AFANDE MILLANπ Sehemu ya 68
SEASON 4
Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we umeanza lini kulala shift za usiku millan, millan una mwanamke mwengine au sio, kwaiyo week 3 hujaludi kwa mkeo na umpokelei aimu na huongei nae kwa chochote, una akiri millan, kwaiyo yule mkeo ni yupo kuangalia nyumba yako tu au sio ,daah aya ndo mazala ya kulazimishana ndoa ,mi simfikilii jalia sabaabu simpendi kabisaa, nikasema kaka ni kazi mi sikudanganyi kuna mda mambo yankuwa yanabana sana, kaka akanmbia milllan, acha kunizungua mi nikipiga simu moja tu kwa mkuu wako atanambia kila kitu, hauna shift ya usiku ww, millan naomba uludi kwa mkeo na ukaongee nae sitaki upumbavu wako, na ikizidia hii hali mm na wewe tutasomana,
Kisha kaka akanikatia simu sasa. Daaah ila kaka anakataa na jalia ananipigia, ila hii siku nikampokelea simu mi sikuwa nampokelea simu kabisa, jalia akasema millan jamani mbona unanaifanyia hivi mume wangu, et baba shida nn au kuna kitu nimekukosea ,nikasema nilisafiri kikazi kwenda mwanza samahani , sokukupa taarifa ila leo ntakuja nyimbani, apo niliogopa kutokwenda mana nilishajua broo atanizingua kweli, mi namjua kaka angu akiongea huwa anamaanisha, so sikutaka kugombana na kaka, nikaona basi sawa, nikatoka kazini nitanenda kwa jalia sasa, basi jalia akanambia sawa mpeniz naomba sana leo ufike nyumbani, naomba mnooo tuje kuongea na kupenda sana jamani mume wangu, nikasema.sawa kisha nikakta simu sikupendaaa ataa, nikaludi ofisini ila ahaa kichwa akilidhavurugika ,nikavuta simu kisha nikampigia zena
Na zena akapokea akanmbia nambie baba ummy wangu, nikasema mke wangu nimepata dhalula nasafili.kwaweek naenda kigoma kikazi leo mchana, zena akasema mh mbona imekuwa gafra sana, nikasema yaaa ata sisi tumeshangaa ni imekuwa gafra, so naomba unielewe mke wangu, zena akanmbia sawa hakuna shida mume wangu ila wanao watakumisss sana, ila usiache kazi nikasema okey nakutumia pesa kidogo, ikusapoort na watoto , zena akanmbia sawa wala hakuna shida mume wangu , na kweli nilivyokata tu simu ,,nikamtumia pesa zena, na zena akanipigia kunambia asnte, nikasema asante kushukuru mke wangu, kisha mm nikaendelea na kazi zangu japo kinyonge sana na jioni sasa ndo nikaenda kwa jalia yani kama nimechinjwa, naenda sehemu ata akili haipo ila sikuwa na jinsi, basi bwana nikafika mpaka home, na jalia akanikalibisha tu vizuri, kisha sasa nikaingia ndani , basi nikaona jalia ananibabaikia sana maskini, mnajua jalia sio mwanamke mbaya kabisaa, tatizo ni moyo wangu haumpendi kabisaaa jalia, moyo wangu unmuwaza zena mda wote , kwa huu mda ata mwanamke wa pembeni mo sikuwa namtaka zaidi ya zena wangu tu yani kama.aliniroga, ila ni mapenzi tu yalizidia kqa zena .
Basi jalia , akanmbia mpenzi karibu sana nyumbani, naomba ukaoge basi kwanza ,nikasema.sawa , basi nikamuacha kitandani lakini nilimuonea imani mana nilihisi ninamuumiza kweli, just imegine nimemuacha week 3 , na simu zake sikuwa napokea kabisaa, yani nilizipotezea kabisaa, basi nikaenda kuoga na nilipotika sasa ,nikamkuta yupo kitandani kama ananisubiri hivi, basi mi nikavaaa kisha nikakaaa kitandani sasa, jalia akaniulizaaa ndo ulikuwa kwa zena,mh nilijikuta nimestuka mana sikuelewa ni vp jalia kamfahamu zena, doooh, jalia akanmbia usistuke millan, mm simjuh zena ila nimemfahamu kupitia ww kwa simu zako ukiwa hapa nyumbani, doooh nikajua kumekuchaπͺ
Kumekuchaaaa ndo kwanza tunaanza , mambo ni motroooπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni