Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REAL LOVE*  Chapter 10
Gonga94 · Stories

REAL LOVE* Chapter 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga

alioufanya,

niachieeee seven uyu shetani sana seven yani tumemfumania kwa macho yetu afu anajifanya kukataa seven niache alisema john kwa hsira familia zote mbili wakabaki wanashangaa

hebu upumbavu mbona acheni mnatuchanganya ety seven nikweli ulimfumania au hujamfumania niambie ukweli mwanangu. hata ukificha hautasaidia kitu alisema mama

seven kwa uchungu sana

mimi hiko kitu kuamini tabu kwasabauu namjuwa vizuri cathe mwanangu hana tabia hizo. alisema mama cathe,

hapa tunaouhitaji ni ukweli nasisi pia tunamjuwa vizuri kaka yetu hawezi kulia lia hovyo hila sababu alisema selina nae akionyesha mkazo

"kwahiyo mnamuona mwanangu malaya sana au alisema mama cathe

mama nakuheshimu naomba ualtuvuruge. haukunyanyua hata mguu wako kuja hospitar kutuona mxieeeeew alisema selina dada

anayefanana na john yaani dakika mbili tu kashakuzibua hataki ujinga ikabidi mama seven. aingilie kati

jamani mbona sielewiiiiii seven narudia tenaaa

seven toa maelezo sitaki mnichanganye alisema mama seven huku akianza muhema kwa taabu ndipo seven akamuwahi kumshika mama yake na selina haraka wakampeleka

chumbani kwake na kumpatia dawa za usingizi ili apumzike, kisha wakatoka na kurudi seblenambako bado walikuwepo familia ya cathe

haya kikao kimeisha tunaomba mutokeeee alisema selina ten kwasaut ya juu

"mtuwie radhi kwa kilichotokea wazazi wangu, pia nawaomba mukae na cathe mpaka pale

mama yangu atakapokuwa sawa nitakuwa

nakaa nyumbani kumuangalia mama alisema seven kwa heshima sana, basi wazazi wa cathe wakaondoka najohn pia,,

sio hevi kaka hata ukificha kuna faida gani huko kupenda watakuumiza alisema selina ambaye ndiye mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya hao watatu, sasa mdogo wangu

usijari dada yangu ujue mimi huwa sikurupuki natumia akili sana wewe waache ila nitawadhalilisha vibaya sana zaidi walivonidhalilisha mimi alisema seven kwa uchu sana,

basi ikabidi seven na john waondoke kuelekea hospitar maana seven hakutaka kabisa kukaa mbali na fahima kutokana na jambo

alilomtendea, basi wakaondoka huku wakimuacha selina na sarafina wakimuangalia mama yao,

upande mwingine huku hospitar binti fahima. alikuwa na mawazo sana mpaka baba yake akamshangaa kidogo japokuwa alikuwa anamchekesha na kumpigisha story lakini bado hakuwa sawa kabisa,

fahima fahima we fahima alisema mzee fahad akimshtua fahima baada ya kumuona. ameganda kidogo

abee abeee baba aliitimia fahima Munatatizo gani mwanangu mbona uko hivyo

aliuliza mzee fahad,

hapana baba niko sawa alisem fahima

sio kweli wewe ni binti yangu nakujuwa vizuri sana hebu niambie mwanangu una tatizo gani aliuliza tena mzee fahad., fahima alimuangalia baba yake kisha akainama na kutafakari kitu kwa sekunde kadhaa kisha akainua kichwa tena

na kumuangalia baba yake

"baba sina tatizo lakini mimi sijapenda kukaa hapa naomba tuondoke sina amani kabisa alisema fahina k

lakini mwanangu ungesubiri kwanza upone ndio tuondoke na kule nyumbani sina tena imani nako mimi nashinda kazini siwezi kukuacha pale alisema baba fahima

sasa baba pale ndipo nilipo zaliwa nitafanyaje lazma tu niishi japo hivohivo alisema fahima

sawa nitafanya kama unavohitaji lakini utakaa nyumbani siku mbili tu siku yatatu nitakuwa nishapata pa kukupeleka siwezi kukuona

ukiteseka mwanangu siwezi umebaki wewe tu katika hii dunia aiseee mzee aliongea kwa hisia sana alikuwa anampenda sana na kumjali mwanae huyo wa pekee sana,

sawa baba nashukuru sana kwa kunijali alisema fahima kwa tabasam mzee fahad nae alitabasam kisha

aliushika mkono wa binti yake na kuubusu kisha akamkumbatia binti yake kipenzi, basi ikawa wamekubaliana hivo,

seven na john wakiwa njiani walipigiwa simu na mtu mmoja muhimu sana ambaye seven

anamuamini sana si mwingine bali mr sanju.

mwanasheria wa seven, mr huyo alimuhitaji seven kwa wakati huo ikabidi seven ageuze gari na kuelekea alipo mr sanju kwa mazungumzo zaidi

lakini unahisi anakuitia nini aliuliza john kwa wasiwasi sana

sijui ngoja nikamaikilize alijibu seven

mh kwasasa unatakiwa uwe makini sana boss kumbuka watu tunaowaamini ndio wanao tuumiza alisema john kwa usihi sana

"usijari nipo makini alisema seven

sawa na hujaniambia kuhusu yule msichana ulimtolea wapi aliuliza john, ndipo seven akakumbuka kwanza akashusha pumzi ndefu

sana

"yani dah sikumini kabisa john alisema seven ""hukuamini nini aliuliza john

sikuamini kama devi anaweza kuwa mnyama kiasi hiki nilimpenda kama ndugu yangu nilimpa siri zangu nyingi sana ambazo hata wewe

sikukumini kabisa kukupa siri hizo inaniumiza sana alisema seven kwa uchungu sana "pole sana kaka alisema john

siku ya tatu leo sijaenda kazini dah sena inahitaji moyo sana nashukuru sana kwa kunifariji wakatiwote john alisema seven

"usijari kaka alisema john

nilipatwa na mawazo sana kiasi cha kwamba nikamfanyia ukatili binti yule ambaye alikuja kuniletea kinywaji sikuamini macho yangu kama

ni mimi nimefanya alisema seven kwa

uchungu sana huku machozi yakimtoka, john alishtuka kidogo akamkazia macho seven

kaka usitake kumu...nia... alisema john kwa kigugumizi maana tayari alihisi kitu kwenye akili yake lakini kabla hajamaliza kuongea seven. alidakia

"nilimbaka john nilimbaka alisema seven

kwa uchungu sana hakuweza tena kuendesha gari alisimamisha gari na kuanza kulia alilia sana kama mtoto mdogo john alibaki tu amekodoamacho alivuta taswira alikumbuka

jinsi alivyoingia akakuta damu nyingi sana, ndipo

akashtuka kutoka kwenye mawazo hayo na kumshika bega seven ambaye alikuwa akilia sana

alijutia sana kwanini alikuwa na cathe kwanini alimjuwa cathe alilia sana kipindi hicho seven ni mtu wa kulia tu kama mtoto muda wote alifikiria. mambo mengi sana ya nyuma juu yake na cathe ahadi mbalimbali jinsi alivyokuwa akimpenda

Inauma sana seven alijuwa sana kulia alilia mno

ndipo john akakamata usukani na kugeuza gari alitaka amrudishe seven nyumbani lakini alikataa alidai waende hospitar kumuona fahima. basi john akaendesha gari kuelekea hospitari

upande mwingine hotelini ndani ya chumba kulisikika sauti za vicheko alikuwa ni cathe na devi walikuwa wakicheka sana.

"umejuwa sana kuwakomesha yani mkavu wewe aliserna cathe

nilikwambia niachie mimi alisema devi

nakwanini unamuachia sana john akupige alisema cathe

swali zuri sana namtengenezea kesi taratibu bila kujua kashanipiga mara mbili sasa naisubiri

yatatu anajifanya sana anauchungu sasa dawa yake inachemka alisema devi huku wakiendelea kucheka, basi mapenzi yao ndo yalikuwa kama hivo

upande mwingine seven na john waliwasili hospitarini kumuona fahima waliingia mpaka ndani seven akashtuka baada ya kumuona fahima kavua nguo za uuguzi na kuvaa nguo za

nyumbani, seven aliganda kwanza akahisi mojakwamoja watakuwa wanajiandaa kuondoka

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REAL LOVE* Chapter 10




yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga

alioufanya,

niachieeee seven uyu shetani sana seven yani tumemfumania kwa macho yetu afu anajifanya kukataa seven niache alisema john kwa hsira familia zote mbili wakabaki wanashangaa

hebu upumbavu mbona acheni mnatuchanganya ety seven nikweli ulimfumania au hujamfumania niambie ukweli mwanangu. hata ukificha hautasaidia kitu alisema mama

seven kwa uchungu sana

mimi hiko kitu kuamini tabu kwasabauu namjuwa vizuri cathe mwanangu hana tabia hizo. alisema mama cathe,

hapa tunaouhitaji ni ukweli nasisi pia tunamjuwa vizuri kaka yetu hawezi kulia lia hovyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/real-love-chapter-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi real-love-chapter
REAL LOVE  Chapter 13
REAL LOVE Chapter 13
REAL LOVE  Chapter 14
REAL LOVE Chapter 14
REAL LOVE  Chapter 12
REAL LOVE Chapter 12
REAL LOVE  Chapter 15
REAL LOVE Chapter 15
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE*  Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE* Chapter 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.12K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.09K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

230
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

227
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

177
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

170
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

49
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

24
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest