Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi elfu 50 yake mana ata kuitumia sikuwa nimeitumia .nilimwambia tu asante kaka kashanitumia pesa ya matumizi. Akanmbia powa. Basi mie nikapanda kitandani kupumzika. Nilipokuwa pale kitandani nilimfikklia sana mlige . Nilihisi bado ananipenda labda ana hasira tu na mm. Ila tutayaweka sawa na kila kitu kitakaa sawa tu. Basi shoga yenu shule ikawa inaendelea na napambana na kusoma. Na mitihani yangu yote alikuwa anatumiwa mlige. Na nilikuwa napasua mno. So alikuwa anaona. Mana sie shule yetu. Matokeo yako anatumiwa na mzazi piah kwa njia ya simu. Basi bwana ikakata mwezi bwana mlige hakunipigi tena kuniulizia baada ya kunitumia ile pesa . Na mie nikauchuna tu. Nikaona ngoja kwanza nipambane na shule mana mtoa ada ana mashauzi kweli kweli

Nikapambana mpaka sasa tukakalibia kumaliza term ya kumaliza form five. Na tukaanza mitihani ya kufunga shule. Asee tukapiga mitihani . Nilikuwa najitahidi sana darasani. Naongoza kila siku . Na report zangu zote anazijua mlige. Basi bwana baada ya mitihani tukaaambiwa tuongee na wazazi . Ili waje kutuchukua mana tuna kama siku 3 tunafunga shule. Bibi mie sasa ndo nikaazima simu ya mwalimu. Nikampigie mlige. Nikapiga mala moja tu akapokea. Nikamsalimia kwa unyeyekevu nakwambia. Ahaaa ila wapi nilizani kashapoa. Ila bado ni anajibu kwa hasira. Yani mtu mpka mood inakata kabisa nikamwambia sie kesho kutwa tunatakiwa kurudi nyumbani tunafunga shule. Akanmbia najua . Kwani na mm si ni mwalimu asa unazni ntakuwa sina hizo ratiba..nikasema.sawa so utakuja kunifata? Akasema.nikufate we ni mtoto. We kwenu hupajui kwani. We ni mtu mzima .kesho kutwa rudi nyumbani mapema mie ntakutumia nauli baadae kwa mwalimu wako. Nikasema.sawa. kisha nikakata simu nikamludishia mwalimu.nikaludi bwenini .mh nikaona kazi ipo jamani. Uyu baba .ni kisirani gani iki kinaenda miez 7. Hana ata mda na mm. Yani mm ndo namfosi tu.

Basi mie nikawa nimetulia zangu tu. Mana ata asipotuma nauli. Mi pesa nilikuwa nayo na nauli ni elfu 10 tu kutoka kaham mpka nyumbani nyantakra. Sasa shoga yangu mmoja kwao ni bukoba. Akanmbia yeye anafatwa na baba yake. Wee nikaomba lift apo apo.mana wanapita kijiji cha nyumbani kabisa. Shoga akanmbia wala hakuna shida mzee hana noma tutakuchukua tu. Basi nikawa na amani zangu tu. Nikafungasha kila kitu ambacho nilihisi ni muhimu kuludi nacho nhumbani. Kama vitabu nilibeba sababu ya kujisomea nikiwa nyumbani tu. Na nilikuwa na raha naenda kumuona mama na baba. Niliwamiss mnoo. Naenda kumuona na shoga yangi yusta. Mana najua na yeye analudi home so tunakutana. Basi siku ilivyofika ya safari. Tuliamka.zetu mapema tukapanga kila kitu nakwambia.

Basi shoga yangu akanmboa tujiandae haraka.mana baba yake anakuja kumfata mida ya saa 4. Basi na mie nilijichangamsha nipate lift tena . Basi nikapanga na kila kitu. Heee namalizia kupanga .akaja mwanafunzi akanambia we faridah unaitwa na kka yako kaja kule . Mh nikajua tu ni mlige ndo kaja ama nini. Si alinigomea uyu. Mie nikaenda kwanza kuhakikisha ndo yeye. Khaa ni yeye bwan. Alikuwa anaongea na mwalimu wetu wa taaluma.Ila nilimuona kapungua mwili. Mh sikutaka ata kumshangaa sana. Mana kila mtu na matatizo yake.na mm nilijikondea na masomo piah. Basi nikafika mpkaa pale . Nikamsalimia pale. Akaniitikia fresh. Mwalimu akawa anamwambia asee mlige. Mdogo wako ni kichwa . Uyu binti ahaaa ni kichwa . Ana akiri mnoo. Na ni mpole kweli hna shida faridaha. Mlige akasema ooh kumbe. Mh mwalimu akasema ndio. Ametulia.sana faridah yeye na kitabu tu . Yani anatambua shule kafata nn. Mlige akasema.sawa ndo vizur. Mi naenda basi . Mwalimu akasema sawa

Mlige akanambia kafate vitu vyako. Nikuludishe kwenu nipo busy sana leo. Nna mishe nyingi .nikasema ahaa kama una mishe nyingi we nenda tu. Mi nimepata lift. Aseee mlige aliniangalia jicho kali mpaka nilijistukia. Akaniuliza alokupa iyo lift ni nani. Nikasema ni rafiki yangu anafatwa na wazazi wake anakaa bukoba.ndo nilimuomba wanishushe nyantakara baada ya kusema we huji. Mlige akasema.we itakuwa ulikuwa na mission za kwenda kwa wanaume zako na uyo shoga yko sio. Mie nikasema hapana. Mlige akaningalia sana kisha akasema.kachukie taka taka zako twende .usije ukaenda kwa bwana. Wazazi wako wakanipa lamawa mama. Mana mtu mwenyewe hueleweki . Mie nikasema sawa. nikaenda kubebea vitu vyangu tu. Na nikamwambia yule rafiki yangu alotaka kunipa lift. Kwamba kaka kaja basi naondoka nae nashukuru .akanmbia tu sawa hakuna shida.

Basi kweli nikatoka na vitu vyangu mpka parking. Akanipakizia kwa buti.kisha tukaingia kwenye gari na safari ikaanza kama.kawaida yake . Ni kanuna kinoma. Haongei na mie kabisa labda apigiwe simu na mie ata sikumsemesha nikajikaushia zangu kimyaa. Mpaka.sa 10 jioni bibi mie nikaingia kwetu. Akanishushia vitu vyangu. Akamsalimia mama kisha akasepa zake. Aseee mama alifurahi sana kunioana.akanambia jamani umekuwa .shule imekukuza. Nikawa nacheka .mama akasema umepungia ila.nikasema.mama masomo magumu. Mama akafurahi sana. Akanmbia kaoge uje kula kwnza. Kama alijua kuwa mlige hajaninunulia ata pipi uko.njiani so nilikuwa na njaa mno.

Basi mie nikaenda kuoga kisha nikaja kula . Mda wa kula ndo na mzee akalidi . Tukajumuika kwa pamoja. Nilikuwa nakula uku nawasimulia habari za shule basi wakawa wanacheka kwelli.. baada ya chakura sasa . Ata sijapumzika shoga yenu nikaenda kwa yustaa. Nikamkuta na yye ndo kaludi jana yake. Basi tukafurahiana sana. Tukaanza kupeana michapo ya kila mtu na shule zake. Tukainjoy sana. Yusta akaniuliza kuhusu mlige. Nilimsimulia tu mazingira yake kwa sasa yalivyo. Kuwa hatuna mawasiliano mazuri kabisaa. Yusta akanipa pole akanmbia leo kajalibu kumtumia sms za kumuomba msamaha na jibebisha lwake tuone itakuwaje. Nikasema ntajalibu ila mh amechange sana. Yusta akanmbia sawa tutajua tunafanyaje basi nilipiga story na yusta mpaka saa 1 usiku.ndo bibi mie naludi kwetu. Nilivyofika nikaenda kuoga tena nikaingia chumbani kwangu.nikavuta kasimu kangu kadogo. Naangalia ata mlige hajanitafuta. Mh nikamtumia mie sms mambo. Hakunijibu. Nilingoja kama dakika 10 na hakunijibu ataa. Nimamtumia bonge la barua shoga yenu ya kumuomba msamaha .na nikamwambia nimemnis sana na nampenda sana. Anisamehe tu. Mh apo ndo alinijibu
Aliniandikie. " ukiludia tena kunitumia sms za kipumbavu kama.hizi . Sitakulipia ada ya form six. " mh nikaoana kazi ipo apa. Basi na vichozi vikawa vinatoka shoga yenu kukataliwa kunauma nyieee. Mama akingia kakuta ndo nafuta machozi pale . Mana ile sms ya mlige iliniumiza sana.
libeba sababu ya kujisomea nikiwa nyumbani tu. Na nilikuwa na raha naenda kumuona mama na baba. Niliwamiss mnoo. Naenda kumuona na shoga yangi yusta. Mana najua na yeye analudi home so tunakutana. Basi siku ilivyofika ya safari. Tuliamka.zetu mapema tukapanga kila kitu nakwambia.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi elfu 50 yake mana ata kuitumia sikuwa nimeitumia .nilimwambia tu asante kaka kashanitumia pesa ya matumizi. Akanmbia powa. Basi mie nikapanda kitandani kupumzika. Nilipokuwa pale kitandani nilimfikklia sana mlige . Nilihisi bado ananipenda labda ana hasira tu na mm. Ila tutayaweka sawa na kila kitu kitakaa sawa tu. Basi shoga yenu shule ikawa inaendelea na napambana na kusoma. Na mitihani yangu yote alikuwa anatumiwa mlige. Na nilikuwa napasua mno....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-69-na-70

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

923
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

129
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

106
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest