Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
Gonga94 Β· Stories

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 24

Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa. Na ata mwanangu lemi akinipigia alikuwa haulizi kabisa issue za princess.si anajua nipo na fatuma uku. Atamsalimia tu fatuma shemeji shemeji nyingi. Hivyo yani. Na ata mchumba alikuwa huru sana na simu yangu. Yani alijilizisha kuwa ata chuo mm nimetulia sana na wala sina mambo mengi. Mana hakunikamata na sms ya mwanamke ata mojaaaa. Kuna mdaa anachukua simu yangu anaenda kulala nayo kwao ila wala . Naona princess alishanielewa kuwa sitaki masihara juuu ya mwanamke wangu. So hakuwa ananisumbua kabisaaa. Nilikaa mpka week 3 za rikizo zikaishaa. Nikamuaga baby . Ila safari hii hakulia sana si ana simu mkubwa nilimwambia tutakuwa tunaongea kwa kuonana so asijali. Na mchumba akanmbia sawa hakuna shidaaa.

Na mm nikaludi zangu chuo. Nimefika chuo ikakata kama week sijamuona kabisa princess chuo. Ndo siku iyo nikakaumbuka kumpigia simu sasa kumuulizia. Akapokea simu. Kisha akasema leo ndo umenikumbuka mm haji. Nikasema.ndio mbona sikuoni chuo. Akanmbia bado sijaludi nipo dar kwa wazazi. Nikasema oooh powa . Akanmbia now ushaludi chuo naweza kukupigia mda wowote .nikasema.ndio . Akanmbia sawa. Basi apo ndo ikawa kama.nimemruhusu kunipigia . Anakaa ananipigia ananiulizia hali. Ila yeye ndo alokuwa ananipigia sana. Yani uyu demu alinipenda mnoo. Mi ni ile kawaida sana . Si unajua wanaume eeh ndo vile

Na baada ya week.na yeye akaludi na mapenzi yakawa yanaendelea. Siku anakuja geto namtomba kama kawa. Siku naenda kwake nakuwa baba mwenhe nyumbaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ. Hivyo yani. Na mpenzi wangu akinipigia simu ata mbele yake ananyamaza kimya naongea nae maisha yanaenda. Nakumbuka ikapita kama mwezi. Siku iyo fatuma kanipigia simu. Ila alikuwa mnyonge sana mpaka nikawa naogopa. Nikamuuliza wewe mbona unanaitisha unaumwa leo. Akanmbia mi nna matataizo.nikamuuliza yapi. Akanmbia mi najihisi kama.nna mimba haji. Doooh mimba tena .mbona sijajipanga kuwa baba kudadeki. Na kweli nilikuwa namwamgia ndani kweli kweli.nikasema.sikia usihisi nakutumia pesa uende hospitali ukapime kabisa.kisha tutajua tunafanyaje. Sawa mke wangu naomba urelax..akanmbia sawa .mimi nikakata simu..nikamtumia elfu 20. Lemi alikuwa pembeni akanmbia we jamaa unampenda sana fatuma yani ukiwa unaongea nae unamnyenyekea kinoma.ila princess kuongea nae vizur tu ni shida. Mi nikacheka .nikasema moyo unapenda sehemu moja tu kwengine zinakuwa tamaa kaka. Lemi akacheka akasema.we nishakujua bwana kwa princess pa kumwagia tu. Nikawa nacheka kweli kweli.

Daah baadae fatuma ananipigia simu akanambia kaenda hospital kapima na mimba ipo. Doooh nikaona apa kishakuwa kipengele.nikasem sawa ntajua nafanya nn. Akawa anaogopa sana wazazi wakijua watampiga. Mie nikamtuliza mno. Nikamwambia tulia mi ntajua tunafanyajeee. Basi mi nikampigia simu mama yangu .na nikamuelezea tu. Kuwa mama kwa bahati mbaya fatuma ana mimba..mama aksema sio bahati mbaya ni makusudi. Watu kila siku manajifungia chumbani . Mtakosa kupeana mimba. Mda wote mmegandana. Mh mi.nikanyamaza tu...mana kweli nilikuwa namtomba kila siku uyu demu mpaka rikizo imekata. Mama akanmbia apa cha kufanya .

SEHEMU YA 25
Tunaandika barua tunapeleka kwao. Na ujiandae we uje kumuoa ata kama utamuacha apa nyimbani ni sawa. Ila ukimuacha akae kwao itakuwa mtihani .nikasema.sawa mama tufanye hivyo. Mama akanmbia sawa na vile anampenda fatuma kwake wala haikuwa shidaa

Jioni sasa nipo zangi rooom . Nikaona princess kaja. Akamsalimia lemi pale. Akanisalimia na mie..na lemi alipomuona princess kaja akatupisha. Princess akanmbia ahaaa mambo . Nikasema powa vp. Akanmbia nimekuja tuongeee mana mh . Ata nikiataka kuwa na ww. Nakupata kwa mda mchache san. Nikasema.si unajua nakuwa busy na masomo. Peincess akanishika mkono. Akanambia haji naelewa una mwanamke sawa. Na nimekubali uwepo wake . Ila mboan hunipi mda na mm. Nakupenda sana baba yangu. Nateseka sana kwa ajili yako. Kuna mda nakaa nawaza najihisi sina bahati. Haji plss naomba unipende.nikamuangalia nikamwambia kwani mm sikupendi ww nani kasema mi sikupendi. Akanmbia lakini huoneshi kama unanipenda. Haji unanaipa mda mdogo sana. Mda wote ww na fatuma tu. Naumia piah..nikasema we si ulikubali kuwa wa pembeni. Lazima nitamjali zaidi fatuma ndo mwanamke wangu wa maisha na tayari ana mimba yangu mda wowote nakuwa baba . Mh princess akaningalia kwa huruma .akambia okey basi usiku mwema..nikasema powa ww piah. Kisha akanyanyuka zake akaondoka . Nilijua kakasilika ..na nikweli sikuwa nampanda sana uyu mwnaamke .yani siku nikimtafuta ujue nna nyege zimenijaa sana.

Basi bi mkubwa akanmbia washampelekea barua fatuma. Na barua ikajibiwa mahari ilikuwa kama laki 5 tu. Na mahari akanilipia dada. Mie nikatakiwa kwenda kuoa tu. Nikaon hamna shida . Kiukweli nilijipanga na kuoa. Ila nilisema mi siwezi kuoa nikaacha mke nyumbani. Lazima nije nae uku. Mbona watu kibao wanasoma na wana wake. So nilimpanga lemi .nikimwambia kabisa mi nataka nikamuoe fatuma mana nishaalibu nimemtia mimba. So nataka kupanga .nitoke hostel. Haji akanmbia sawa na akanisaidia na kutafuta chumba. Nilipata chumba kijiji kimoja kinaitwa sanga sanga. Wala sio mbali na chuo kabisaa. Ni unatembea kama dakika 10 tu. Nikalipia chumba. Nikatulia .na nilipopata boom nikanunua vitu vya kuanzia maisha kwanza . Aseee kwa uo mda princess alikuwa kama kaninunia hivi. Mana alikuwa hanipigiii simu ata na mm nikamkaushia kabisaaa yani . Na vile nataka kuoa ndo kabisa .

Basi bwana. Mie nikapangiwa tarehe ya kwenda kuoa. Kiukweli ikanilazkmu sasa nisafiri tena kwenda babati tena na mwanangu lemi ndo alinisindikiza . Na tulikaa nyumbani siku 2 tu. Mwanaume nikaenda kuoa . Haikuwa ni sherehe ilikuwa kimya kimya tu. Na ata wazazi wa fatuma walishajua kuwa mtoto wao ana miba. Kwaiyo hakukuw ana ngonjera..mie nikamuoa fatuma na rasmi tukawa mume na mke. Aseeeee nilifurahi sana kumuoa uyu mwnamke ni mwanamke ambae nampenda sana. Na vile kanibebea mtoto tena.nikaona aya ngoja niupokeee ukubwa tu.si nilikuwa nakula mzigo haina jinsi. Lemi alinambia daah kumbe fatuma.karembo hivi. Aya kaka umejua kuchagua . Basi tukapigwa picha nyingi sana
.asa lemi . Mi nikapost status picha yangu ya ndoa . Na ata lemi alinipost. Wadau walikoment wengi sana yani sana hongera kwa sana. Tu. Ila na princesss nae alikoment akanmbia basi acha nifunge ukurasa wa mapenzi na ww na nitazame pengine..mie sikumjali kwanza nikafuta sms yake haraka wife asije akaona bule ikawa kesi.
Huu ndo mwisho wa season yetu ya 1 usikose season 2 soon itakuwa tayarii
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)


🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 24

Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa. Na ata mwanangu lemi akinipigia alikuwa haulizi kabisa issue za princess.si anajua nipo na fatuma uku. Atamsalimia tu fatuma shemeji shemeji nyingi. Hivyo yani. Na ata mchumba alikuwa huru sana na simu yangu. Yani alijilizisha kuwa ata chuo mm nimetulia sana na wala sina mambo mengi. Mana hakunikamata na sms ya mwanamke ata mojaaaa. Kuna mdaa anachukua simu yangu anaenda kulala nayo kwao ila wala . Naona princess alishanielewa kuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-24-mpaka-25-mwisho-wa-season-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

576
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

573
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

490
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

414
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

405
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

224
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

181
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

120
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

114
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

105

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.03K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1) Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa....

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest