Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 63
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 63

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.. mlige akasema mama atakusimulia tu mwenyewe. Mi naomba niwaache niwahi kazini. Majukumu yananihitaji. Mh yani usiku mzima kadrive na anahitajika kazini hii asubuh nilimuonea huruma sana mlige wangu. Basi akashuka akaja akanishushia vitu vyangu vyote.kisha akaingia kwenye gari yake akaondoka.mama aliningalia sana. Akanmbia ingiza vitu vyako ndani. Basi kweli mie nikingiza vitu ndani . Nikajitupa kitandani. Nilikuwa na stress sana mtoto mdogo kama mie. Na nilikuwa nimechoka sana . Nilijikuta usingizi unanipitia kabisa.nikaja kustuka saa 7. Nikaenda kuoga. Nilipotoka sasa .nikamkuta mama chumbani kwangu ananisubur kwa hamu . Akanmbia vaa uje apa kitandani. Nikasema sawa mama.

Basi nikavaa kisha nikasogea alipo mama. Mama akaniuliza umefanya nn shule mpka umesimamishwa kwa mwez mzima.nikasema mama samahani kuna mkaka anaitwa zayd alinikiss kwa ngivu ndo mwalimu akatukuta. Ase mama aliniinukia na mkonde wa mgongo. Akanmbia ulilazimishwa ww. Ulilazimwashwa nn . Hivi faridah una akiri ww. Unachanganikiwa na aya matako eeh. Nakuuliza wwm farida akiri zako zina nn. Una nn wewe mtoto. Shule umefata mapenzi au kusoma..eeeeh unamfikilia mlige ww. Bba wa watu kakulipia ada milion 7. Baba ako anayo hiyo pesa?. Leo unafanya upumbavu we mtoto una akiri ww. Mie nikaanza kulia nikasema samahani mama nimekosea nisamehe. Mama akanmbia ngoja nikuoneshe. Akachukua kuni. Ndo alinitandika nayo. Alinipiga kisawa saw. Yani nililia mnooo. Mama alinibana kwa nguvu alinitandika na ile kuni sitaki kuwaambia. Akanmbia utajutia sana katika maisha yako siku ukimpoteza yule mlige. Nakwambia ukweli we mpumbavu. Nyie nilibaki nalia tu.. yani sanaa.

Mchana wala.sikula na jana yake sijuwa nimekukal . Na usiku mama akanmbia sikupi chakura. Alafu baba alikuwa hayupo. Sikuwa nimeelwa kaenda wapi kwa uo mdaa. Basi shoga yenu nikalala na njaaa. Na kesho yake ndo mama akanipa chakura si unajua wazazi hasira zao huwa zinaisha kuna mda.asa kwa sie watoto zao. Basi iyo asubuh ndo nilikunywa chai ila mama kaninunia kabisaa. Nyie si nna kisimu changu kile kidogo.nilimtumia sms nyingi mlige kumuomba msamahe na kumuelezea ile kujitetea ila wapi hakunijibu na nikampigia hakupokea. Alinikaushia mpaka ikakata week 1 nipo tu nyumbani ata kutembea siendi mana wenzangu wote wapo shule likizo bado ata yusta alikuwa shule .mie kwenda miez 4 tu nishaalibu daah. Apo mda wote huo mzee alikuwa hayipo. Ila nilijua kaenda kwa babu geita. Nilikuwa nasikia anaongea na mama na babu anaumwa ndo kaenda kumsikilizia.

Basi shoga yenu nilikaa nyumbani tu. Uku mwanaume kaninunia mnoo. Mama akawa ananmboa aya nipeleke shamba si hutaki kusoma .na ngoja agahiri kukusomesha kwa usenge wako. Yani unapatikna na kesi ya kukiss na mwanaume yani unamsaliti mana yake yani we mtoto hamnazo kabisa .nilikuwa nasemwa mno .mama akingia akitoka ana mimi tu. Tena nikiwa karibu yake na mgumi ananisindikiza nao. Ayo ndo yakawa maisha yangu shoga yenu. Kiukweli nilikuwa natamani sana kwenda kumuomba msamaha mlige ila naogopa naogopa mno. Nahisi ata atanipiga yani. Ila siku iyo nilijikaza mnoo . Nikaenda kwake runzewe ililikuwa j pili nikajua lazima namkuta. Basi nilipofika.nikagonga mlango .mlige akaja kufungua aliponiona. Akaniuliza umefata nn nyumbani kwangu. Mh yani kanikazia sula yuko serious.nikasema mlige plss nisikilize nikapiga na magoti apo apo kibarazani. Mlige akasema.ntakuja kukupiga mpkaa nikuue alafu nifungwe naomba unyayuke mwenyewe na uludi kwenu .mimi na wewe basi. We si unataka wasenge wenzio. Mie si unanaichukulia powa. Sasa fresh kacheweze na wasemge wenzio. Mi nilisema plsss baba usiseme hivyo. Mlige akanmbia ntakupiga ntakupiga nikuue faridah ondoka .mh nikanyanyuka nikaaanza kuondoka.uku nageuka nikihisi nitaitwa aah wapi.ndo kabamiza mlango wake kwa nguvu. Nikajua basi nishaachwa na sitakiwi mimi. Niliumia jamani. Moyo unauma kweli kweli.yani nimeludo nyumbani sula imevimba kwa kulia. Hii siku ata mama hakunipiga wala.kunisema tena akiniangalia kwa huruma tu.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 63


Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.. mlige akasema mama atakusimulia tu mwenyewe. Mi naomba niwaache niwahi kazini. Majukumu yananihitaji. Mh yani usiku mzima kadrive na anahitajika kazini hii asubuh nilimuonea huruma sana mlige wangu. Basi akashuka akaja akanishushia vitu vyangu vyote.kisha akaingia kwenye gari yake akaondoka.mama aliningalia sana. Akanmbia ingiza vitu vyako ndani. Basi kweli mie nikingiza vitu ndani . Nikajitupa kitandani. Nilikuwa na stress sana mtoto mdogo kama mie. Na nilikuwa nimechoka sana ....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-63

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

957
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

217
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

200
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

190
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

154
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

142
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

122
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

95

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest