Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
Gonga94 Β· Stories

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
7 MPAKA 9
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑


Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani saa 2 usiku wanafunzi kama watu . Alafu chuo ni kikubwa .mi nilipenda sana mazingira yake nilipapenda sana. Basi mimi nikaludi rooom kisha sasa nikampigia mrembo wangu nikaongea sana. Asee mpka nimelala lemi hakurudi.yani nilikuja kustuka asubuh kabisa ndo namkuta kitandani kwake kalala sikuwa ata nimeelewa kuwa uyu bwana aliludi saa ngapi.

Basi mi nikapotezea .nikaenda bafuni kujimwagia kisha sasa .nilimuomba lemi anisindikize mjini nikanunue simu kubwa .mana dada alinipa laki 3 ya simu. Kweli lemi hakuwa na shida. Na akanisindikiza mpka mjini.na yeye ni mtaalamu sana wa mambo ya simu. Mimi sikuwa naelewa kabisa chochote kuhusu simu kubwa.ila mshikaji wangu lemi ndo akanielekeza sas lale na akanishauri simu tukanunua kama laki 2 na 50. So nikabaki na kama na 50 . Hii pesa nikamwambia lemi tupite kwa wakala kuna mtu nimtumie .akanmbia mh shemeji nini.nikasema uwakika hiyo. Akanmbia ahaa ndo mana unanambia mademu sio vitu vyako kumbe unalinda penzi mwanagu. Nikacheka nikamwambia kausha .na ile pesa mimi nikaenda kumtumia fatuma elfu 50.

Akanipigia akanmbia jamani mbona umenitumia pesa ww ushatulia na ushaweka mambo sawa. Nikamwambia yaa mpenzi kuwa na amani .we iyo pesa fanyia mambo yako madogo madogo. Kisha nikipata nyengine nakutumia .apo nlikuwa nangoja boom na tayri lemi alishanmbia kuwa j tatu ni uwakika tunaekeea wanafunzi wote. Na kwa kipindi iko ilikuwa inaingia laki 5 kwa miezi 2. Nikajua ntajibalance tu. Alafu dada ananipenda sana na kunisuppirt mno.mda wote anapiga et pesa imetosha au nikakope nikutumia.namwambia wala usijali we tulia dada mim mwanaume ntafosi. Anambia kwenda uko kwa uanaume gani. Ahaa dada angu ananitania jamani mpaka natakaga kulia .ila ananipenda sana na ananipambania sana dada yangu kiukweli.

Basi baada ya kumtumia mchumba sasa tukaludi zetu chuo. Na nikaanza kutumia hii simu kubwa sasa. Nikafungua magroup ya chuo na mwanangu lemmi ndio alinunga kwenye ayo magroup. Mana chuo bila ya simu kubwa inakuwa majanga kinoma noma.Na kesho yake kwanza nilianza kufatilia registration ya chuo. Na mpka saa 7 nikawa nishamaliza kujisajili pale chuok na usiku ndo nikaingia vipindi sasa.mi ata class nilikaa zangu na lemi tu. Na mimi nikiwa darasani uwa ni msikivu sana. Aseeeee napenda sana kusoma na naelewa kilichonileta chuo do siwez kufanya ujinga kabisa. Alfu nna kichwa kizuri mno cha kuelewa kitu haraka na kikaaa tu kichwani namshukuru mungu kwa hilo.

Basi tukapiga sana vipindi pale baada ya apo jioni sana ndo tukaludi zetu hostels kupumzika. Aseeee ilikata kama week nipo napiga kitabu mno na nilishazoe chuo sasa. Na mpenzi naongea nae vizuri kidogo presha ishamshuka. Na nilipipata pes ya boom hamuwez amini .nikampa laki 3 fatuma. Nikamwambia kaa nayo na ufanye matumizi yako kisha mimi ndo nikabaki na laki 2. Nikajua mimi mwanaume ntabisha tu. Ila fatuma ni wakike. Alafu ni binti mzuri asije aktokea kijana uko akamshawishi mambo yakwa mengi.na kila siku lazima mm na fatuma tuongee yani mpka lemi alishajua sasa kuwa shemeji yake anaitwa fatuma. Na kuna mda anaongea nae yani anamsalimia. Na fatuma akawa akinipigia ananiuliza lemi ajambo msalimie hivo yani.

Basi bwana sku iyo sasa niipo zangu room nimecheal tu nacheza game katika simu yangu. Akaja lemi anacheka kinoma akanmbia daah we msenge una bahati ww sijapataga kuona. Nkkasema.mm ndo nna bahati aya nimefanya nn mpaka unanambia nna bahati. Akanmbia unamjua princess. Mh nikasema princess ndo nani mi simfahamu. Akanmbia acha ujinga bwana ..pisi kali wa chuo kizima mtoto mzuri . Yupo mwaka wa pili cozi kama yetu unasema humjuhi. Nikasema sasa mimi wanafunzi wa mwaka wa pili mimi nawajuaje sasa kwa mfano. Akanmbia princess ni maarufu alafu ni mtoto wa kishua sana alafu baba yake ni mbunge wa jimbo la mvomero uku moro. Mtoto mzuri kweli kweli. Unashindwaje kumjua .nikasema bwana mimi simjuh ao watu tunaosoma nao coz moja wengine siwajuh ndo nitamjua uyo princess wa mwka wa pili.

Nikamujliza kwani kafanyaje kwan .akanmbia daah yule demu leo napita uku nyuma kasimamisha gari kashuka kisha kanisimamaisha . Oyaaaaa nimejiona nn bahati kisenge. Yani kwanza ile kunisimamisha tu .nimehisi mimi ndo mwanaume sasa. Oyaa kwanza apo aliponisimamisha watu wananishangaa mimi. Daah demu kaja pale nikamsalimia fresh.oyaa anavyoongea sasa. Kuna wasenge wanakojoa sehemh nzuri kumamake. Yule mtoto baada ya salamu akanmbia samahani namuulizia yule kijana unayependa kutembea nae. Yule mrefu mweusi. Daah nikajua zali hili sio langu. Ila kwa jinsi amenielezea yule demu nimejua kabisa alikuwa nakuulizia wewe. Nikamwambia unamuulizia haji. Akanmbia simjuh jina ila huwa unagembea nae sana yule kijana

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑
MIMI SIKUACHIπŸ₯°
Sehemu ya 9

Basi mimi mwanangu nikatia tiki kuwa moja kwa moja yule mrembo alikuwa anakuzungumzia ww pale. Nikasema eeeh kwaiyo ikawaje. Akanmbia daaaah asa demu si kaomba buku 3. Mi nikaona nimpe tu. Mana dasah yule mtoto mkari kinoma oyaaaaaa mtoto akishoboka mtombe usimuache yule..nikacheka sana mana lemi anapenda sana mademu na uzinzi fala uyu.nikasema kwaiyo mwanangu unataka kuwa kuwadi au sio. Akanmbia nn wewe mtoto ana gari kali kinoma ana driveee oyaasss . Yule demu naishi kumamae.alafu mzuri kisenge ana mkundu sio powa .mtotot mweupeeeeeeee. Nikasems lemi mtu kaomba namba huenda ana issue nyengine kabisa .acha kuwaza uzinzi mda wote.

Daaah akasema kweli bwana . Daaah alafu ni ana uongozi yule demu ukute kweli ana issue ya chuo alafu mm najua kanada apa. Nikaaanza na kumcheka nikamwambia kausha bwana. Akanambia powa ila akikupigia tu naomba upikee we fala na atakachokisema we sema ndio. Hakuna kukataaa. Asee yule demu leo nampigia punyeto uku namuwaza yeye nilicheka sana lemi ni msenge sana . Yaan nlicheka mpka mbavu ziliuma. Daah alivyokuwa anamsifia sasa uyo demu msenge uyu. Mpkaa nikawa naona kazi ipo apa basi tukapiga sana story pale. Na usiku mi nikatoka nje kuongea na mpenzi wangu. Mana nilimmis sana. Basi fatuma akiongea na mm anavyojua kudeka sasa mtoto ahaaaa mi hoi. .mtoto ataniua uyu mimi uwiiii

Basj mpaka saa 6. Mi ndo naludi ndani kulala. Basi ikakata week mi sikutafutwa kabisa na uyo demu .basi lemi ni ana kihere here kinoma kila siku anafanya kunijlizia yule demu hajakitafuta. Oyaaa hajakutafuta. Namwambia sijatafutwa babu mbona una shida ww. Yani ana kihere here kweli. Wakati mimi nilipotezea kabisa. Daa siku iyo nakumbuka tulikuwa na seminar na viongozi wa chuo ya kukalibishwa mwaka wa kwanza . Basi kulikuwa na viongozi wengi sana pale wa chuo. Na wakaongea mengi na kutuelewesha mengi mno. Aseeeee sasa akaingia demu flni hivi mkari kisenge. Alivyoingia tu lemi akanmbia oyaaaa angalia chuma kile yule ndo princess sasa . Aliyechukua namba yako. Nikageuka kumtazama vizuri kudadeki nyie kuna watu wazuri . Mi nahisi siku mungu anamuumba uyu dada . Alitulia sana.

Ni mweupe sana kwanza . Ila weupe wake hauboi kabisa. Yule dada ni mnene kidogo wala sio mwembaba ila ana hipsi za kwenda . Yani figa imejichora namba 8. Alafu sasa alivaa suti hii siku kali sana. Yani ile suti ilitulia mahara pake kisha chini akavaa kiatu kirefu. Aseeeee uyu dada mzuri sasa. Ndo nikamuelewa lemi ndo mana alikuwa ananielezea kwa kupagawa ile siku kuhusu uyu dada. Aseeee mungu kaumba bwana. Oyaaaaaa demu mkari kwanza anavyoingia tu shobo za wanaume kama zote. Nikaona kweli kazi ipo apa.
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

7 MPAKA 9
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑


Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani saa 2 usiku wanafunzi kama watu . Alafu chuo ni kikubwa .mi nilipenda sana mazingira yake nilipapenda sana. Basi mimi nikaludi rooom kisha sasa nikampigia mrembo wangu nikaongea sana. Asee mpka nimelala lemi hakurudi.yani nilikuja kustuka asubuh kabisa ndo namkuta kitandani kwake kalala sikuwa ata nimeelewa kuwa uyu bwana aliludi saa ngapi.

Basi mi nikapotezea .nikaenda bafuni kujimwagia kisha sasa .nilimuomba lemi anisindikize mjini nikanunue simu kubwa .mana dada alinipa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-7-na-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

588
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

543
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

366
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

348
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

315
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

39
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

27
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

27

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.26K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest