Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
26 Jan 2026
44 views
VYOTE NDANI GONGA94
Harry Redknapp baada ya kuulizwa " kwanini Bale umemtoa beki hadi winger?" , Harry Redknapp alijibu " kumchezesha nyuma ni kupoteza kipaji chake...
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Miaka mingi mbele ni kama vile tupo ulimwengu mwingine kuna script inataka kuandikwa tena...
Ni Patrick Dorgu tena anataka kurudia pale alipopita Gareth bale...
Patrick yupo zake left winger kwenye klabu ya Manchester United, kuna mtu aliuliza. "hii winger ya Patrick Dorgu mbona kama Carrick kakariri maisha"..
Sikieni kitaa nje ya kufunga Patrick Dorgu anakupa faida kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja..
Ukiwa hauna mpira Dorgu atafanya pressing kuanzia juu na ukiwa na mpira Dorgu atapiga cross au kufunga...
Kamba kubwa mno dhidi ya Arsenal, Patrick Dorgu alipiga goti chini ndani ya nafsi na kusema " magwiji wote wa United nipeni nguvu, nipeni nguvu ya zaidi nimpige adui wa mwisho, baada ya kumpiga adui huyu nitairudisha United huko Manchester kama washindi na sio washindwaji "...
Familia ile sio nguvu ya Dorgu, ule mguu ulikuwa na nguvu ya Gigs na Ronaldo wa Madeira...
Patrick Dorgu yupo kwenye moto π₯Ά
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
WAMEIRUHUSU IPITE (Baada ya Kugundua hawana undugu) 1 - - - - - 5
SEHEMU YA 1 Kama utani hivi lakini kura zilipigwa usiku wa manane Nyamizi Mimi pamoja na my big brother Nico twende Jij...
AASSH MAMA WA KAMBO 1 - 5 01 π Baada ya ya kufunga chuo, niliona bora nisiende kijijini, nikaamua kubadilisha tu mji kutoka Tawi la Mzumbe university
kuelekea mjini Bukoba ambapo baba alikuwa akiishi. Baba yangu aliamua kuachana na mama baada ya ugomvi wa muda mrefu ul...
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile general". "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuw...
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.
Nguva mjamzito, pesa marambili, kuuza kwa mtu mkubwa. Aliwaza huku akiwa amebeba chungu kizito kichwani. Aliondoka harak...
Harry Redknapp baada ya kuulizwa " kwanini Bale umemtoa beki hadi winger?" , Harry Redknapp alijibu " kumchezesha nyuma ni kupoteza kipaji chake...
Miaka mingi mbele ni kama vile tupo ulimwengu mwingine kuna script inataka kuandikwa tena...
Ni Patrick Dorgu tena anataka kurudia pale alipopita Gareth bale...
Patrick yupo zake left winger kwenye klabu ya Manchester United, kuna mtu aliuliza. "hii winger ya Patrick Dorgu mbona kama Carrick kakariri maisha"..
Sikieni kitaa nje ya kufunga Patrick Dorgu anakupa faida kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja..
Ukiwa hauna mpira Dorgu atafanya pressing kuanzia juu na ukiwa na mpira Dorgu atapiga cross au kufunga...
Kamba kubwa mno dhidi ya Arsenal, Patrick Dorgu alipiga goti chini ndani ya nafsi na kusema " magwiji wote wa United...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/harry-redknapp-baada-ya-kuulizwa-kwanini-bale-umemtoa-beki-hadi-winger-harry-redknapp-alijibu-kumche