REALLY LOVE* 16
waliondoka wakiwaacha familia ya cathe wakiwa na majonzi makubwa sana hawakuamini kabisa kilichotokea walitamani iwe ndoto
upande mwingine kwa mama fatuma alikuwa akimshangaa mumewe tangu asubuhi yuko ndani tu hakutaka kula chochote "kwani leo unashida gani jamani alisem
mama fatuma
hebu niache alijibu baba fahima sasa nitakuacha kivipi isema mama fatuma
mama fatuma jamani niacheeee hunielewi™ isema bba fahima, ikabidi mama fatuma atoke chumbani humo akatoka nje ile anatoka tu akaja wadada watatu wakiwa wamevaa vjola na kiunoni wamefungwa kanga, walikuja kishari kwelikweli
nyie vipi mbona hivo alisema mama fatuma
unatushangaa kwani tunachekesha tuambie kinyago wako yuko wapi yeye si anajifanya bingwa wa kukatikia viuno waume za watu sasa tuambie yukowapi alisema mmoja kati ya madada hao watatu
nyle watoto mnapokuja kwangu muwe wastaarabu alisema mama fatuma
"ustaarabu huo ungeanza kumfundisha mwanao kwanza we mzee usituletee weusi tutakuvuruga sasa hivi alisema mdada mwingine kati ya hao
mnamtaka nani alisema mama fatuma
hautuelewi au afu we mzee wewe unazeeka vibaya sasa ngoja sauda anaua hizo nguo zao zote nawewe mwaju beba jiko lile alisema mdada huyo kuwaambia wenzie na wao wakaanza kuanua
Jamani nyle vipi sasa mnaanua nguo zangu nimefanyeje mme wanguuuuuuu we baba fahimaaaaa mama fatuma alianza kumulta mme wake huku analiaa maana walianua nguo
zote na jiko wakalibeba
sasa bado hujalia ukitaka nenda polisi
ubadilishe muswada upo nyonyo halafu akija huyo mwanao mwambie bado hatujamalizana nae na labda ajifungie ndani milele lakini tukimuona tutampasua vibaya mxieeeeeeew alisema mdada huyo kisha wakaondoka zao, mama fatuma akaanza kulia
uwiiiiiii nguo zangu nzuri wamezichukua sasa namgojea arudi mshenzi huyu atazilipia mbwa huyu uwilli jiko langu mimi alizidi kulia huku
aklingia ndani
upande mwingine john yeye aliwasindikiza tu mpaka walipofika kisemvule kisha akageuza na kurudi kazini huku seven na familia yake wakaingia ndani hakika kulipendeza sana waliingia seblen seven alipiga jicho kwenye dining rooom sehem ya kula chakula aliona mapochopocho kibao yamefunikwa vizuri kwamaana chal ilishaandaliwa alitabasam na kuwakaribisha
"mama karibuni hapa nilipanunua nadhani
niliwaambia mda kuwa kuna nyumba nainunua sasa huyu binti nimeamua kumuweka hapa awe muangalizi wa nyumba maana hakuna wa kuiangalia istoshe bado anaumwa na mazingira ya kwao sio mazuri kabisa kwahiyo karibuni sana alisema seven kwa tabasam
mh mwanangu nina muda sijaona tabasam lako ndokwanza sasahivi mbona unafurahia sana jamani alisema mama seven nae kwa tabasam
hata mimi mama nimeona yani tangu tunaingia hapa kaka anatabasam tu sijui kwanini
alisema sarafina nae
sara hebu acha umbea kwani nikitabasam kuna ubaya gani alisema seven
"usituone watoto hapa unaonekana unaamani ya moyo hebu tuitie huyo wifi atuletee maji tunakiu sisi alisema selina huku akifungua mkoba wake na kutoa simu yake dada mkavu
huyu
selina jamani msiseme kwanguvu alisema seven kuwakataza ili fahima asijekusikia
eee seven hebu tuitle huyo wifi jamani tuna
kiu alisema selina tena kwa nguuuvuuuu sana ikabidi seven atoke haraka kuelekea chumbani
kwa fahima, uku chumbani fahima alikuwa anasikia kila kitu akawa anatabasam tu akasikia mlango unagonjwa akajiweka sawa na kuufungua seven akaingia chumbani humo akiwa mwenye tabasam pana
"unaendeleaje fahima aliuliza seven
vizuri wageni washafika? alluliza fahama
ndiyo wanataka maji ya kunywa alisema seven
sasa si ungemuita mdada awape halafu
sijapenda unagaweni unaniambia usiku ghafla tu alisema fahima, seven alimuangalia mtoto wa kike alivokuwa anaongea kwa upole akasogea na kuushika mkono wake vizuri
am sooorry mimi mwenyewe waliniambia ghafla tu alisema seven kwa upole sana
sawa ni wageni gani aliuliza fahima
ni mama yangu mzazi na dada zangu alisema seven
"heeee seven mungu wangu naogopa sasa™
isema fahima kwa kushtuka.
sasa unaogopa nini hebu twende halafu nimesahau kukwambia alisema seven kisha akamsogelea fahima na kumnong'oneza sikioni
umependeza sana fahima wangu u are beautfull sana alisema seven kwa hisia kidogo wanasema hata uzifiche vipi hista hazifichiki, fahima akatabasam kwa mara ya kwanza seven analiona vizuri tabasam la mtoto wa kike fahima alikuwa kazuriiiii kasura kadogo dogo kama wema sepetu akabaki tu anamuangalia machoni nae fahima alizidi tu
kutabasam akilikumbuka neno hilo
ghafla seven alijikuta akiupeleka mkono wake na kutua shavuni kwa fahima fahima unajuwa umeweza sana kunituliza
mimi hadi moyo wangu, nilipata janga kubwa la njaa lakini umeweza kulizuia na kurudisha tena
uhai wangu ndani ya sekunde tu, sikujua kama kucheka lakini
nitakuja tena kila ninapokutazama najihisi mwenye amani sana na furaha kiukweli najitahidi sana kuzificha hisia
zangu juu yako lakini nashindwa, najikaza ila nashindwa fahima sitamani uje kuwa na mwanaume mwingine zaidi yangu naomba unipe nafasi katika moyo wako niwe mwanaume
wakwanza kwako na wa mwisho nakupenda
sana fahima wangu amani yangu ebwana
eeeee seven akishusha mzigo wake aliouweka
moyoni mwake kumwambia mtoto wa kike, fahima alibakia tu kumuangalia seven hakuwa najibu lolote lile ndipo wakashtuliwa na sauti ya
selina
we seven wewe seveeeeeen unatuua na kiu huku hebu muite wifi alisema selina hiyo wifi yani kama anamjuwa vile dada
chale huyu
The nani wifi alisema fahima
"kwani hujawasikia hapo hebu twende alisema seven kisha akakamata mkono wa fahima na kwenda nae seblen
walifika seblen aiseee dada wa seven walitabasam baada ya kumuona fahima na seven yaani copi safi kabisa kiukweli walipendezana sana fahima alifika na kumsalimia mama seven kwa kupiga magoti
ebwana eeee mpaka mama seven akatabasam
marahaba binti yangu mzuri hujambo alisema mama seven
mama nawewe unajisahau sio binti yako huyo alisema sarafina
hivi sara una shida gani wewe alisema seven
sasa kwani amekwambia anashida77
selina alisema akiwa mkavu kabisa mpaka seven akacheka kwa sauti maana dada yake huyo anavituko sana, basi walisalimiana vizuri sana kisha fahima akawakaribisha mezani aliwapa maji ya kunywa na kuanza kula chakula
aliwapikia chapati za kusukuma viazi vya lost la nyama na supu ya kuku, basi walikula na kufurahia chakula hicho
upande wa cathe aliwekwa chini na wazazi wake kisha wakaanza kumsema sana
"hivi cathe wewe wa kututia albu hivi jamani mama yako nitaiweka wapi sura yangu mimi jamani mbona nilikulea vizuri mwanangu nini shida mwanangu kama oesa tunazo sasa ukaenda kutembea na yule ambaye hana hata gari mwanangu umefanya niliinilli mama cathe huku analia. alisema
nilikuwa nakwambia sana watoto sio wa kuwaamini unalia nini sasa wakati ulisema mwanao umemlea vizuri isema baba cathe
huu sio muda wa kulaumiana baba cathe tujadili tujue tuna fanyaje alisema mama cathe, mara ghafla cathe akahisi kichefu chefu
cha ghaflaaaa alitaka kunyanyuka kwenda kutapika chooni lakini hakuweza alltapikia hapohapo seblen, mama yake alivoona anatapika vile alishtuka sana akaweka mikono
yake kichwani
mungu wangu jesus mimbaaaaa?
alisema mam cathe Itaendeleaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni