Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 68
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye kaviweka kwenye buti. Na vile akapakiza kwenye buti. Kisha akamuaga mama. Mama alinambia ukazingatie niliyokwambia .nikasema sawa mama. Mie nikapanda kwenye gari yake. Na yeye akapanda safari ikaanzaa. Kwanza ni amevimba. Ata kumuongelesha siwezi. Ni yupo busy na usukani wake . Ata kupepesa macho kunitazama hakuna. Na mm nikabaki kimyaaa. Kutoka kwetu na kahama wala sio mbali ni kama masaa 4. So mpaka.saa 8 mchana tukaingia shuleni. Ata hii ilikiwa ni shule nzuri sana. Tena ya girlss tupu. Hii haina wavulana.

Basi tukashuka. Akanishushia vitu vyangu .akaenda kunikabizi kwa walimu. Akaniandiksha na kila kitu. Na kama kawa akaijiandikisha kama vile ni kaka yangu. Baada ya kila kitu. Akanmbia sasa nimekuleta apa shuleni tena .fanya usenge wako. Now utatembea na walimu naona. Mana apa wasichana tupu. Asa ukiwashwa awa walimu ndo watakukuna na tabia zako za kipumbavu. Mie nikanyamaza kimya. Akanipa laki 1. Akanmbia sitaki kusumbuliwa kuhusu pesa tumia vizuri. Mh nikajua apa kazi ipo.kisha akaondoka zake. Mie tena nikapelekwa dom na matron ndo naanza kuangalia vitu alivyoninunulia . Ni kanijazia chupi. Taiti. Sidiria. Tena anaijulia . Kila kitu ni vile vile kama nilichagua nae . Traki .night dress. Mashuka. Yani alinibeba vjtu vingi mnoo . Na Hii shule ada ilipoa kidogo niliona sleep ni milion 5 na alinilipia yote kwa mwaka. Mh basi mie apo shule ndo ikaanzaaa

Awamu hii bweni nilikuwa nakaa na wadada watatu bweni so jumla tukawa wa 4. Ila nilikiwa makini sana. Nilikiwa nipo busy na kusoma tu. Sikuwa nataka masihara kabisa. Na uyu baba simu akawa hanipigii sijuh week ends kama nilivyozoe hapigi. Na mie waka sikuwa nampigia zaidi namsalimia mama tu. Na kuna mda namsalimia bba. Yeye sikuwa namsalimia kabisa naogopa mnoo. Na pesa nilikiwa natumia kwa. Makini si kashanambia hatki usumbufu asa mimi na utoto gani wakushindwa kuelewa mtu anaposema hataki. Basi nikawa busy sana na shule yani busy mno. Manazani ao walimu wa kiume walikiwa hawanitongozi. Walikuwa wananitingoza vizuri. Ila weee nilikoma .nilikoma mnoo. Sikuwa nataka ata kusikia na niliwambia kabisa wakiendelea naenda kusema kwa head mistress. Wakawa wamekausha mie nikawa busy na shule. Zikitokea visiting. Sikuwa namwambia kabisa mlige. Na yeye haji. Mana sms walikuwa wanatumiwa vizuri wazazi. Ila hakutaka kujihusisha na chochote na mimi.mpaka kuna mda naumia sana. Yani naumia kiukweli najua tu ni busy na wanawake zake hawez kuniwazia mimi tena.

Basi ndo hivyo kuna mda nanua vitabu . Vinakuja vitu nanua. Ile pesa ndani ya miezi 4 ikakata na nikabakiwa na kama miez 2 ya term kuisha. Mh sikuwa na pesa tena. Ila nikasema week end hii namuomba mlige nione itakuwaje. Basi kweli ilivyofika weend nikaenda kuomba simu kwa mwalimu nikampigia. Basi akapokea .nikasema.shikamoo mi faridah. Akanmbia nishajua ni ww sema shida yako. Nikasema ahaa nimeishiwa pesa . Naomba pesa kidogo. Akanmbia umetumia nn laki 1 miezi 4 na ugali upo apo shule. Na mnakula wali na chakura ni kizuri. Unahisi mi nachuma pesa sio. Mie sikupemda majibu yake. Yani niliona kama kanikashifu.nikasema basi samahani. Nikakata simu nikamludishia mwalimu. Nikaludi dom .nikawa nalia zangu. Yani mlige ni amechange ile. Mbayaaaaa. Basi baadae jioni nikajiandaa .nikaingia prepo na marafiki zangu. Na kuna mwenzetu mmoja aliniazima elfu 50 inisogeze. Nikamshukuru kweli.. basi nikiwa zangu prepo. Naona mwalimu kaja. Akaniita akanmbia kak ako kakutumia pesa.mh mlige uyo. Mwalimu akanipa laki 4. Mbona sikuamini. Ila mlige ana mbwe mbwe. Nikaipokea ile pesa nikasema asante mwalimu.nilipata kafuraha ka ajibu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌


🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 68



Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye kaviweka kwenye buti. Na vile akapakiza kwenye buti. Kisha akamuaga mama. Mama alinambia ukazingatie niliyokwambia .nikasema sawa mama. Mie nikapanda kwenye gari yake. Na yeye akapanda safari ikaanzaa. Kwanza ni amevimba. Ata kumuongelesha siwezi. Ni yupo busy na usukani wake . Ata kupepesa macho kunitazama hakuna. Na mm nikabaki kimyaaa. Kutoka kwetu na kahama wala sio mbali ni kama masaa 4. So mpaka.saa 8 mchana tukaingia shuleni. Ata...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-68

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

931
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

178
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

111
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest