ofsi ilikuwa haina mtu, nikaingia na yule mwanafunzi nikakaa na kumwambia achukue kitu nae akachukua na kukaa tukawa tunaangaliana, binti hawezi hata kunitazama aisee
"Hivi kuna kitu kinakusumbua labda..??"
Nilianzisha mazungumzo huku nikimuangalia sana usoni lakini ndio hivyo niliishia kuona paji la uso tu ๐
"Hapana sir niko sawa tu.."
Alinijibu huku akiwa bado ameangalia chini
"Unaitwa nani..??"
Nilimuuliza
"Lizy..."
"Lizy vitunguu, nyanya chungu au mchicha..?"
"Elizabeth Nestory..."
( ๐ mmh kumbe hadi majina tunafanana bana )
"Una umri gani...??"
Nilimuuliza tena
"Miaka 17.."
"Mh mbona mdogo hivi harafu umri mkubwa saivi ungekuwa hata form six huko.."
Niliendelea kumdadisi
"Ni matatizo ndio yalikuwa yananisumbua.."
"Matatizo gani..??"
"Sir Henry kumbe bado hujaondoka..??"
Kabla Lizy hajanijibu kuna mwalimu wa kike aliingia, baada ya kutukuta tukiwa wawili tu mle darasani akamuangalia kwanza lizy tena kwa zarau kisha akazungumza
"Haya na wewe humu unatafuta nini..??"
( ๐ eeeh sasa kuna ubaya gani wa yeye kuwa humu na ikiwa nimemuita mimi )
Nilijiwazia kisha nikamjibu haraka haraka
"Samahani madam nimemuita mimi, maana yupo kwenye kundi langu kuna vitu nataka kuvijua kuhusu yeye so ndio maana yupo hapa.."
"Unasema yupo kwenye kundi lako..??"
Aliniuliza
"Ndio kwani vipi.."
"Heรจee nikwambie tu huyu mwanafunzi hamnazo yani hana hata ile akili ya kijongeza hapa unamvyomuona anaonekana mpole lakini akifika huko mtaani binti ni mcharuko huyu.."
Alisema yule madam huku akimchoma choma kichwani na kidole chake cha shahada, pamoja na kuchomwa vile binti alikuwa ametulia tuli.
Roho ya huruma iliniingia kabisa, jamani huyu dada hakuwa na adabu kabisa, imagine mwanafunzi nimemuita mimi nina mazungumzo naye lakini anakuja kuingilia mazungumzo yetu na kibaya zaidi anaanza kumchoma choma
Kuna namna nilichukia sana, hivyo basi nilichofanya ni kuweka hasira zangu pembeni
"Madam.."
Nilimuita baada ya kuona anavuka mipakka sasa, akaniangalia tu bila kusema kitu
"Unaweza kuondoka na kutupisha, maana nina mazungumzo naye.."
Nilimwambia akaniangalia tu na kubinua mdomo kisha akaenda kwenye meza yake akachukua mkoba wake akaondoka zake
Baada ya yule madam kuondoka nikamgeukia sana mwanafunzi wangu, yani alikuwa ametulia kuna namna niliona kabisa huyu mwanafunzi hana raha kabisa
Nikachukua maji ya kunywa kwenye droo ya meza na kumpa, akanitazama kisha akapokea hapo sasa ndio nikamuangalia vizuri jamani ๐ฅฐ
Ka binti kalikuwa na uso wa upole yani dah nashindwa hata kuelezea kabisa ๐ฅฐ baada ya kupokea maji akanyanyuka kwa akili zangu nikajua labda anataka kuondoka ile nataka kumwambia rudi.......
ITAENDELEA........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni