MY WANGU❤️ sehemu ya 100
Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh ww apa ndo kwako. Mbona baba harudi. Nyieee ananitibua akimuulizia uyo baba ake ni basi tu. Basi mama anakuwaa anamjibu jibu. Mimi ni bibi. Yani hivyo ile kumchangamsha tu mtoto. Basi nikamuuliza baba yuko wapi. Mama akanmbia kaenda katoro bado babu anaumwa sana .mh uyo babu yngu ni mzeee jamani. Ila hafi nakwambia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌. Ni anaumwa kalibia miaka 8 ssasa. Ila wala hafi .na mzee anaendaga sana kumuuguza uko kwake. Basi baada ya chakura m mie ndo nikaenda kuogaaa. Nikaenda kulala. Ila hii siku kidogo amani ilipatikana bola tu nimemalizana na mama yangu japo kanisema ila ni mama kanipokea na kaumia sana alivyoniona kwa jinsi nilivyo.
Basi sasa shoga yenu ndo nikawa nimeludi. Nikawa sitoki ndani. Najifungia ndani na mwanangu tunaangakia video tu. Nikitoka naenda chooni basi. Sizululi kabisa naona aibu jinsi nilivyo. Nilimpa mama elfu 30 akamtafutie rahul nguo za kushindia. Manaa mm ninazo kwa kabati niliziacha za kuanzia maisha na zengine nzuri sana. Na zote alininunulia mlige. Basi mie nikawa wa ndani tu. At least sasa mama anatembea sna na mwanang. Akienda bala balani anaenda nae hivyo yani mie nikawa ndani tu. Apo nna kasimu kadogo kiswaswadu nilimwambia mama pia anininulie . Apo ten nikawa ata akiba ya mia ndani mie wala sinaaa. Nipo hooii maisha yamenipiga aswaaaa. Basi mzeee alivyosikia nimeludi akampigia simu mama akamwambia anataka kuongea na mm. Na kweli mama akanipa simu nikaonage ana baba mmh acheni tu. Mzeee alisema jamni alinisema mnooo. Et kanambia na nikiludi nakuja kukufukuza. Mie nikanyamaza kimyaaa tu.
Basi shoga yenu jilikaa home kama week.2. Apo mama ndo kila kitu nyumbani apambane . Atafute chochote kitu . Ndo alete nyumbani. Yani nyumbani kulikuwa na njaaa. Mwanzo rahul alikuwa analilia kuku. Mpk akasahau akazoe majani ya maboga. Apo na dawa zake nampaka . Ila sikumwambia mma kuwa zayd alianza kumlawiti mtoto. Sikumsimulia kabissaa. Niliona aibu ata mm mwenyewe. Basi ayo ndo yakawa maisha yangu ya ndani tu .na nikitoka ni usiku nakaa barazani kwetu . Apo rahul ni anacheza watu wote washamjua mwanangu. Na vile anatembea na bibi yake sana ndo kabisa.na mzuri kweli mwanangu wala sio masihara. Mzuri mnoo rahuli. Yani uyu mtotto alikuwa mzuri kuliko baba yake. Basi bwana .siju iyo sasa nipo zangu nyumbani mama ametoka .nikishangaa nasikia mlio wa gari njeee. Mh nikajiuliza uyo nani. Nikachungulia dirishani mh naona anashuka yusta nyieeee ni kapendezaa mnooo. Kawaka mnooooo.. nyieee kawa mzuri sitaki kuwaeleza mdada wa mjini kweli kweli. Ana kiatu kirefu aseeeee aibu niliona mie.
Basi akaja kugonga mlango. Mie nikanyanyuka nikaja kumfungulia mlango akaingia shoga ananukia atari. Nikamkalibisha kwa aibu. Akanmbia jamni woow uyu ndo mwanao. Alimuona mwanangu alikuwa na yeye anaangalia tv. Nikasema ndio.kisha nikamwambia rahul muamkia mama. Kweli mwanangu akamsalimia . Akaitika yusta . Kwa mapozi nyieeeee. Akanmbia ooh pole shoga nasikia umeludi una week naaaa ila hutembei shida nn au unaogopa kukuona ulivyochunda? Mh nilibaki kimyaaa mieeee . Nikasema wala shoga yangu mie nimeamua kupumzika tu nyumbani akacheka akasema kweli bola upumzike mana mhhh sio kwa kuchoka ukooo. Yani faridaah umeishaaa. Mpaka umekuwa mbaya ataa kutamanisha hutamanishi. naona uyo mlge akikuona atakuona kituko kweli kweli101 MPAKA 103
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni