Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee nakumalizia we mpumbavu nyanyuka usepe apo. Yani nikitoka nikakukuta faridah nakuua nakwambia. Mh kiukweli nilijikokota mnoo. Nilinyanyuka kwa kupepesuka. Nilitembea na ukuta .mpaka nikatoka njee ya geti. Njlivyotoka sasa kama bahati boda inapita . Mh nikaisimamisha kwanza .nikamwambia nipeleke nyantakara. Yule boda akaniuliza kwani unaumwa dada .nikasema.hapana. sikuwa sawa kabisa. Yule boda aliniangakia sana akanmbia panda. Yani kupanda boda tu ata siwez. Ikabidi anisaidie. Ila mh akaona sitafika.mana ata kujishikilia tu siwez. Ikanipeleka hospital apo runzewe . Inaitwa chares kurwa hospital. Ni ya private ila sio kubwa . Ni ya kawaoda tu . Basi akaniacha pale. Nilikuwa na hali mbaya mnoo. Ila tu nilipata akiri ya kumuomba simu yule boda na nikampigia simu mama. Nikamwmabia tu mama mi nipo hospital runzewe

Nyieeee sikuweza tena kuongea. Nikaona nguvu zinaisha. Nikawa sijajitambua tena. Nikalazwa pale. Kiukweli akiri ilikudi usiku saa 8 pembeni namuona mama yangu pale anafuta machozi. Akaningalia akanmbia unaendeleaje mwanangu. Nikasema naendelea sawa mama. Niko sawa kabisa. Mama akanambia ulienda kwa uyo mwana haramu kufanya nn. Eeeh umeenda kufanya nn. Anakupiga kama hivi ww ni mkewe . Au kisa kukulipia iyo ada yake. Uhai wako ni muhimu kuliko chochote . Nimeshaongea nae na nishamwambia kama ni shule nitakuludisha ile ile uliyofaulia na utasoma tu. Sitaki tena msaada wake. Kupiga gani uku eeeh . Ni kupiga gani uku. Sitaki nasema .apo mama alikuwa anaongea uku analia. Aseee na mlige alinipiga. Ahaaa hii siku alinipiga. Basi mama alikaaa pale mpaka asubhh. Ndo tukaruhusiwa. Nikaambiwa tu wala mkono sijavunjika ila umestuka tu. Basi gharama zote mama akalipia ndo tukalidi nyumbani.

Nyie nilijiuguza nyumbani kalibia week. Mlige hakunipigia wala hakuniulizia hali. Na mama alinambia marufuku kwenda kwake kujiombesha msamaha. Sasa nenda akakumalizie uo mkono. Basi mie niliona mh kwa kunipiga kule .ataniua kweli. Alafu anajua kaniumiza mpka mama kamsema . Lakini ata sms ya samahani yule bwana hakunitumia .nikajua aya bwana . Alompata sa hivi kamshikilia. Basi mie na mlige tukakaushiana hivyo. Na wala hakuja nyumbani kabisa. Wala hakumpigia tena simu mama. Na kuna jinsi mma alichukia sana ile mlige kunipiga. Ata kumuongelea akawa hamuongelei. Nazani si mnawaelewa wazazi. Hawezi kufurahi kupigiwa mwanae ata kama kakosea ndo ipo hivyo. Basi shoga yenu nilikaaa mno nyumbani . Mpaka wenzangu wa kuludi rikizo wakanikuta nyumbani nimejaa tele. Niliposikia yusta kaludi nilifurahi sana. Nilienda kwao kumuona kwa shangwe. Na alinifurahia sana. Basi akawa anazani na mm ndo nimeludi kumbe mie nyumbani nna mwez naaaaa.

Sikutaka kumficha shoga yangu. Nilimueleza yote .kuanzia upumbavu nilofanya shule . Kila kitu mpaka kupigwa na mlige nusu aniue. Na mpaka mama kugombana na mlige yote nilimueleza .mh yusta alinionea huruma sana . Akanmbia pole sana. Nikasema nishapoa. Ata shule mama kanmbia zinavyofunguliwa . Ananiludsha shule ile ile niliyopangiwa mwanzo. Mh yusta kanambia na mlige akikasilika anabadilika anakuwa chui kabisa. Nikasema ndo hivyo. Na ana madame ana tembea nae . Anaitwa madame milia nasikia ndo mwanamke wake. Hawezi kunikumbuka mie . Mtoto mdogo. Yusta akanmbia basi kuwa na amani na maisha yaende. Kila kitu kitakaa sawa. Nikasema powa

Apo kidogo nikwa na rahaa .na vile yusta karudi .rafiki yangu nimemzoea sana. Mala tukazulule uku. Mala kesho kule. Yani nilichangamka sana. Kuna siku tunapita mpaka kwenye iyo nyumba mpya ya mlige. Nyieee uko nyamsebehi aliachia nyumba. Yani mpaka roho inauma ..na wivu unakuja. Kuwa apa atakuwa anakuja na mwanamke wake mwengine .wakati ningekua naletwa mimi. Ila ndo hivyo . Rohoo inauma sana ila haina jinsi. Yusta akawa ananitia ngivu sana. Kuna mda nilikuwa namuona sana center pale dukani kwake kwa jamila. Ila sikuwa nataka kuwa karibu nae tena..yani nakata zangu kona kabisa.

Ikawa hivyo. Na yeye wala hakuwa ananitafuta ata pesa hakuna. Yani nilikiwa natumia viakiba vyangu tu. Sikuwa na pesa kama mwanzo mpaka.rikizo ikakata. Wenzangu wakaanza kufanya mchakato wa kuludi shule mie nikamuuliza mama akanambia ningoje . Mwanza mpaka tuvune kwa sasa yeye hana pesa. Rohoo inauma unazani nafanyeje. Basi wenzangu wakaondoka mie wakaniacha.nikajuta ata kwenda kusoma shule ya private.bola ningeenda zangu ya serikali tu. Basi ikavuka week mie nipo nyumbani. Apo baba bado hajaludi. Na mama hakumueleza shida zangu. Alinionea aibu na aliona kama atanidhalilisha tu kwa baba. So hakumuambia kabisa. Basi siku uyo. Mie nimetoka zangu kijiji cha pili mama alinituma nipeleke mchele kwa shoga yake uko. Nimeludi nafika pale .namkuta mama anambia mlige kaja apa. Mh moyo ukafanya paaah

Mama akanmbia amesema ujiandae kesho unaludi shule. Mh nikasema mama we umekubali tena. Si ningojee tu unipeleke kule kwa mwanzo mama . Mama akanmbia nenda ukasome mwanangu. Usingoje ambayo ata hatuyajuhi yatakuaje. Naona kasafisha moyo wake. Na kajiludisha nyuma na kaomba msamaha apa. Kuwa zilikuwa hasira. Ila nenda tu ukasome. Nikasema sawa mama . Basi nikaingia ndani nikaanza kujiandaa. Mama akanmbia kasema usibebe hivi vya zamani. Kama fomu mana anakuhamisha shule..mh nikasema ananihamisha. Mama kasema ndio. Anakupeleka shule nyengine ipo kahama apo . Nikasema sawa mama. Basi mie nikaingia ndani kwangu. Ndo nakuta hii siku ndo kanitumia sms

Kanmbia tu vitu ambavyo natakiwa kubeba na vpi niache. Haina ata mambo .sms ni kavu. Mie nikamjibu sawa. Hakunijibu tena.nikapanga tu vitu vyangu. Mama akaja chumbani akaongea sana na mm. Alinambia uyu mwanaume msome. Ni mtu amabea ana hasira sana .ila anakupenda so kuwa nae makini sana. Alafu ela inauma mwanangu .si unaona anakuhamisha shule so kule katupa milion 7 . Anakuhamisha anakupeleka kwengine. Akikukuta na kosa lazima atake kukua. Kuwa makini sana mwanangu shuleni . Naomba ukasome.mie nikasema sawa ntasoma mama. Hakuna shida. Yani hatukalala mama anaongea na mie mpka asubuh kunakucha. Basi mlige aknitumia sms. Nakufata saa 4 asubuh. Mie nikasema sawa. Nikajiandaa tu vizuri. Na saa 4 asubuh mlige akaingia na gari yake

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67


Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee nakumalizia we mpumbavu nyanyuka usepe apo. Yani nikitoka nikakukuta faridah nakuua nakwambia. Mh kiukweli nilijikokota mnoo. Nilinyanyuka kwa kupepesuka. Nilitembea na ukuta .mpaka nikatoka njee ya geti. Njlivyotoka sasa kama bahati boda inapita . Mh nikaisimamisha kwanza .nikamwambia nipeleke nyantakara. Yule boda akaniuliza kwani unaumwa dada .nikasema.hapana. sikuwa sawa kabisa. Yule boda aliniangakia sana akanmbia panda. Yani kupanda boda tu ata siwez. Ikabidi anisaidie. Ila mh akaona sitafika.mana ata kujishikilia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-66-na-67

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

936
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

179
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

133
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

117
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest