Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
Gonga94 · Stories

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.................

Kauli ya ole wako uinuke na inuka zilikuwa nyingi hadi nikahisi kuchanganyikiwa ikawa ni mwendo wa simama kaa kama mtoto wachekechea .

Mwisho Aunt Vero aliingilia kati na kusema " Dada!! Alvin yuko sahihi ,muache mtoto wawatu "

Kauli ya aunt Vero ilimfanya madam akaachana na Alvin na kuhamia kwake, kwa hasira akamuuliza " Vero unasemaje!! Ina maana unamuunga mkono huyu mpuuzi?"

"Sio kwamba namuunga mkono , sikia shoga angu Wardah bado ni mdogo mno hastahili kukaa kwenye nafasi unayotaka kumueweka "

"Eti mdogo anaudogo gani huyu ,na kwanza yeye kuwa mdogo au mkubwa vinanihusu nini mimi? .

Embu acheni upumbavu wenu basi na sitaki kuingiliwa kwenye maamuzi yangu tafadhali "

Alvin alitaka kuongea aunt Vero akamwambia "Alvin subiri kwanza ✋️, mama Shuu hili swala halihitaji maamuzi ni wewe kutii huwezi kutaka kumharibu mtoto wawatu na tukukalie kimya .

Fanya kama tulivyo ongea usiku ,huyo aliekuja amekuja akijua wazi anakuja kufanya nini kwa maana hiyo mpeleke yeye mwenyewe.

Ila swala la kwamba ubadilishe maamuzi na umchukue Wardah hili nakupinga ,huyu mtoto anahitaji kuwa na kesho iliyo bora "

"Hahahahahha wallah tena najionea maajabu ,na sasa nimepata picha kwanini Alvin amekuwa na ujasiri wa kusimama na kunipinga ,kumbe tayar umeshamnywesha sumu mwanangu.

Na sasa nisikie kwa makini ,huyu binti alikuja kwa hela yangu mwenyewe na siku zote amekaa kwenye nyumba yangu anakula na kulala kwangu unanielewa.

Kwa hiyo atafanya kile ninachotaka mimi nasio nyie ,eti huwezi kuruhusu ,we ninani hadi usiruhusu mwanao huyu au una ukoo nae ?"

"Sina ukoo nae ndio lakini nikiwa kama mwanamke ninaejua nini maana ya kuwa mwanamke huyu hatoki hapa?"

"😆😆eti rudia tena we ni nani ?nyooo huna haya weye,, eti me mwanamke🤧 wakiita wanawake na wewe utatoka chakubimbi wewe 😏.

Embu usinifanye nikakutolea maneno ya ajabu saizi mie ,mtu umekausha kizazi chako kwa magonjwa ya zinaa , leba hujui inafananaje wala hujui utamu wa ndimu.

Alafu unataka kunikazia mishipa ya makalio ,we cheusi kwanzia leo utaanza kwenda na mimi kazini hii sio ombi ni lazima unanielewa "

Alvin hakutaka kuendelea kusimama bure alinifuata haraka na kunivuta nusu achomoe mkono wangu🥲 ,mkuku mkuku hadi chumbani.

Huku nyuma tukaacha wakongwe wakirushiana maneno,,basi tukafika chumbani akaniachia mkono na kusema.

"Fungasha kila kilicho chako uondoke haraka sana "

"Niende wapi!!?😳"

"We ni fala eeh😡, yaani unaona tunavyo pambana kutetea hilo tubwasha lako lisiende kuuzwa na kutumika hovyo alafu bado unauliza maswali ya kibwege oya👉 nitakufumua mikofi huo ushamba ukutoke .

Embu fungasha vurago chap usepe "

Nilimuangalia Alvin kwa huruma sana nakumuuliza " bado sijaelewa nini haswa ambacho kinaendelea maana naona mnagombana na madam bila sababu ya msingi.

Kama ni kuhusu kazi me nipo tayari kufanya kazi yoyote wala haina shida "

"Aaa mamae wewe😡 👉 nitakufumua h......" hakumalizia kuongea akaingia Shuu huku akisema .

"Kwanini unataka kumlazimisha wakati ameshasema anaweza? , mwaya Wardah kama unaona unaweza usimsikilize huyu anawivu tu ,ila ukweli hiyo kazi ina pesa nzuri .

Na najua unamajukumu mengi ambayo yanahitaji hela ya kutosha so binti mwenzangu nak.........." Alvin hakumuacha amalize alimvuta mkuku mkuku akamsukuma na kumsindikiza na bete la makalio.

Kwa hasira akafunga mlango na kunirudia akanambia" umesema uko tayari kufanya hiyo kazi ?"

Nikaitikia ndio kwa kutikisa kichwa , akasema " Wallah ushamba mzigo, hivi unajua utachokua unafanya au unaropokwa tu ?"

"Alvin ! Kazi ni kazi nitafanya tu haina namna "

"Kwa hiyo uko tayari kuuza thamani yako kama mtoto wakike kisa hela ? Okay basi acha niwe mteja wako wa kwanza "

Aliongea na kuanza kufungua mkanda wa suruali yake nilimuangalia kwa mshangao huku nikijiuliza anataka kufanya nini , sijakaa sawa nikashangaa anafungua zipu .😳

Weee niliruka kama kuku alikoswa koswa kuchinjwa , haraka akanidaka nikamwambia" Alvin hapana naomba unisifanyie hivyo tafadhali 🥺🙏."

"Nisifanye nini we siumesema uko tayari kufanya hii kazi ,sasa acha niwe mteja wako wakwanza haya sogea hapo nikupe baraka zangu"
Baada ya kusema hivyo ndio nikamuelewa alikuwa ana maana gani 🥺, nilijikuta nikianza kulia kwa uchungu ,ina maana nilikua naenda kuuzwa kwa wanaume 😭.


Alvin alinituliza na kunambia " usilie hizi ni changamoto za maisha na uzuri umeshavuka ,sasa kinachotakiwa ni kujiandaa kwaajili ya hatua inayofuata."

"Sasa nitaenda wapi 😥?"

"Utaenda wapi kwani hauna kwenu ?, binti embu cha kupoteza mda "

Niliinamisha uso chini na kusema "Sina nauli?"

"Hauna nauli ukimaanisha nini 🧐?"

"Kweli sina hela ,mshahara wangu wa mwezi uliopita nilituma nyumbani na mwezi huu bado hajanipa"

"Beki tatu wote akili zenu zinakomaga hapo , ina maana wewe ukipata hela kitu unafanya nikutuma nyumbani, kuweka akiba aaaah .

Haya sasa ndo ishatokea dharula haya nambie unaondokaje hapa ?"

Nilikaa kimya huku nikiangalia chini , akanambia " chukua nguo zako tuondoke "

"Tunaenda wapi ?"

"We acha maswali na ufunge tuondoke haraka maana nikikupa mgongo utaletewa njemba zilizo Shiba kisawa sawa "

Kweli kinyonge nilikusanya nguo zangu zote nilivyo maliza akanishika mkono tukatoka hadi sebleni mda huo bado madam na Aunt Vero wanachambana.

Bila kusimama Alvin aliongoza kuelekea mlango wa kutokea huku akinambia " angalia mbele ukigeuka tu unakuwa jiwe la chumvi " 😃 niseme nini zaidi ya kusema ndio na kufuata sharti.

Bila kugeuka nyuma wote tukatoka nje ,tukafunguliwa geti dogo haooo hadi bara barani akasimama na kunambia " bado hutakiwi kugeuka na kulia ni mwiko "

Nikajibu sawa ,bajaji ikaja tukapanda safari ya kuelekea nisipo pajua ikaanza .

Hatua mpya kurasa mpya 😊.


ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10


SONGA NAYO.................

Kauli ya ole wako uinuke na inuka zilikuwa nyingi hadi nikahisi kuchanganyikiwa ikawa ni mwendo wa simama kaa kama mtoto wachekechea .

Mwisho Aunt Vero aliingilia kati na kusema " Dada!! Alvin yuko sahihi ,muache mtoto wawatu "

Kauli ya aunt Vero ilimfanya madam akaachana na Alvin na kuhamia kwake, kwa hasira akamuuliza " Vero unasemaje!! Ina maana unamuunga mkono huyu mpuuzi?"

"Sio kwamba namuunga mkono , sikia shoga angu Wardah bado ni mdogo mno hastahili kukaa kwenye nafasi unayotaka kumueweka "

"Eti mdogo anaudogo gani huyu ,na kwanza yeye kuwa mdogo au mkubwa vinanihusu nini mimi? .

Embu acheni upumbavu wenu basi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

538
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

468
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

442
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

437
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

225
REAL LOVE  Chapter 15

REAL LOVE Chapter 15

188
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*

*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*

136
REALLY LOVE* 16

REALLY LOVE* 16

75
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

70
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘

28

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.16K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.9K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.31K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai Post Mpya
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
@majario LIVE

Msanii maarufu “Toss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA. Mrembo huyo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘
@majario LIVE

Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka...

UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Kauli ya ole wako uinuke na inuka zilikuwa nyingi hadi nikahisi kuchanganyikiwa ikawa ni mwendo wa simama kaa kama mtoto wachekechea . Mwisho Aunt Vero aliingilia kati na kusema "...

*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
@majario LIVE

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 Basi bibi mie nikaanzaa safari ya kagera uo mdaa ulikuwa jioni . Nakumbuka gari ilitoka pale stand jioni saa 12. Nilikuwa na mawazo mnoo. Rahul ananiuliza mama tunaenda...

REALLY LOVE* 16 Post Mpya
REALLY LOVE* 16
@majario LIVE

waliondoka wakiwaacha familia ya cathe wakiwa na majonzi makubwa sana hawakuamini kabisa kilichotokea walitamani iwe ndoto upande mwingine kwa mama fatuma alikuwa akimshangaa mumewe tangu asubuhi yuko ndani tu hakutaka kula...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Aseeee akanmbia basi sawa hkuna shida. Ntajalibu kufatilia aseeee hii siku .nilipata amani ya moyo ambayo niliikoss kwa mda sana. Mana jamaa alinihakikishia kabisa kuwa ni wanangi na nimefanana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
@majario LIVE

Basi mi nikanyamaza . Nikainuka nikaenda kuoga .nikaja kupumzika na maumivu na mtoto wangu. Yani mtoto ananingalia ananambia pole mama. Pole mama yangu. Basi namwambia usijali sijaumia lala mwanagu....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47
@majario LIVE

Aseeeee nililudi mpka kwangu. Uko njiani ni fatuma tu ndo ambae ananipigia kweli kweli . Mi.wala sikuangaika nae na nilipoona usumbufu umezidi . Nikablock namba yake . Baada ya kufika...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘
@majario LIVE

""Nini hii🤨🤨?"" ""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua"" ""Fungua usome😏😏"" ""Nilimjibu kwa kumnyali"" ""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani🤨🤨"" ""Ulitaka niwaze nini Mr paschal 😝😝"" ""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu. Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka ,...

REAL LOVE  Chapter 15 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 15
@majario LIVE

"unafanya nini wewe unataka kujiua" alisema fahima kwa uchungu *ndio tena uniue wewe ambaye hunipendi si nakukera sana niue nipo hapa" alisema seven. sikia mimi kukuua siwezi na kuishi hapa sitaki alisem...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Mama aksema nini iki nasikia . Ni nn unaongea haji. Nikasema mam mimi uyu mwanamke kanifanyia mambo mengi mazuri ila kwa hili hapna. Mda wote nalea mtoto kwa upendo na...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest