MIMI SIKUACHIπ₯° Sehemu ya 12 na 13
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo apa kumbe . Mambo . Princess akatabasamu akasema powa lemi. Nilikuwa napita apa nikamuona haji .nikaona nije kumsalimia . Lemi akasema ahaa hakuna noma princess tupo. Mh lemi anavyojichekesha sasa kwa uyu demu. Jamaa mikazo ziro uyu yani kukaza hawezi kabisa. Princesss akasema mh aya bwana nilitaka kutoka lunch na mshikaji ila kanambia ameshakula . Lemi akaningalia . Mk nikamkazia macho. Princess akasema okey basi siku nyengine kipenzi. Kisha akanyanyuka .akasema lemi siku nyengine basi. Lemi akasema powa mrembo karibu sana.
Basi yule demu akaondoka. Akaingia kwenye gari yake akasepa. Dooooh mzuri sana uyu mwanamke .kwanza ananukia dunia ya saba wallah.basi akatoa gari yake sasa . Lemi akanmbia daah mwanangu una bahati sana ila nahisi huitaki iyo bahati. Nikasema sio bahati nna majanga . Asa demu kama yule mmi ndo ni mmiliki si nataka kufa kwa presha. Demu mzuri . Demu ana shepu. Demu ana pesa. Demu sijuh kiongozi apa chuoni. Demu ana gari ya ndoto yangu. Asa mimi nna mavi gani ya kumiliki demu mkari kama yule.lemi akasema sikia uyu mtoto kakuelewa usimkazie basi. Nikacheka nikasema lemi uyu demu kweli mzuri sana na mkali ila moyo wangi wala haujamuelewa .mm nampenda sana mwanamke wangu. Lemi akasema sikia ww. Wanawake ndo wanalinda penzi. Yani fatuma ndo hatakiwi kukusaliti ww. Sio ww babu. Asa we nyege zako unamaliza wapi na tunaishi wawili .we siku utataka kunibaka nishakuona..aseee nilicheka mimi lemi ana maneno ya kisenge konomaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ
Basi tukatulia pale akiendelea kumuongelea princess mpaka mda wa vipindi ulivyofika tukaingia class. Basi tulivyomaliza vipindi bwana . Nikaludi room basi ile nakaa tu.naona namba ya princess ina piga doooh nikampokelea akanmbia hellow dear uko room now.nikasema vp kwani una shida gani. Akanmbia ahaa kuna kitu nimeagiza kwa ajili yako apa haji. Nataka kumuagiza mtu akuletee.nikasema sawa nipo room ndio. Akanmbia okey unaishi room. No ngapi? Nikasema 52. Akanmbia sawa . Basi atakuja mtu apo anakuletea mzigo wako haji. Nikasema powa. Nikakata simu nikaona uyu demu mbona kama anafosi kuzoeana na mimi sana kwanza. Ila nikakausha.nikawa naendele na mishe zangu.
Mala akaingia lemi . Nikamwambia lemi princess kapiga simu et kuna mzigo ananiletea apa. Lemi akasema dooooh analeta nn. Nikasema sijamuuliza.lemi akasema nilitaka kwenda kupiga msosi ila siendi kwanza mpaka uletwe uo mzigo. Nikacheka nikasema twende tukale fala ww. We unajua uyo mtu atakuja saa ngapi. Basi tukawa tunatania pale. Mala mlango ukagongwa mmi ndo nikaenda kufungua. Nikamkuta nj jamaa kavaa t shirt ambalo lilionesha .anatokea katika kampuni ya mapishi .mi nikasema karibu . Yule jamaa akasema we ndo haji .nikasems ndio ndo mimi akanmbia basi nimepewa mzigo wako apa nikuletee. Mi nikapokea lilikuwa ni boksi ila kwa haraka nikawa nishagundua kile ni chakura. Kutokana na harufu yake nzuri ya kushawishi.
Basi mk nikapokea nikaja nacho ndani sasa. Doooh chakura kinanaukia kinoma. Nikakitoa kwenye boksi. Mule ndani ya boksi kulikuwa na vipaseli vidogo vidogo kama saba. Yani kulikuwa na kipaseli cha kuku mzima.kipaseli cha biriani.kipaseli cha pilau. Kipaseli cha ndizi rost. Kipaseli cha nyma choma.kipaseli cha nyama rost..na ndizi nymaa. Aseeee mi mwenyewe niliona kweli ndio. Nyei lemi alivurugwa akasems doooh hi yote sh ngapi. Uzuri katika boksi kuna risiti imebandikwa nikavuta nikachek.et katumia laki 1 na elfu 32. Doooh sijakaaa sawa sms ikaingia kwenye simu yangu nacheki ni yeye ndo kanitumia. Kaandika " haji nilikuomba lunch leo ukanikatlia sababu ya ubusy wa vipindi vyako vya chuo. Ila nimeona basi nikuagizie ata dinner japo hatutokula wote kwa pamoja. Naomba ule basi na usinifikilie vibaya .nimefanya as frind si unakunbuka nilikuomba urafiki leo mchana"
Mh mmi nikamjibu thanks. Basi sikuongeza neno na yeye wala hakunijibu. Oyaa lemi alishaanza kula mshikaji uyu. Nikacheka nikamwambia lemi hivi vitu hatumalizi pigia simu wadau wengine kama wawili tuunganike apa. Akanmbia ahaa unyama. Kweli akawapigia washikaji wengine wawili tunasoma nao coz moja oyaa tukapiga kweli kweli. Ila kuhusu chakura kimetoka wapi wala hatukusimulia. Baada ya msosi kuisha washikaji wakashukuru kinoma. Kisha wakasepa room kwao. Ata mimi nilishiba sana alafu nilikula vitu vya maana na vitamu mno.basi Lemi akaanza kumuongelea princes. Ohhhh nikoana uyu nitamkoma.nikachukua simu yangu .nikamwambia natoka nje naenda kuongea na mke wangu. Akanmbia powa bwana ila mfikilie na mrembo yule upate pa kumwagia babu.nikacheka tu kisha nikatoka zangu njee. Mh uko niliongea na simu sana na fatuma tukibebishana nikaludi room sijuh saa 7 . Nikakuta lemi kashalal na mimi nikapumzika kwangu
Kiukweli uyu demu sasa akaanza kunisumbua sana .asubuh lazima atanitumia sms ya asubuh njema na usiku lazima ananitumia sms ya usiku mwema. Bado anakuwa anaomba tuonane sana. Ila sikuwa nataka kuonanan nae kabiss .nakuwa namkwepa tu . Sikuwa nataka mazoea nae sana . Na mala chache sana na ndo huwa nampokelea simu . Na nikimpokelea nakuwa nipo serious yani huwa sitaki kuwa nae kivyovyote kabisa .ni vile anafosi tu. Basi bwana siku iyo nimechelewa kutoka kwenye vipindi. Ilikuwa kama saa 3 ndo nikawa naludi room yani nipo kasi kinoma . Basi ile nakaribia hostel nasikia naitwa haji.mh ni ka sehemu ambacho kina mwanga kwa mbali ndo saiti ilipotokea.mi nijageuka kisha nikaludi nyuma nikangaalia vizuri mh namuona ni princess. Nikajua kumekucha. Nikamsogelea mpka alipokaaa. Kama kawaida yake alikuwa amependeza sana uyu demu. Nikamwmabia nambia nakusikiliza mana nataka nikapumzike nimechoka sana.
Akanmbia samahani ila haji mbona unapenda kuongea na mm kwa ukali jamnai au nakukwza sehemu.nikasema hapna ila nakuwa nna mambo mengi eeh nakisikiliza .akasema haji naomba ukae apa kidogo nataka kuongea na ww. Nikasema sawa. Ikabidi nikae nimsikilize sada. Akasema haji samahani sana. Ila kuna kutu mimi kinanikaba sana kwenye rohooo yangu na kwenye moyo wangu. Na sijuh utanifikilia vipi nitakapokwmbia ila kiukweli mkmi napenda kuwa mkweli sana.Kiukweli haji tangu nimekuona mi najikuta nakupenda sana haji. Yani nakupenda sana . Nakupenda mno. Na unavyonijibug short na kwa hasira nakuwa naumia sana plsss haji naomba tuwe pamoja. Doooh demu ananitongoza yani kazi ipo
Itaendeleaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi