Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
18 Mar 2026
65 views
VYOTE NDANI GONGA94
MY HOT PILOT* (rubani wanguπ₯) 17 to 18 final
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
*
*
MTUNZI: SMILE SHINE
EP 17.
Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu nilikuwa π₯, Yani ilikuwa babukubwa, nilipendeza mno na jicho langu Sasa, linalegea ata bila kungu manga, nilikuwa very happy Yani, niliingia ukimbini Kwa mbwebwe, na furaha, waliokuwa kwenye harusi yangu na vicram, waligundua utofauti mkubwa sana...
Hii nilikuwa naa furaha inayoonekana kabisa,hatimae nikawa Mrs kingsalay, upande wa vicram, walikuwa na majonzi mno, siku moja nikiwa barabarani nikamuona, shangazi , tena anaomba omba barabarani kachoka, nilitamani kumsemesha ila nikasita, nisijekuta naenda kujiongezea maadui, nilitumia mtu mwingine kufikisha msaada wangu, king aliaaamua kwajengea home bonge la mjengo, Mzee alikuwa anakenua tu, maisha yakaendelea...
Kampuni yetu ilishikaa kasi sana, Kwa usafilishaji bola naa salama,vita zikaongezeka, iren alianza kudate na vicram,..
Tulifanikiwa kuwandoshaa maadui zetu, tukajua mambo yameisha, lakini kumbe bamdogo wake na vicram alitoka gerezani, na mtu aliekuwa na chuki nae ni mimi make Mimi ndio katambua niliwavurugia mpango wao Toka mwanzo...
Nyie siku ya siku natoka sokoni, nikatekwa ndani ya gari yangu, nilipelekwa nje kidogo ya mji, na nilikuwa na iren, bahati nzuri sikuwa na watoto,tuliteswa huko, Kisha wakapigiwa simu king na vicram, Ili tuachwe hai watoe she's zao wampe huyu Mzee....
Aisee wote walikuja tena Kwa wakati, ilikuwa balaa na uzuli waliwaandaa police, hivyo ikawa rahisi kuokoa Mali zetu,katika kuburuzana bamdogo wake vicram akachomoa pisto ya police akamlenga vicram, iren Kuona akakinga ikazama kwake...
Itaendelea...π₯
*MY HOT PILOT*
(rubani wanguπ₯)
MTUNZI: SMILE SHINE
EP 18.
Aisee vicram alipinga ukunga usio wakawaida, tulimuwaisha iren kwenye matibabu bahati nzuri risasi hakuingia sana lakini pia alikuwa mjamzito, na mhusika alikuwa vicram, hio furaha aliyopata haikuwa yakawaida, nilimuuguza iren mpaka akakaa sawa, vicram aliamua kumuoa iren, mahali ilitolewa tukala na kuienjoy, ni miaka mitatu Sasa tuko na amani, na upande wa watuhumiwa wako gelezani wote, walifunga kufungi Cha maisha, mama mkwe wangu ananipenda mpaka najionea wivu tu, apa mwenzenu watoto nimempa mama mkwe Niko na mimba nyingine, nadeka kama kawaida nikikijua tu baby ana wahi kunisikiliza, sijuitii kuolewa nae kwakweli, ananijulis sana uyu kiumbe wangu, Mungu anitunzie tu furaha yake nikishampikua ugari na mrenda basi kama alikuwa kavurugwa ama amejivuruga lazima akae sawa, anapenda hiki chakula mno, pilot wangu pamoja na ukaribwske ila Yuko romantic sana jamani...
Shangazi yangu, alivyojua Nina maisha safi, alianza kunisakizia mambo, na kunuandama nimsaidie, lakini kumbe nae alikuwa anashilikiana na bamdogo wake vicram tena ni wapenzi wa miaka na miaka...
Hivyo na yeye aliishia gerezani, nawakaribisha kwangu jamani KARIBUNI sana sana π₯°π
The end.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA βEpisode 1
βMvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita nji...
*
*
MTUNZI: SMILE SHINE
EP 17.
Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu nilikuwa π₯, Yani ilikuwa babukubwa, nilipendeza mno na jicho langu Sasa, linalegea ata bila kungu manga, nilikuwa very happy Yani, niliingia ukimbini Kwa mbwebwe, na furaha, waliokuwa kwenye harusi yangu na vicram, waligundua utofauti mkubwa sana...
Hii nilikuwa naa furaha inayoonekana kabisa,hatimae nikawa Mrs kingsalay, upande wa vicram, walikuwa na majonzi mno, siku moja nikiwa barabarani nikamuona, shangazi , tena anaomba omba barabarani kachoka, nilitamani kumsemesha ila nikasita, nisijekuta naenda kujiongezea...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-hot-pilot-rubani-wangu-17-to-18-final
Maoni