VYOTE NDANI GONGA94
Ibrahim Konate alikosekana kwenye michezo baadhi ya Liverpool baada ya kifo cha baba yake..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kwenye ushindi wa magoli 4-1 wa Liverpool dhidi ya New Castle United Ibrahim Konate alirejea kikosini ..
Sio kurejea tu ,lakini Ibrahim Konate alifunga goli la 4 kwa upande wa Liverpool kwenye mchezo huo ..
Baada ya kufunga goli hilo Ibrahim Konate alionekana akitoa machozi..
Ndio chozi la mwanaume ambalo halianguki kizembe hadi pale huzuni inaposhinda moyo ..
Huenda Ibrahim Konate kazikumbuka enzi za mzee akiwa hai ,labda kila alipofunga goli kwa Liverpool mzee alimpigia simu na kumpongeza ...
Huenda Ibrahim alifunga goli na kujua leo kwenye hii furaha nitakaa na wengine lakini hawezi kuwepo mtu mmoja tu ambaye ni baba..
Wachezaji wenzake walienda kumtia nguvu Ibrahim Konate ...
BABA π
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA βEpisode 1
βMvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita nji...
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*πππ. *1-4*
*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa...
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na b...
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
Msanii maarufu βTossβ, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa k...
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka kwenye Ligi Kuu ya Saudi msimu ujao. Ronaldo kwa mujibu wa ripoti yuko tayari kulipa kifungu cha euro milioni 50
zilizo kwenye mkataba wake na kuondoka Saudi kutokana na kile anachoona kama upendeleo kwa Al-Hilal. Ronaldo anasemekan...
WAMEIRUHUSU IPITE (Baada ya Kugundua hawana undugu) 1 - - - - - 5
SEHEMU YA 1 Kama utani hivi lakini kura zilipigwa usiku wa manane Nyamizi Mimi pamoja na my big brother Nico twende Jij...
Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba
. Tofauti ni kubwa kati ya mtoto anayekuzwa na wazazi wote na yule anayelelewa na Mama pekee. Sauti ya Baba hujenga nidh...
πππ¨ππ‘ππ’ππ‘π ni moja ya kitu muhimu sana kutokea kwenye asili kinachohitajika na mwanadamu katika suala zima la uzalishaji
masuala mbalimbali chanya ambayo hupelekea kuleta maendeleo chanya katika maisha ya Duniani. Dunia ni moja ya Gimba lil...
Harry Redknapp baada ya kuulizwa " kwanini Bale umemtoa beki hadi winger?" , Harry Redknapp alijibu " kumchezesha nyuma ni kupoteza kipaji chake...
Miaka mingi mbele ni kama vile tupo ulimwengu mwingine kuna script inataka kuandikwa tena... Ni Patrick Dorgu tena anat...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Ibrahim Konate alikosekana kwenye michezo baadhi ya Liverpool baada ya kifo cha baba yake..
Kwenye ushindi wa magoli 4-1 wa Liverpool dhidi ya New Castle United Ibrahim Konate alirejea kikosini ..
Sio kurejea tu ,lakini Ibrahim Konate alifunga goli la 4 kwa upande wa Liverpool kwenye mchezo huo ..
Baada ya kufunga goli hilo Ibrahim Konate alionekana akitoa machozi..
Ndio chozi la mwanaume ambalo halianguki kizembe hadi pale huzuni inaposhinda moyo ..
Huenda Ibrahim Konate kazikumbuka enzi za mzee akiwa hai ,labda kila alipofunga goli kwa Liverpool mzee alimpigia simu na kumpongeza ...
Huenda Ibrahim alifunga goli na kujua leo kwenye hii furaha nitakaa na wengine lakini hawezi kuwepo mtu mmoja tu ambaye ni baba..
Wachezaji...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ibrahim-konate-alikosekana-kwenye-michezo-baadhi-ya-liverpool-baada-ya-kifo-cha-baba-yake
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ibrahim-konate-alikosekana-kwenye-michezo-baadhi-ya-liverpool-baada-ya-kifo-cha-baba-yake
Maoni