Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*REALLY LOVE  💕💕💕* *1-5*
Gonga94 · Stories

*REALLY LOVE 💕💕💕* *1-5*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
*SEHEMU YA KWANZA*

"""""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala

"""""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana kuonesha kuchoka mno

""""lakini babe jikaze maana si unajuwa kampuni inakutegemea sana usipoenda siku moja tu itayumba amka basi my nishakuwekea maji chooni mpenzi"""" alisema catherini kwa madaha mtoto wa kike akimbembeleza mpenzi wake

"""""" sawa ila mimi siogi"""", alisema seven huku akinyanyuka

"""jamani babe si nakuogesha hebu twende"""" alisema catherin kisha akamshika mkono mpenzi wake na kumpeleka chooni, alimuogesha vizuri na kumuandaa ipasavyo alipendeza sana alimuandalia kifungua kinywa alikunywa kisha akaingia kwenye gari na kuwahi kazini

hao walikuwa ni wapenzi wa muda mrefu sana takriban miaka 4 walipendana sana japokuwa walipitia changamoto nyingi lakini walizivuka na kufikia hatua ya kuvishana pete sasa ni wachumba rasmi na wanatarajia kuwa mke na mume miezi ijayo,

wazazi wa catherine walikuwa ni wafanya biashara maarufu sana mjini hapo dar es salaam, waliishi maeneo ya masaki katika jumba lao la kifahari,, walimuacha mtoto wao kipenzi catherine aishi na mchumba yake nyumba moja kwakuwa tayari washakuwa wachumba rasmi, walimzaa catherine na kaka yake calor ambaye yeye yupo nje ya nchi india kwa masomo zaidi,

huku kwa seven yeye na catherin waliishi ostabei, na seven alikuwa na mzazi mmoja tu mama yake ambaye ndiye aliyemlea sana kuliko baba yake ambaye yeye alifariki mda sana tangu seven yupo kidato cha pili, wao walizaliwa watatu huku seven akiwa mtoto wa pili kuzaliwa na mtoto wakiume pekee katika familia yao, dada zake wote walikuwa masomoni kila mmoja alikuwa nchi nyingine

mama seven alijitahidi sana kuwalea watoto wake hao na kuhusu pesa hakupata tabu kwakuwa marehemu mumewe aliacha mali nyingi sana na ndizo zilimsaidia kuwasomesha watoto wake selina seven na sarafina, watoto hao wote walikuwa na elimu za juu san, selina alikuwa akisomea udaktari wa upasuaji na seven yeye alihitimu masomo ya biashara na kunzisha kampuni yake ya biashara ijulikanayo SEV BUSINESS na sarafina yeye bado alikuwa akisomea masomo ya uhasibu hakutofautiana sana na kaka yake seven, mama seven yeye alikuwa akiishi kibaha katika jumba lake zuri sana

fsmilia hizo zote mbili zilikuwa na maisha mazuri sana hawakuwa na shida hata kidogo nawote waliridhiana watoto wao wawe wanandoa rasmi,

basi seven aliwasili kazini na kuingia ofisini alisalimiana na wafanyakazi wake kisha akazama ofisini kwake, kabla hajakaa kwenye kiti ghafls akaingia kijana mmoja wa maksmo ya seven akiwa nadhifu kwelikweli

""""oya mwanangu vipi""" alisalimia kishkaji kijana huyo

"""safi vipi devi mbona kuhema kaa hivo mwanangu"""" alisema seven

"""dah huwezi amini amekuja mr thomas asubuhi hiihii amekuja kuwekeza pesa"""" alisema devi kwa furaha mno, na kumfanya seven apige kelele moja kwa furaha sana

""""""yeeeeeeeeees yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessss:"""" alifurah sana seven kwa furaha

"""yani boss wangu nakwambiajee hapa tutatoboaaa"""" alisema devi kwa tabasam sana

"""kweli kabisa tunapoelekea ni pazuri sana""" alijibu seven

"""kwahiyo ngoja mi nikaendelew na harakati zingine boss"""" alisema devi

""""subiri wewe haraka ya nini sasaaaaa"""" alisema seven jwa furaha sanaa

""""haraka yanini wakati badae utanigeuka wewe utasema nilijichelewesha mumaliza kazi"""" alisema devi

""""haahhahha kazi zinachosha ujue hapa sikutaka kuja ila shemeji yako ndo kaniburuza nije"""" alisema seven

''"""" duuuuh shem apewe mauwa yake jamani vipi lakini yuko poa"""" alisema devi

""""kabisa anakusalimia""" alijibu seven

"""poa mwambie badae nakuja kula"""" alisema devi kwa utani

""""poa poa"""" alisema seven, basi waliachaa kibuvyo devi aliendelea kufanya kazi zake na seveni nae pia, hao walikuwa ni mtu na boss wake lakini pia walikuwa ni ndugu rafiki yaani niule urafiki wa damdam wa kushibana sanaaa mpaka kufikia kuwa kama ndugu walipendana sana walipendeza wote walikula wote walifurahi wote walipendana mno,

upande mwingine katika baa kubwa sanaaa moja iliyopo town uswahilini maeneo ya buguruni sheli kulikuwa na watu mbali mbali wakinywa na kucheza asubuhi hiyo yani asubuhi tu watu washaamsha popo🤣 wanapiga mswaki na pombe🤣 kulikuwa tafurani kwelikweli mziki uliowashwa ulizidi kuwapagawisha sana wateja hao """" naaakama penzi ni chupa la bia nipe sana niwe mlevi niyumbeyumbe njia """"nyiee nyumbo hiyo iliwavuruga sana watu walizidi kunywa na kustarehw


katika chumba cha muhudumu wa bia aitwae agness alikuwa akizungumza na shoga yake fahima

"""niazime baaasi elfu hamsini tu ya mtaji ntakulipa jamani egi""""" alisema fahima mdada mmoja safi sana mpole asiyejuwa kuongea sana mnyenyekevu mstaarabu mwenye mavazi mazuri ya heshima asiye na mambo mengi

:""""tatizo nawewe fahima nakwambiaga sana tu jiongeze shauri yako mjini hapa"""" alisema agness kwa maneno ya ushawishi

"""" jamani eg unajuwa kabisa mambo ya kujiuza kama wewe mimi siyawezi hebu nikopeshe hizo pesa mimi bhana""" alisema mdada huyo fahima

:""""utazeeka vibaya wewe jifanye bikra maria tu shikaa""" alisema agness huku akimkabidhi fahima pesa hizo, basi fahima hakuona haja ya kukaa tena waliagana na kunyanyuka wakati anaondoka alipishana na mbaba mmoja wa makamo mzee huyo alimuangalia sana fahima kiasi kwamba mpaka akasahau muelekeo

Itaendelea

EPSODE 2

mbaba huyo akageuka na kuelekea alipo agness
""""vipi mzee baba boss mwenyewe baba laoooo"""" alisema eg kwa masihara zaidi

"""safi tu wewe kuna mtoto mkali nimekutanana nae pale mwisho wa mlango nani yule""" aliuliza baba yule kwa uchu sana

"""hahahha umemuelewa eee sasa kwanza kabla sijakwambia nani kaa ukijuwa yule mgumu kama nondo ya mbinguni"""" alisema eg huku akicheka

"""aaaaa wewe eg acha mambo yako mwanamke pesa tu nitamwagia pesa yule anakuja mwenyeweeee"""" lisema baba huyo kwa kujisifu sanaa

"""haua tuone yule ni rafiki yangu ukitaka nikufanyie mpango laki moja mkononi""" alisema eg kwa biashara zaidi

.""""bhana pesa kitu gani wewe nifanyie akikubari tu mkono kwa mkono anaingia geto namimi nakupa chako"""" alisema mzee huyo

"""hahahhaha ndomana na kukubari tajiri"""""" alisema eg huku akicheka sana, basi wakaendelea kupiga story zingijne

muda ulienda jioni ilifika kwa upande wa seven siku hiyo aliamua kwenda nyumbani kwa mama yake akamsalimie japo kidogo tu, alienda mpaka kibaha alifika na kupokelewa vizuri tu

"""habari za siku mwanangu""" alisema mama seven baada ya kufika seven

"""nzuri tu mama sijui hapa""" alijibu seven

"""tunamshukuru Mungu mwanangu vipi mkwe wangu anasemaje""" alisema mama seven

"""":hajambo hivi nimechelewa leo nitakoma mbona ataanza vurugu lake""" alisema seven

"""ndo mapenzi hayo mwanangu"""" alisema mama seven

""""haya mama lete mapya nilikuja tu kuwasalimia"""" alisema seven

"""mwanangu kwanini unazuia tusianze taratibu za ndoa yenu?""" alisema mama seven

""""""" mama wewe usijari ujue nina bonge la sapraiz nataka nimsapraiz cathe kwahiyo niachieni mimi """" alisema seven kwa tabasam

"""jamani haya mwanangu tunakuachia""" alisema mama seven basi wakaendelea kuzungumza mambo mengi sana hadi ikafika saa mbili usiku ndipo seven akaondoka,

uku upande wa cathe wakati huo alikuwa amejilaza kitandani huku akiongea na simu tena kwa sauti ya mahabba sana

"""""utakuja lini sasa babeee jamani""" alisema cathe kwa mideko

"""""usijari mke wangu jamani""""" ilisema sauti hiyo nzito ya kiume

""""ah my ujue nimekumiss sana fanya uje kesho maana huyu mshenzi kesho najuwa tu atachelewa kirudi kazini kwa kuwa anakikao"""" alosema cathe

:""""usijari babie wangu nitakuja kukupa dawa chimami wangu"""" alisema mtu huyo

""""jama,,,,,,,, """"" cathe alitaka kuendelea kuongea lakini alishtuka gaflabaada ya kusikia mlango unagongwa hraka akakata simu na kwenda kifungua mlango alikuwa ni mpenzi wake na mchumba wake seven, alimpokea na kuingia nae ndani

":::ulikusa wapi seven sahizi saa ngapi"""" alisema cathe kwa ukali mno

"""cathe kpenzi nipe basi hata pole jamani hata bado sijakaa ushaanza kulaumu """ alisema seven

"""halafu seven usinichanganye nitaenda kumwamby mama mambo unayonifanyia"""" alisema cathe kwa ukali

""""jamani cathe haya hiyo tabia ya kwenda kusem mambo ya ndani umeanza lini""" aliuliza seven, cathe hakumjibu aligeuka na kuelekea chumbani, seven akabaki palepale seblen, kutokana na uchovu mwingi aliokuwa nao alijikuta akipitiwa usingizi palepale kwenye sofa

asubuhi na mapema katika mji wa kariakoo alionekana mwanadada fahima akiwa anauza maandazi akiyatembeza huku kichwani amebeba deli la maandazi
alizunguka sana kuuza alijitahidi yaliuzika kidogo alipoona yamebaki machavhe akaamua kupanda gari la kwenda tandale ili kuyamalizia huko ambako ndiyo kwao, akiwa kwenye gari mara simu yake iliingia ujumbe kutoka kwa shoga yake agness """NJOO UKU MWAYA KUNA BONGE DILI FANYA HARAKA"""" ujumbe ulisomeka hivo basi ikabidi ashuke na kupanda gari lingine litakalompeleka hadi buguruni

ndani ya kampuni ya mr sev business shughuli za hapa na pale ziliendelea kila mmoja alikuwa na kazi yake, mpaa muda huo boss wa kampuni hiyo bado hakufika kazini, ndani ya ofisi mojawapo alionekana kijana devi rafiki mkubwa sana wa seven akiwa na namwenzie wakipiga story

"""boss leo kachelewa sana""" alisema devi

"""itakuwa anafanyiwa masaji hahaa siunajuwa mkewe alivokuwa anampenda mumewe"""" alisema kijana mwingine

"""ah ndo wanawake walivyo halafu kuna kitu nimekumbuka ngoja narudi""" alisema devi kisha akafungua mlango na kutoka nje ya kabisa ya kampuni hiyo alitafuta mahali pazuri za kukaa akajibanza vizuri alitafuta namba aliyoisevu future wife kisha akaipiga simu iliita kisha muda sio mrefu ikapokelewa

"""hellow babeee""" sauti nzuri ya kusisimua ya mwanamke iliipokea simu hiyo kwa mideko

"""yes babe vipi ujue nimemiss sana mauundu yako jamani saa ngapi leo sasa::"""" alisema devi

"""jamani babe usijari maana huyu kanyau kashaondoka mda tu na kasema leo kuna sehemu anapitia kwahiyo hata usijari saa nane mchana tu tuwe kwenye hotel yetu pendwa"""" alisema mwanadada huyo

"""""ah babe mi leo sitaki hotel nataka ndani humohumo unipikie kabisaa"""" alisema devi

"""usijari babeeee karibu """" alijibu mwanadada huyo

"""tafurahi sana babeee nakupenda"""" alisema devi

"""nakupenda pia wa ndoto zangu:"""""" alisema mwanadada huyo basi simu ikakatwa na devi akatabasam kisha akaondoka haraka kuelekea ofisini

upande mwingine katika nyumba ya mama seven kulikuwa na harakati nyingi sana nikama bile kulikuwa na shererhe huku seven nae akiwepo yani walikuwa wapo bize sanaaa na wafanyakazi kuwaelekeza jinsi ya kupamba nyumba hiyo,

nyumba ilipambwa vizuri sana ilipendeza mno kuna viti viwili viliandaliwa vya maana yani kama vya mfalme kwajinsi vilivyo andaliwa, ndugu najamaa walikusanyika katika jumba hilo yani kulikuwa na shamra shamra nyingi san, ndipo mama seven akamvuta seven pembeni ili wazungumze

""""we seven inamaana huko cathe hajui lolote"""" aliuliza mama seven

"""ndiyo mama hajui tena nimemwambia kabisa kuwa leo nakikao kazini ko nipo bize yani nimemkata stimu kabisaaa"""" alisema seven

""""ilawewe unahatari ndoa gani yahivi jamani"""" alisema mama seven

"""hahaaaaha mama niliwaambia tulieniiiiii """" akisema seven, kisha akapiga simu namba ambayo aliisevu john, simu iliita kisha ikapokelewa

""""" hellow boss"""" alipokea sinu john

."""vipi apo ofisini shwari""???? aliuliza seven
.
""""ndiyo boss niandalishe camera mda gani"""" aliuliza john

""""mida ya saa 9 hivi"""" alisema seven
.
""""sawa boss wangu limeisha hilo"""" alisema john, basi seven alikata simu na kumuangalia mama yake kisha akatabasam walifurahi sana

uku maeneo ya buguruni bar alifika fahima akaenda moja kwa moja kwa rafiki yake agness ambaye alikuwa amekaa ndani ya chumba kidogo kama mapokezi

"""eheee bora umekuja shoga angu hebu kaa hapo""" alisema agness na fahima akakaa

"""shoga kuna pesa nyingi mamilioni ya pesa yaaani kama ningeipata mimi hiyo daaa acha tu"""" alosema agness

"""ujue unanichanganya niambie basi mwenzio nimechoka na nyumbani kazi zinanisubiri mama mwenyewe unamjuwa ongea basi""""" alisema fahima

"""mh na mama yako kiboko yani kauzu yuleee"""" alisema agness...

""" achana nae niambie""" alisema fahima

"""shoga kuna mbaba mmoja boss hatari anamapesa huyo acha tu alikuona sikuile akakuelewa shoga angu usikatae usiku mmoja tuuu milioni mbili usikatae shoga angu kiwanjaaaa utanunua shoga angu kubari"""" alisema agness kwa ushawishi, fahima akamuangalia sana agness kisha akasonya na kunyanyuka

"""hivi wewe eg ni mara ngapi nakwambia mimi sijiuzi? mbona huelewi wewe hivi unanichukuliaje lakini, sikia kama anapesa sana kajiuze kwake, wewe siupo nenda usinihusishe kwenye mambo yenu badae nakuja kukupa pesa yako nishaipata kwaheri""""" alisema fahima kisha akaondoka, agness alibaki tu kupindua mdomo wake asijue la kusema

"""""anajifanya bikra mariaa siku yako moja tu utakubari mwenyewe"""" alisema agness, fahima ni binti ambae alikuwa akiishi na baba mzazi pamoja na mama wa kambo, mama yake mzazi alifariki miaka miwili iliuopita ndipo baba yake akaoa mwanamke mwingine na kuzaa nae mtoto mmoja, mwanamke huyo anae alikuja hapo na mtoto wake amina ambaye alizaa na mume aliyepita,

fahima alikuwa akiishi maisha magumu sana alikuwa akiteseka sana, baba yake alikuwa hajui lolote muda wote yupo kazini, kazi zote za nyumbani alizifanya fahima, mama fatuma yeye alikuwa hashuguliki na chochote japokuwa fatuma alikuwa binti mkubwa sana lakini hakumtuhusu afanye kazi yoyote ile, fahima ndipo akajiongeza atagute mtaji ili afanye biashara ya kuendesha maisha yake na wala hakutaka kumwambia lolote baba yake kwakuwa anaogopa anaweza kuwagombanisha,

basi muda huo unaelekea mchana ndipo fahima alirudi kwao yani ile kufika tu alishtukia amemwagiwa maji machafu mwili mzima na fatuma

Itaendelea

EPSODE 3

fahima alijiangalia juu hadi chini jinsi alivyomwagiwa maji aliumia sana machozi yakaanza kuntiririka kwa uchungu kwelikweli alitamani hata ampige lakini ndohivo hakuweza kitokana na mama yake,

"""hivi wewe mbuzi unajijuta nani hapa ? yani unaondoka hujafanya chochote nani aoshe vyombo nguo chafu zimejaa ndani hujafua unajifanya upo bize na biashara yako nyoooo unatafuta pesa au mabwana? sasa sitaki unisemeshe ingia ndani haraka katoe nguo ufue kenge wewe""""" alisema fatuma kwa dhihaka kwelikweli alikuwa anamdharau sana dada yake, fahima hakumjibu kitu alifuta machozi kisha akaingia ndani alifika kitandani na kujitupa akaanza kulia alilia sanaaa

hakujuwa nini mwisho wa hayo mateso hakujuwa nayeye lini atapata amani alilia mnooooo alilia sana na kulia,

upande mwingine katika nyumba ya seven alionekana cathe akiwa anaandaa chakula mezani na muda huohuo mlango wa seble hiyo ukagongwa cathe alisipiga hatua na kwenda kufungua mlango, alitabasam baada ya kumuona mtu aliyempenda sana si mwingine alikuwa ni devi rafiki wa karibu sana na seven, jamaa alikuwa akimsaliti rafiki yake kwa kutoka kimapenzi na mchumba wa seven huku nae cathe alikuwa akimsaliti mchumba yake seven kwa kutoka na rafiki yake devi,

cathe alimkatibisha vizuri mpenzi wake huyo kwa mabusu motomoto, waliingia mpaka ndani wakaongozana hadi chumbani chimba ambacho cathe huwa analala na seven,

"""my why umenileta humu jamani yani nikiona nguo za huyu seven nahisi kutapika sitaki tufanye humu"""" alisema devi kwa chuki kubwa sana alionesha dhahiri ni kiasi gani anamchukia boss wake seven

"""""jaman babeee vyumba vingine vina vitu muhimu imebaki seble tu"""" alisema cathe

"""mara kumi tukafanye seblen kuliko hapa tena nimekumiss sana my wangu""""" alisema devi kisha akambeba juu juu cathe na kumpeleka seblen mchezo wa kikubwa ukaanza devi alikuwa na mizuka kwelikweli alimpeleka moto bibie cathe na kujisahau kabisaaa kama anafanya zambi kubwa sana

upande wa seven alikuwa na furaha kubwa sana masikiji bila kujuwa kama kunabsiri nyuma ya panzia alitayarisha kila kitu akavaa vizuri akatoka na rafiki yake pia mfanyakazi wake john ambaye ni camera man pia na kuelekea nyumbani kwake ili kwenda kumsapraiz cathe,

"""kwani devi hukumpigia simu"""" aliuliza seven

"""mh he wewe mwenyewe unamjuwa devi alivyo na harakati nilimpigia simu muda sana akasema atakuja ila atachelewa maana ameitwa na maza wake"""" alisema john

"""daah poa bhana nilitamani kwenye safari hii nayeye angekuwepo lakini ananikatisha tamaa kwa staili hiyo haya"""" alisema seven kisha gari ikazidi kusonga mbele zaidi

upande wa pili nyumbani kwa mama fatuma a ka a mama mgumu ndo jina lake la mtaani hilo, yaani ni mgumu kweli mtata vibaya mno, mama fatuma nayeye ndo alikuwa anatoka kwenye mizunguko yake alikuwa anakopesha sabuni za unga majumbani, alifika na kuanza kumuita fahima amuandalie chakula lakini jibu alilojibiwa ni kwamba chakula hakijapikwa bado weee alikasirika akaona usinitanie

aliingia chumbani kwa fahima akamkuta amelala aiseee alimvuta masikioooo kwa nguvu sana maumivu yalikuwa makali sana ambayo yalimshtua fahima na kuamka huku akilalamika anaumiaaa, hajakaa sawa akapigwa kofi la mgongo akaongezewa lingine fahima akajiongeza akapata kaupenyo na kutimua mbio alitoka mbio hadi njee akavaa viatu na kukimbia

""""mshenzi mkubwa wewe na usirudi hapa unabahati ngurue wewe ningekutoa ngei leo mbwa wewe"""" alisema mama fatuma kisha wakaanza kucheka na mwanae, hayo ndiyo maisha halisi ya binti fahima aliishi kwa tabu sana nyumbani hapo, alikimbia na kupanda gari hadi buguruni kwa fafiki yake agness, alifika na kuanza kulia sana eg akajuwa tayari kishanuka akaanza mumbembeleza rafiki yake huyo

upande mwingine nyumbani kwa seven sauti za mahaba zilitawala mtoto wa kike cathe alikuwa anakunwa kisawasawa kiasi kwamba anatoa sauti za miguno ambayo hadi nje inaweza kusikika, walikuwa katika sayari nyingine kabisa hawakujielewa hata kidogo kutokana na shuguli tamu waifanyayo, namuda huohuo seven na rafiki yake john walifika na kufungua geti kisha wakaingia ndani

seven alikuwa na tabasam sana lakini tabasam lake liliacha kutawala baada ya kuona kuna viatu vya kiume hapo nje, alishtuka kidogo lakini akajisemea huwenda kuna mgeni maana yeye ni mtu wa kupokea wageni kila mara kutokana na kazi yake ya biashara, nasi wakafungua mlango na kuzama ndani

""""jesus""" seven alitamka neno hilo na kutoa macho kama mjusi baada ya kumuona mchumba yake akiwa na rafiki yake devi uchi wa mnyama wakifanya starehe zao,

"""noooo"""" sauti ya cathe ya uoga ya kutoamini alichokiona ilitoka, alijiziba mdomo akiwa bado haamini anachokiona, john hakuweza kuvumilia alisogea kwa hasira na kumpiga ngumi moja devi iliyomtoa hadi damu mdomoni john alikasirika sana hakuamini anachokiona, seven alijikuta akidondoka chini mzima mzima nguvu zilimuishiaaa kabisa hakuweza hata kugeuka pembeni akabaki tu anawaangalia
....

""""" sikujuwa kama wewe ni shetani katili kiasi hiki yani siku ya kuoa seven rafiki yako kipenz anaoa siku ya leo ety nawewe ndo unamuoneshea kama unadeti na mchumba yake hivi wewe ni fala eeeh huna maana kabisa hukuona wanawake wote wewe mpaka umtongoze shemeji yako nyie huyu ni fala kabisa"""" alisema john kwa hasira sana alikamata kikombe kimoja cha udongo na kumrushia devi ambacho kilimpasukia na kuanza kutoka damu maeneo ya kifuani, seven akanyanyuka haraka na kwenda kumshika john ili asije akamuumiza

""""" unanizuia nini wewe hebu niache seven huyu si wakuachwa huyu yaani nataka nimfundishe adabu huyu""" alisema john kwa uchungu sana yaani hadi machozi yakawa yanamtoka aliumia sanaaa kuona rafiki yake anasalitiwa kwa namna hiyo, alipata uchungu sana kana kwamba yeye ndo kasalitiwa, seven hakusema kitu alimvuta john nje na kumuingiza ndani ya gari kisha akawasha gari na kuondoa spidi,, aliendesha gari huku akitokwa na machozi mfululizoo

Itaendelea

*SEHEMU YA NNE*

upande wa nyumbani kwa seven jamani shamra shamra zilipamba moto familia za oende mbili. zote zilijumuika, na muda huohuo yakaingia magari mawili ambayo ndani yake walikuwa dada zake seven walirudi kutoka msomoni furaha ilizidi kwelikweli, walikaa tayari kumsubiri bibi na bwana harusi

upande mwingine wa devi na cathe wote walikuwa wamechanganyikiwa jinsi walivyokutwa aisee ni tukio la kudhalilisha sana, walikaa na kutafakari mengi sana

""sasa itakuwaje devi alisema cathe kwa wasiwasi

**sikiliza kwasasa hatutakiwi tuwe hapa chukua nguo chache haraka tukakodi chumba hotelini tupotee ndani ya sikuhizi kisha kukipoa tutarudi tayari tushasababisha balaa alisema devi

lakini devi mimi ndo naona balaa litazidi endepo tutatoroka" alisema cathe

hatuna jinsi cathe kishanuka hapa fanya haraka tuondoke" alisema devi kwa msisitizo, basi cathe akanyanyuka haraka kuelekea chumbani alivaa haraka haraka na kuchukua nguo chavhe tu akatoka spidi mno wakatoweka haraka maeneo hayo,

hatimar seven na john walifika nyumbani watu walishangilia na kupiga vigelegele baada ya kuona gari la seven likiingia hapoa, camera man. zikategeshwa watu wengi walishika simu zao ili kurekodi matukio kadhaa kama mujuwavyo kwenye maharusi,

seven alishuka huku akijifuta machozi watu walizidi kushangilia baada ya kumuona seven akifuta machozi wakizani ni machozi ya furaha, lakini haikuwa hivo seven hakuonesha hata kidogo tabasam uso wake ulijawa na huzuni aliwatazama sana watu wote waliokuwepo hapo ndipo machozi yakazidi kumdondoka alipiga hatua za haraka na kuingia ndani, watu wote wakashangazwa na tykio hilo

john nae hakukaa akaingia ndani kumfuata seven, watu walijiuliza imekuwaje mbona hatuelewi kila mmoja alijiuliza swali lake, mama seven alichanganyikiwa baada ya kuona hali tofauti kwa mwanae ikabidi aingie ndani kumfuata huku akiongozana na dada zaje seven, walifika mpaka kwenye mlango wa seven walistaajabu baada ya kumkuta john akigonga malango akimuomba afunguliwe na seven

seven fungua basi tuongee fungua usije kifanya lolote seven tafadhali": alisema john akimsihi sana seven afungue mlango lakini ni kama alikuwa akimpigia mbuzi gitaa, ndipo mama seven akasogea karibu na john maana hakuwa anaelewa chochote

john mwanangu kwani kuna nini hebu niambie baba yangu kuna nini""" alisema mama seven kwa uchingu mno lakini john hakujibu kitu alibaki tu akiwaangalia

john hebu acha mambo yako kama kuna tatizo tuambie kwanini kaka kajifungia mlango sasa*** alisema sarafina, john hakujibu alizidi tu kuwaangalia hakujuwa ataanzia wapi maana cathe alikuwa anapendwa sana na familia hiyo

"ni vizuri mkimuuliza seven" alisema john huku akigeukia pembeni

john sisi sio watoto sawa hebu sema kuna nini we huoni kaka kajifungia huoni kama hatari huoni tunapoteza muda tu apa alisema selina dada yake seven,

tumemkuta cathe akiwa uchi wa mnyama na mwanaume wake wakifanya starehe zao kwenye kochi tena bora angekuwa hata shetani ningesema sawa lakini mwanaume mwenyewe ni devi:**** alisema john taarifa hizo ziliwashtua sana mama seven akadondoka chini na kuzimia hapohapo hakuna aliyeweza kumzuia zaidi ya John maana wengine wote waliishiwa nguvu simu zao zilidondoka chini bila kudondoshwa hawakuamini walichokisikia kabisa

""joooh.... n we..... w... ee unasemajeeeeeeee**** alisema selina kwa kutoamini ndipo john akatikisa kichwa kimpa ishara ya ndiyo. kwamaana hiko ndicho kimemfanay seven awe kwenye hali hiyo, selina nae akadondoka chini mzima mzima akazimia ikabidi sasa waanze kuwasaidia haraka watu wakawabeba mbio na kuwapeleka hospitar,

wengine wakawa na kibarua cha kumbembeleza John afungue mlango walipatwa na wasiwasi sana kuona muda wote huo hakuna dalili ya kufunguliwa mlango ikabidi wafanye utaratibu

wa kuuvunja mlango ili kujua hali ya seven, walianza kuhangaika hatimae wakafanikiwa kuuvunja waliingia ndani na kumkuta seven "mimi kila siku nakwambiaga mume wangu fahima nalaya anajiuza lakini huniamini ona sasa tangu asubuhi hajatia mguu hapa halafu tukisema tunaonekana hatumpendi*** alisema mama fatuma kwa kumchonjea fahima,

baba fahima hakuwa msemaji sana na anamjuwa vizuri mwanae jinsi alovyo hakuwajibu kitu alifungua mlango na kuingia ndani,, akimuacha mama fatuma akiwa bado anaongea

upande wa john aliendesha gari mpaka bar buguruni ambapo alipenda sana kwenda kupata kinywaji, lengo la kumleta seven hapo ni kumuweka sawa kidogo, basi walifika na kukaa kwenye meza, ndipo wakafatwa na agness kuwahudumia

aah boss wangu kitambo sana sijakuona naona leo umekuja na boss mwingine*** alisema agness kwa uchangamfu

"leo siko sawa kabisa leta serengeti mbili*** alisema john basi agness akaenda haraka kuwaletea huku akimuacha fahima ndani, bia zililetwa lakini swwwn alikataa kabisa kunywa. yeye akadai anataka akodiwe chumba kisha aletewe creti zima la soda ya fanta bas, basi haikuwa kipongamizi alikodi chumba kisha akatangulia chumbani

wakati huo wateja walikuwa wengi sana hivo agness akamuomba fahima ampelekee seven kinywaji alimpa cret la soda, ampelekee tu kisha arudi

**we egg wewe hivi unaona sawa kabisa**** alisema fahima

**weee nae ushaanza kupeleka tu mara moja kisha unarudi kuna ubaya gani kwani amesema anataka mwanamke yule kama angesema si ungeona anawachukua hapa hebu peleka kisha urudi unaona nilivo na wateja"*" alisema egg basi fahima akaona isiwe tabu akabeba na kupeleka alifika mpaka mlangoni aliogopa sana kugonga akabaki amesimama tu

Itaendelea

Chapter 5

fahima alijifikiria sana mwishowe akaamua kugonga mlango, aligonga mara tatu kisha ukafunguliwa na seven ambaye alikuwa kifua wazi,

""mungu wangu alisema fahima kisha akageukia pembeni hakuwa anapenda kabisa kutazama sehemu yoyote iliyowazi ya mwili wa mwanaune,

""pita ndani alisema seven

""ha.... pp., ana kaka hizi hapa"**" alisema fahima kwa uoga sana huku akitetemeka sana

""nimesema pita ndani au nikupeleke**** alisema seven kwa ukali kidogo mpaka fahima akashtuka allogopa sana haraka akaingia ndani kisha seven akaufunga maingo na funguo, fahima alizidi kupata wasiwasi baada ya kuona mlango umefungwa na funguo, seven alisogea na kuchukua zile cret za soda na kuweka chini kisha akamuangalia fahima kwa jicho kali mno.

""unajifanya mjanja eee hivi cathe sema nikitu gani ulikuwa unakosa kwangu sema sema cathee alisema seven kwa hasira sana masikini alimuona fahima kama cathe yote sababu ya kuchanganyikiwa juu ya tukio hilo la kusalitiwa, fahima hakumuelewa kabisa

"samahani kaka mbona sikuelewi mimi sio cathe" alisem fahima kwa upole sana huku akitetemeka,, seven alicheka sana baada ya kusikia maneno hayo kitoka kwa fahima

"kwahiyo hadi jina unabadili au sio, ko unazidi kunifanya mjinga au sio, sasa kwa taarifa yako yani cathe hata nikifa leo nikifufuka nakujuwa yani siwezi kukusahau, hahhahahahahaha***** alisema seven kish akacheka sana huku anazunguka ndani ya chumba hicho, fahima hakumuelewa chochote aliona haelewi kitu akaamua kupiga hatua ili kuondoka lakini akavutwa nguo yake na kudondoka chini

"unataka kwenda kwa malaya wako sio, iliukampe utamu, unajifanya wewe ni hodari eeee unajuwa sana kukata viuno eeeeh sasa kama wewe ndo bingwa leo nataka nione uhodari wako wewe si hodari"" alisema seven kisha akaanza kuvua nguo zake, fahima akaanza kurudi nyuma huku analia alipiga makelele ya waaaapi kuomba msaada lakini hayakusikikakabisa kwakuwa madirisha uote yalikuwa ya viooo

uku upande wa hospitali wagonjwa waliwashishwa haraka kupatiwa matibabu mama seven pamoja na binti yake selina hawakuwa na hali nzurk kutokana na mshtuko walioupata uliwaathiri kidogo presha zao hazikuwa sawa kabisa,

uku nje ya bar john nayeye hakutaka kurudi nyumbani aliamua kukodi chumba hapohapo, alienda na bia zake chumbani alikuwa na mawazo sana

""siku nitakayokuja kumtia machoni devi ndo siku nitakayofungwa jela maisha yote""" alisema john kwa uchungu sana alikuwa akimpenda sana seven na kumchukulia kaa ndugu yake, ndio maana aliumizwa sana na tukio lile,

uku nyumbani kwa mama fatuma, mzee fahad ambaye ndo baba yake fahima alipatwa na wasiwasi baada ya kuona kigiza kinaingia bado binti yake hajarudi, hakutaka kupigizana kelele na mkewe, alinyanyuka na kwenda kuulizia kwa baadhi ya majirani kama wamemuona binti yake huyo lakini taarifa alizopewa zilimshtua sana aliambiwa kuwa binti yake fahima alionekana akipita huku anakimbia na kulia machozi Ila hawakujuwa sababu nini, hapo ndipo mzee fahad machale yakamcheza akarudi nyumbani haraka

turudi uku hotel fahima alikuwa bado analia sana huku anapiga makelele ya kuomba msaada alijutia sana alimlaani sana eg alijuttttaaaaaaa alitamani alte japo malaika mmoja tu aje kumuokoa kwenye janga hilo lakini ndohivo yote yalishindikana

"""unafikiri bwana ako atakuja kukusaidia haya piga tu hayo makelele, sasa unalia nini wewe si hodari wa mapenzi eeeh ukanitia hasara ukanipotezea muda ukauumiza moyo wangu na aibu ukanipa mimi sikujuwa kama na mashetani nao wanakuwaga malaya yani ndo kwanzaa naona kwako sasa jitulizeeee" alisema seven kwa hasira kisha akamnyanyua fahima kwa nguvu sana na kumtupia kitandani, masikini fahima alikuwa analia sanaaaa alijutaaaa kwanjni alikubari kuja humo

seven hakujali kilio cha fahima alimvua nguo zote kwa nguvu sana alimbana vizuri sana aiseeeeeeee nyie ni uchungu alimuingilia kwa nguvu mnooooo yani hakuna maandaliziili kwa nguvu sanaaaaaa alseeee fahima alihisi kufa mzima mzima alipiga keleleeee hizo ambazo zilitikisa hadi mapaziaaa, ''''''munguuuuuuuuu alipata maumivu makali ambayo hakuwahi kuyasikia katika maisha yake,

kwanza hakuwahi kabisa kuingiliwa kimwili na mwanaume pili ameingiliwa kwa nguvu sana bila maandalizi hayo maumivu aliyoyapata alitamani kufa aliona bora afe tu kuliko kupata maumivu yale alizidi kupiga kelele kwelikweli huku damu zimtoka mno lakini seven yote hayo hakuyajari yeye aliendelea tu kufamya shughuli yake masikini fahima sauti ilimkauka hapohapo hakuweza tena kutoa sauti nguvu zilimuishia akazimia hapohapo

ITAENDELEA

Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*REALLY LOVE 💕💕💕* *1-5*

*SEHEMU YA KWANZA*

"""""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala

"""""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana kuonesha kuchoka mno

""""lakini babe jikaze maana si unajuwa kampuni inakutegemea sana usipoenda siku moja tu itayumba amka basi my nishakuwekea maji chooni mpenzi"""" alisema catherini kwa madaha mtoto wa kike akimbembeleza mpenzi wake

"""""" sawa ila mimi siogi"""", alisema seven huku akinyanyuka

"""jamani babe si nakuogesha hebu twende"""" alisema catherin kisha akamshika mkono mpenzi wake na kumpeleka chooni, alimuogesha vizuri na kumuandaa ipasavyo alipendeza sana ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-1-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

588
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

542
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

365
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

347
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

315
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

39
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

27
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

26

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.26K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  💕💕💕* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE 💕💕💕* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❤️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest