Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia tu pale kitandani mpaka mama akaja chumbani akanmbia ebu acha kulia na utulie sawa. Nimeshaongea na mlige. Amesema kwa sasa hayupo sawa. Atakapokuwa sawa mtayaongea sawa tu. Nazani unajua ulivyomuumiza yule baba. Na anakupenda mno so tuliza kichw chako kabisaaa. Yani tuliza kichwa. Na utulie mlige mm ntaongea nae sawa mwanangu. Nikasema sawa mama. Basi nilijiliza apo mpka nikalala.

Aseeee ilikata na week ya pili. Mlige hajanitafuta kabisa na wala hajakuja nyumbani. Nikaona eeh ngoja tu nijichanganye . Mana mda wote kumuwaza tu mlige.nikaona hapana. Siku iyo mie nikatoka . Nikaenda apo centre. Ni sehemu amabayo kwa kijijini kwetu imechangamka sana. Na kuna kabinti flani pale tulimaliza nae shule anaitwa jamila. Ila yeye alifeli.so kuna duka kubwa apa kijiji lilifunguliwa ndo yeye akawa anauza bwana. Basi mie ndo nikaenda pale kuongea ongea. Mana nilimzoea tu uyu jamila. Japo hakuwa rafiki yangu sana. Basi nimefika pale. Tukaongea ongea sana. Jamila akaniuliza shogaaa mbona nakuona siku hizi si unasoma ww.nikamwmabia nimesimamaishwa shoga kuna kitu nimezingua acha kabisa tu.

Kanmbia mh sawa bwana pole . Nikasema.asante bwana .ndo mambo ya shule . Kisha Nikamuuliza kwani hili duka kubwa la hapa kijijini la nani . Mbona gafra naona duka kubwa hilo. Jamila akacheka akasema si la mwalimu wako bwana hili. Nikamuuliza mwalimu gani? Akasema.si mlige kwani hujui. Au ujamuuliza mama yako. Nikasema hapana. Akanmbia ahaa la mlige bwana hili. Kawekeza kijijini. Na ana nyumba yake kule mbele umeiona dada ndo inaishia. Nikasema hapana. Akasema acha kabisa. Kaachia mjengo shoga wa maana na sikia uko mbele. Mie ndo kaniweka apa .nashukuru ananilipa vizur tu. Na hana shida kabisa. Mh nikamuuliza anakulipa sh ngapi kwani akasema laki 2 kwa mwez. Mh na kweli jamila apa anauza mana ananipa.story mda wote ananyanyuka nyanyuka kuhudumia wateja.yani duka la kila kitu mpaka vyakula na kubwa tu. Na fremu kajenga mwenyewe sio ya kukodi.

Nikamuuliza kwani pale shule si alikuwa anatembea na madame zahara. Jamila akacheka akasema mh shogaaaaa zahara nilisikia ata ile mimba ilikuw yake now nasikia anatembea na kamadame kipya kinaitwa madame milia madame zahara si aliamishwa. Ni kamekuja apoo kapyaa na kun mda anapitaga nacho apa. Tena aswaa jioni. Anakashusha kwenye gari yake. Kembembe hivi ila kazuri. Nyie moyo ukaanza kwenda mbio.nikasema ya kweli ayo. Jamila akasema.ila mie sina uwakika nasikia za chini chini na vile namuonaga anapitaga nae apa ndo kabisa mie ata siwaelewi. Nyieeeee moyo uliniuma sanaaa. Nikaona uyu mpumbavu ndo mana kanichunia week 2 hizi kimbe ana uyo maraya wake ngojaaaaaaa

Nikakaa pale najifanya napiga story kumbe namvizia mlige aje. Basi bwana kweli. Mida ya sa 11 jion. Gali ya mlige ikapaki pale. Ilivyopak mlige akashuka. Nikaona kama.kastuka kuniona pale. Ila akajifanya kama hanijuh et anamwambia jamila. Jamila hii ni sehemj ya biashara mbona kama ulikuwa unapiga stiry na uyu mtu. Jamila ndo anamuelekeza sir uyu si faridah yule alikuwa anaongoza darasani amaekuja mala moja kunisalimia. Mie kimya namuangalia tu.nikanyanyuka kisha nikaenda kwenye gari yake nikafungua mlango. Khaa kweli bwana kampakaiza kamadame kazuri chembamba. Karefu. Nilimind nikajua uyu ndo mwanamke wake maraya uyu.

Nikamzungukia upande alipo. Ila mlige alishaniona kabla sijafungua mlango wa gari wa upendo aliekuwepo yule mdada .mlige akanistopisha kwa harkaa .akanmbia nn. Nikamuuliza kumbe kwa ajili ya uyu maraya ndo unanaikaushia mm si ndio si ndio mlige. Mlige akanmbia niheshimu apa ni bala balani sina mda wa kukuelezea kitu sawa ww mjinga.khaa kisha akanisukuma akaingia ndani ya gari yake. Nyieee nilikuwa na hasira. Yeye kaaanza kutoa gari yake pale et..niliokota jiwe nikapasua kioo cha nyuma chotee. Mlige akasimamisha gari kisha akashuka akaja kuangalia nyuma. Aseee nilipasua sehemu kubwa.akaningalia sana. Kisha akawa hajaongea kitu akaingia ndani ya gari yake akasepa..nilichukia . Nilimind kinoma.nikasema.uyu kanizalau namfata uko uko kwake runzewe naenda kumuwashia moto anaijue vizuri. Mda wote uo jamila na baadhi ya watu walokuwa kalibu walikuwa wanashangaaa

Jamila akanambia we faridah umechanganikiwa .nikasema niache. Shoga yenu nikachukua boda. Mana mkononi nilikuwa na pesa kama.elfu 20.nikamwambia nipeleke runzewe.basi yule bodaa akanipeka mpaka runzewe kwa mlige. Nimefika pale kafunga geti . Yani bado hajaludi.nikajua kampeleka maraya wake kwanza. Nilikaa nje mnoo. Yani mpaka saa 3 usiku ndo mlige anaingia na gari yake. Nikaangalia kwa nyuma kashaitengeneza kiooo. Basi alivyoniona akashuka nikamuanziashia pale.pale. nikamuuliza madame milia ndo nani. Nambie ndo nani ndo mwanamke wako si ndio. Mlige akaningalia aknmbia ludi kwenu ntakufanya kitu kibaya sana. Wazazi wako wanichukie nikasema wewe mjinga nn. Unaniona mm mjinga eeeh kumbe ulitafutia sabbau juu ya kosa langu ili upate mda zaidi wakuwa na yule kimbao mbao chako si ndio.

Mlige akanyamaza kimya akafungua geti. Akaingia katika gari yake akaingiza gari ndani.niliona ni zalau.na moyo unauma sana. Kashuka akafunga geti lake. Alafu akawa hanisemeshi anaongia ndani kwake et . Khaaa nilivua kiatu changi nikamlushia nacho cha mgongoni. Apo ndo nilimchokoza akanifta akaniwasha mabao mawili ya nguvu. Sijakaa sawa akaanza kunivuta akanipeleka ndani. Aseeee kaaanza kunipigaa. Yani alinipiga hii siku mligeee. Ahaaaaa mpaka nilijuta kwa nn nilikuja .akawa ananambia unaniona mm msenge sio. Unahisi unanaiweza sana. We si umekutwa shule unapiga kiss na mwanaume wako yule zayd..mi nimeongea nn. We nani unanaifatilia maisha yangu mpumbavu ww sasa ndio ninae mwanamke uyo mdamae milia ndo mwanamke wangu na sikutaki maraya ww. Nyieee apo ni anaongea uku ananipiga nililia mnoo. Ata kumludishia kwani naweza..akasema.alafu unakuja kunitia hasara za jioni unapasua gari yangu kiooo.leo nakuuaa.nyieee mbona nilianza kuita msaada mlige aalinipiga mpka mkono uligokaa.nikaanza kumuomba msamaha. Aseeee aliniwasha mnoo. Nikawa sasa ata kuona mbele sioni. Kishs akanisukuma njeee akanmbia nenda kwenu maraya ww sikutaki ntakuja kukua. Uo mda ni usiku kama.saa 4. Mwili umetutumka ata mkono haufanyi kazi nyieeee. Nilijalibu kunyanyka ila.sikuweza nilianguka kwa nguvu mpka chini.

Oyaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeee . Watu wana mapenzi ya hasiraaa. Aseeee season 3 ya uhuu mzigo ndo tinaishia apa.lakini bado faridaha ana mengi ya kutusimulia. Ebu tuungane nae season ya 4 soon itakuwa tayari . Nawapenda❤️

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65


Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia tu pale kitandani mpaka mama akaja chumbani akanmbia ebu acha kulia na utulie sawa. Nimeshaongea na mlige. Amesema kwa sasa hayupo sawa. Atakapokuwa sawa mtayaongea sawa tu. Nazani unajua ulivyomuumiza yule baba. Na anakupenda mno so tuliza kichw chako kabisaaa. Yani tuliza kichwa. Na utulie mlige mm ntaongea nae sawa mwanangu. Nikasema sawa mama. Basi nilijiliza apo mpka nikalala.

Aseeee ilikata na week ya pili. Mlige hajanitafuta kabisa na wala hajakuja...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-64-na-65

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

943
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

195
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

128
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

119
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest