REAL LOVE* *SEHEMU YA SITA*
ndani ya hotel moja kubwa iliyopo posta katika chumba kimoja walionekana devi pamoja na cathe wakiwa wamekumbatiana kitandani, wanyama hawa hawakuwa na wasiwasi wowowte juu ya usaliti wao yani ndokwanza walikuwa wanacheka na kupiga story
yani mpenzi bora tu alivojuwa ili aniachie tu kipenzi changu alisema devi huku akipapasa nywele za cathe
*"mh hahaaha kwahiyo umefurahi mwenyewe*" alisema cathe kwa madaha
*sana tu yani nimefurahi mno maana alikuwa ananikera sana sasa hapa kilichobaki ni kucheza tu mchezo wa hatari alisema devi
**"upi huo babe alijibu cathe
*"tunatakiwa tujifanye tunaomba msamaha yani tujifanye kujutia kwelikweli tunalia hadi machoziiii, hapo mimi naweza kufukuzwa kazi lakini kwako haiwezekani najuwa seven ni jinga kwako hawezi kukuacha we rudi kaombe msamaha akiingia kwenye line tu ufanye jitihada haraka za kupata document zote za mali zake ili kazi yetu iwe nyepesi na tukizipata tu tuondoke kabisa nchi hii" alisema devi
*"daaaaah jamani hhahahha wanasemaga mwanamke ndie masta plan lakini wewe umenizidi sana mpenzi wangu yani ndomana nakupenda na nakukubari kwasababu kwenye mambo ya pesa hujazubaa sio kama liseven linanikera lipo jinga jinga tu kama mwanamke kalegea tu*** alisema cathe
""sasa yule mwanaume nawewe sijui ilikuwaje mpaka ukamkubari sijui ndo hukuniona mimi"*" alisema devi
""nawewe ulikuwa wapi siku zote yani mpaka nakutana na seven ananitongoza sijawahi kukuona si ungejitokeza mapema kwenye maisha yangu""" alisema cathe
*"hahahaahahaah basi jamani mpenzi mimi ndo namakosa am sorry my beautfull wangu"" alisema devi huku akishika shavu la cathe, haya wasaliti hao walionekana kupendana kisawasawa na lengo lao kuu ni kumfilisi seven mali zote hadi kampuni yake na ili wafanikiwe kwahilo wamepanga wajirudi tena kuomba msamaha walikuwa wanacheza mchezo hatari sana
huku hotelini seven alimaliza kukidhi haja yake yaani alimfanya kwelikweli mpaka alipotosheka yeye, alimaliza akaanza kucheka tu yani alikuwa nikama mtu aliyechanganyikiwa hakujari chochote juu ya binti huyo, alijisogeza upande wapili wa kitanda kisha akalala huku anatabasam
si alijifanya hodari mbona kalala dozi imemkolea pumbavu zake na bado akiamka nakiwasha tena mbuzi huyu leo mpaka nimchane yani nahakikisha hawezi kutembea ili apelekwe vizuri hospitar na malaya wake hah seven alisema maneno hayo kisha akacheka sana, wakati huo kitanda kilikuwa na damu sana fahima allumia vibaya mno alichanika kabisa japo sosana lakini aliumia hakuwa anajitambua kwa lolote na haliyake ilikuwa mbaya sana,
nyumbani kwa baba fahima alirudi akiwa amejawa na hasira sana moja kwa moja alijuwa kuna kitu kimempata mwanae kwaswala hilo hakutaka kuzembea hata kidogo alifika na kuanza kumuuliza maswali mkewe
""mama fatuma ilikuwaje mpaka fahima atoke huku analia? aliuliza baba fahima akiwa siriasi kwelikweli, mama fatuma akahisi tayari watu washanwambia na kwakuwa nayeye hajazubaa akaona bora aingope
*"heeee mume wangu binadamu wabaya sana jamani haya huyo fahima ametoka hapa analia saangapi au kwakuwa ndo anaishi na mama wa kambo ndo wanaona wanisingizie au huyo aliyekwambia anakutaka kama anataka mimi niachike aje basi aolewe kha alisena mam fatuma kwa kuruka kwelikwell
""sitaki maneno mengi nimekuuliza swali nataka jibu alisema bab fahima
sasa mume wangu jamani mi kwani nimempiga huyo mwanao katoka hapa tangu asubuhi hajamuaga mtu kwahiyo mimi sijui lolote alisema mama fatuma
""nisikilize kwa makini nama fatuma nakujuwa vizuri sasa nakupa siku moja tu ya kesho yaaani nisipomuona mwanangu ndoa huna na polisi utaenda alisema baba fahima kwa hasira kwelikweli akaingia ndani, safari hii hakutaka kabisa kuzembea, alimuacha mama fatuma akiwa anajiliza nje
""yani fahad leo hii unanitamkia mimi maneno kama hayo au ndo kwasababu mimi sijakuzalia yani unaniacha mimi kwasababu ya mtoto kweli fahad aaah fahad hilo haliwezekani sasa mimi nitampata wapi mwanao lakini alisema mama fatuma jwa uchungu huku analiaaaa,
ndani ya nafai yake alijutia sana kumpiga fahima kwasababu ndiye aliyesababisha kutaka kuachwa kisheria hapo endapo fahima hatorudi kesho basi mama fatuma hana ndoa tena kwakuwa mumewe kashatamka, ila kama atarudi basi ndoa ipo, aliomba sana kimoyo moyo fahima arudi mda huo ulikuwa tayari saa moja usiku
upande wa hospitar alionekana sarafina akiwa ameweka simu sikioni kuna mtu alikuwa anampigia lakini jibu la simu kwamba haipatikani, sarafina alikasirika akakunja sura alikerekwa sana kusikia haipatikani wakati yeye anajambo lake muhimu, alitafuta namba nyingine na kuipiga nayo pia jibu lilikuwa lilelile
ah sasa kaka yuko wapi jamaniiiii aha nachanganyikiwa mama na dada wamelazwa nayeye kapotea simu haipatikani john nae hapatikani devi na cathe hawapatikani jamani sasa nafanyajeee mimi ah" alisema fsarafina kwa uchungu huku akilia ndugu zake walioambatana nao walisogea na kumfariji kwakweli alikuwa anapitia hali ngumu sana hakujuwa kaka yake seven alipo na hali ya wagonjwa ni mbaya alibaki analia tu
majira ya saa tano usiku seven ndipo akashtuka kutoka usingizini mwili wake ulikuwa unamuuma
sanaaaa mpaka akawa anajishangaa kwanini mwili unamuuma hivo, kila sehemu alipojishika alikuwa wa moto japo sio sana lakini ilionyesha wazi ni dalili za homa tu, akanyanyuka na kugeuka pembeni ambapo alilala fahima, akashtukaaaa baada ya kumuona fahima akatazama kwenye shuka akaona damu nyingi zilishagandia
""jesussssssss alirukia chini seven kwa mshtuko alishtuka vibaya sana hakuamini anachokiona akadhani huwenda ni ndoto akasimama tena na kuangalia kitandani akaona vile vile
*"yesuuu
na maria mungu wangu
nimeuaaaaaaa????????
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi