Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
NINI KITATOKEA ENDAPO FAR RABAT ATAFUNGWA NA YANGA ATASHINDA MCHEZO WA MWISHO? MAANA YAKE WATALINGANA ALAMA
.
Kwa mujibu wa kanuni za CAF yafuatayo yatatazamwa kwa hatua.
1- Aliyekusanya alama nyingi kutoka kwa mwenzake walipokutana (hapa wamegawana) maana yake kigezo hiki hakifanyi kazi.
2- Utofauti wa mabao katika mechi ambazo walikutana, hapa itabaki kuwa waligawana pia hivyo kigezo hakifanyi kazi.
3- Idadi ya mabao ambayo timu ilishinda ugenini, kigezo hiki pia wamelingana hivyo hakifanyi kazi.
4- Utofauti wa mabao katika mechi zote zilizochezwa kwenye kundi zima.
5- Idadi kubwa ya mabao yaliyofungwa katika kundi zima.
6- Kama vyote watafanana maana yake itachezeshwa droo.
Ila mpaka sasa Yanga anadaiwa mabao wakati huo FAR Rabat hana deni la...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nini-kitatokea-endapo-far-rabat-atafungwa-na-yanga-atashinda-mchezo-wa-mwisho-maana-yake-watalingana