Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni wanawake wa zayd unazani nani mwengine na vile wanaona umewazidi kete. Na bwana kila.siku anakufatailia. Ndo wanakuonea wivu wala hawana lolote washenzi wakubwa ao. Yani hawana lolote lile. Ni wivu ndo unawatesa na rohoo mbaya ndo zinawasumbua doooh. Basi nikawasimulia shoga zangu kuwa kaka kakasilika na kanigombeza sana . Kumbe kaka mchumba wivu ndo ulimkamata. Basi . Zai akanmbia mh ila kaka yko ni handsome bwana uwii. Anaonekana ana pesa pesa. Alafu kapendeza ebu niunganishe nae jamani. Khaaa mpka nilicheka. Anajua nnavyompenda yule baba mie.nikasema kashaoa na ana watoto 3. Aya shoga utulie

Zai akacheka akasema mh ndo unishushue hivyo. Inaonekana wewe una wivu na kaka ako . Au. Unampenda sana wifi yako.nikasema nampemda sana wifi yangu hanaga shida. Basi zai akasema aya bwana akimuacha nambie mie nipo nimemuelewa broo wako. Basi bwana mie nikapumzika na hii siku wala hatukuenda prepo. Kesho yake asubuh nikaitwa na mwalimu mkuu. Nikajua teali mlige kashapiga simu kwa mwalimu mkuu kumuelezea.na kweli nafika pale namkuta zayd yeye kashaitwa .kesi ikaanza kuunguruma..mimi nikaelezea tu kuwa kweli natongozwa na zayd na nishamwmambia kuwa sitaki..ila anaendelea kunifatilia. Basi mwalimu mkuu akasema hivi zayd nikukupa suspension kwa hili kosa tena inakuwa ya ngapi. Zayd akajibu ya 4. Mwalimu mkuu akasema.nakuonea huruma sababu ww ni kidato cha sita. Una mitihani ya necta ila ukiendelea na hizi tabia. Zayd ntakufukuza shule zayd .hizi tabia zkmezidi sana. Ata kama baba yako ana share nyingi kwenye hii shule
Ila nitakufukuza. Apo anasemwa hana ata presha.yani kaweka mikono mfukoni. Doooh kaka ana zalau uyu acheni kabisaaa. Ila nilijua uyu kufukuzwa sio rahisi mana ata mkuu hamsemi ile kwa ghadhab. Ata kupigwa hakuna . Akasemwa tu akaambiwa et akiludia tu . Anafukuzwa shule. Basi mwalimu akaongea sana akanmbia akikutongoza tena njoo ofisini . Nikasema sawa .kisha tukatoka nje . Basi tumefika tu njee ananikonyezaa akhaa uyu ni kichaaa nini

Akanmbia asa unazani mi namuogopa mtu . Suspensio. Nimezoea ila ww lazima uwe wangu nakupenda kinoma .mpaka usiku nakuota faridah. Mi sijali lolotee. Sijuh kaka ako kajua sijuh nn . Kwani uyo kaka ako hataki mashemeji. Au anatka kukuoa yeye .mimi nikaamua kuachana nae nikaondoka zangu. Basi kuanzia hio siku ndo alizidi usumbufu. Ananitumia watu waniletee pesa nakataa mala naletewa zawadi naktaaa yani fujooo mnoo. Alafi sasa shuleni nilikuwa najitahidi yani napasua mnooo. Tukifanya mitihani ya kujipima Nakuwa wa kwanza au wapili. Basi zayd ananambiaga ahaa yani www ni mke wangu kabisa. Kwanza una akiri alfu mzuri we lazima nikuzalishe.

Yani alikuwa ananaisimbua sana zayd mpaka ikakata miez 4 nipo shulee. Siku iyo nakumbuka ilikiwa mida ya saa 5 usiku. Ndo tumemaliza prepo tunalidi bwenini sasa. Basi mie nikawa naludi tarabu. Na shoga zangu. Tinakalibia bwenini.hee zayd katokea mbele yetu. Et naomba tuongeee kidogo apo pembeni. Khaa saa 5. Mie nikasema.sitaki tena sitaki nakwmabia .zayd akasem sawa ngoja basi nikuongeleshe mbele ya marafikk zako na watu wote wasikie. Kesho iwe scandal apa shuleni. Mh . Zai akanmbia sikia faridah ebu msikilize. Nikasema.sawa .kisha nikasogea nae karibu na vyoo vya wasichana .kwa huu mda kulitulia sana. Mana mda wa usiku tunatumia vyoo vya ndani vya bweni na sio vya njee.

Basi kufika kule . Nyie hakutaka kuongea na mm lolote .akanidaka mdomo akaanza kunikisss. Aseeee mimi nguvu ya kujizuia kwa uyu kaka sikuwa nazo kabisa.nikajikuta tu begi limenianguka. Ana nukia kwanza pafyumu za kiislamu zile. Nyie nilikuwa sina ngivu za kumzuia akanishika kiuno changu. Na akazidi kunikisss nilitulia kimyaaa. Akanikisss aswaaaa . Yani sio ile kimasiharaaa.nyieee na mie nikanogewaa. Tukawa tunakiss ile serious. Yani ile tupo busy kukolisss si tukamulikwa na tochi . Mimi nilistuka nikamsukuma kwa nguvu zayd. Aseee tuasikia sauti ya haed master mwenyewe akasema khaaa yani nyie washenzi mnafanya ufiriuni shuleni. We si zayd ww. Zayd akasimama bila hofu. Ila mm nilikuwa natetemeka mnoo.aseee mwalimu akasema na ww si faridah. We sindo kaka yako aloleta kesi kuwa uyu anakusumbua kumbe ni mwanume wako mshenzi mkubwa ww. Nampigia kaka yako sasa hivi. Heee si akavuta simu na mda uo uo akampa tarifa mlige. Et kesho uje kumchukia dada yako nampa.suspension ya mwez mmoja. Amekutwa na mwanaume wapo wanakisiana . Khaaaa nyie nilihis kufa hii siku ama nilitamani iwe ndoto niamke nilikuwa natetemeka namjua mlige mm nitamueleza nn

Mkuu akasema nenda dom sasa hivi kimarya kitoto ww. Nyie mie nikakimbilia dom nikaacha sasa mkuu anambwatiza zayd ase nilichanganikiwa nimefika bweni nilikuwa nalia kama chzi ata kuongea siwez. Wenzangu waakaanza kuwa na shaka.na kuhisi uwenda zayd kanifanya kitu kibaya. Ila baadae ndo nikasimulia. Kuwa zayd alinibusu kilazima ndo mkuu katufuma na kesho kaka kaitwa. Wkanmbia yani apo lazima utapewa suspension hii shule ina suspension sana. Jamani huu usiku sikulala nawaza ntamwambia nn mlige. Ntamueleza nn mm yule baba. Tena na mwanaume uyo uyo zayd..si ataona nilikuwa ni mwanayme wangu mda . Aseeee sikuwa sawa kabisa. Yani nilikiwa naogopa sana.

Basi bwana . Asubuh na mapema kwanza tulitangazwa asamble. Nyie mie ndo nalia yani uyu kaka hana habali ni dont care kweli kweli.na tukapewa suspension. Ya mwez mmoja. Yani niliumia sana . Mnajua niliumia yani sikuwa sawa. Kwakua mzazi wangu hakuwa amefika niliambiwa nikae ofsini nimsubir . Yani daah ilikuwa ni shida. Uyo zayd ye alifatwa kama.saa 7 na wazazi wake..yani ata wazai wake hawakutaka maongezi na mkuu wakmchukua kijana wao wakaondoka mie ndo nilibaki pale.kila mwalimu akipita ananisema asa madame jamni uwii nilikoma.mi.nilijua mlige lazima achelewe si anatoka mbali. Yani katoka.shule kama.week.2 nyuma alafu analudi tena kwa kesi za kipumbavu kweli kweli. Sijuh ata nambebaje mie mlige. Naogopa mnooo .mpaka.nahisi kutetemeka wallah. Yani naogoapa mnooo

Basi saa 10 jioni. Ndo naona anaingia alikuwa kawaida sana. Nilizani atakuwa kaja kakasilika sana. Ila wala alipofika akaingia ofisini akaongea sana na mkuu uko. Alivyotoka sasa.akanmbia kachukue kila kilichochako bweni nikuludishe kwa wazee wako. Si shule imekushinda .Mh nikajua kazi ipo.basi kweli.mie.nikaenda nikachukua vitu vyangu vyote akaja akapkiza kwenye buti.yani mpka godoro alinambia kachukue. Basi nikaenda kuchukua. Nikaingi kwa gari. Tukaanza safari ya kuludi kagera.nyie njiani uyu baba hakuwa anaongea kabisa ni kimya. Anasikiliza mziki wa gari yake mpka mie ndo nikawa najistukia nalia. Il wala hakuniuuliza unakia nn. Hakuniuliza imekuwaje. Yani hakuniuliza lolote lile. Na safari yetu wala.haikuwa na kula. Mpka asubuh saa1 moja.mlige anapark kwemye uwanja wetu. Yani hakuna ata kunipitisha kwake runzewe hakuna iyoo. Nikajua uyu baba nimemuumiza sana. Kwa ujinga wangu daah sijuh itakuwaje.na apo bado Sielewi ntamwambia nn mama anielewe mm😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62


Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni wanawake wa zayd unazani nani mwengine na vile wanaona umewazidi kete. Na bwana kila.siku anakufatailia. Ndo wanakuonea wivu wala hawana lolote washenzi wakubwa ao. Yani hawana lolote lile. Ni wivu ndo unawatesa na rohoo mbaya ndo zinawasumbua doooh. Basi nikawasimulia shoga zangu kuwa kaka kakasilika na kanigombeza sana . Kumbe kaka mchumba wivu ndo ulimkamata. Basi . Zai akanmbia mh ila kaka yko ni handsome bwana uwii. Anaonekana ana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-61-na-62

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

933
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

112
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest