Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“*  "1__5"
Gonga94 ยท Stories

*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“* "1__5"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SEHEMU YA "1"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BY BABIE LOVE

"Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea๐Ÿ’ต"

Nyie njooni niwaambie kitu โ€ฆโ€ฆโ€ฆ
mnazijua chapati?
Sambusa je ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni ni hivi
mwanenu kupitia hizo bites nilijikuta penzini na billionea ambae alikuwa na billions of love up on me ๐Ÿ˜alikuja kama miuza chai pale kazini kwangu kumbe kuna mengi aliyaficha nisiyajue .,,,, alikuwa anatafuta standards zake anazozitaka kwangu ๐Ÿ˜‚

Nilikuwa nauza hizo bites tu bila chai, ila yeye akaona wacha aje na chupa zake ili awekaribu na mimi auteke moyo wangu, na amin nawaambia alifanikiwa Hansโ€ฆโ€ฆโ€ฆ..

Unaweza hisi ni movie ila amin nawaambia ni ukwelli mtupuโ€ฆโ€ฆ.

Aaah my frendo Hans am really mad over you man , najua unajua hilo ๐Ÿ˜

Ngoja niwaulize kitu Ndugu zangu wapendwa
Nani mwingine amewahi kufanyiwa Muujiza na Mungu kwenye masuala ya mapenzi ? Yaan ulipigika huko kwa wayahudi ukabakia hoi nyangโ€™anyangโ€™a hutamaniki alafu huyu Bwana Mungu akaja kukushukia ukajiona wewe ndo Last Born wake ?๐Ÿ˜‚

Kama upo sema arereeeeeeeeeeeee ๐Ÿ˜‚โ€ฆ..

basi huyo hapo juu ndo mimi hapa

Baada ya kufanya kazi kwenye shule nyiingi sana za watu binafsi na kukonda nikabakia kama mbu ๐ŸฆŸ๐Ÿ˜ญ,, aah bwana weee nikaona isiwe taabu, chakufia ninini mie ?

Yaan why nife kisa shule za wenye nazo , ?natumika kuliko malipo yangu , nisome kwa shida nije kutumika kwa shida we kuweza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ€ฆ. Nikasema nitafanya kitu changu mwenyewe cha kuniingizia pesa yangu mimi kama mimi๐Ÿ“Œ


nilikuwa nimejikusanya na kamtaji kangu ka laki na 70 nikatafuta kijisehemu huko barabarani nikaanza kuuza bites , si mnazijua bites eeee jmn yaan ikawa hivi Usiku napika maandazi , sambusa , chapati na halfcake asubuhi nawahisha hapo barabarani kwenye kabati yangu ambayo niliikodi kwa wauza. chips flani hivi kila siku nailipia elfu 3000 โ€ฆโ€ฆ basi nakaa zangu kwenye kastuli naanza kuuza , mtoto wa nyoka ni nyoka , najua kupika aisee mama yangu alikuwaga mamantilie kwahyo kwangu masuala ya kupika ni kama kumsukuma mlevi tu anaanguka pwaaaaaaaa โ€ฆโ€ฆ..

nilikuja kunotice kitu flani hivi โ€ฆ.kuna gari moja hivi mara nyingi sana asbh lilikuwa linasimama pale kazin kwangu upande wa pili wa barabara ๐Ÿ™„ mmmh


Lile gari linakaa kama dakika mbili then anashuka kijana mmoja mweusi kavalia suti kali nyeusi yuko very smart anakuja ananunua sambusa na chapati zooooote nilizopika ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘€
Imagine โ€ฆโ€ฆ

Oya furaha yake mnaijua ??? Hahahha nilikuwa narukaruka vibaya mnoooooooo a laf yule kaka akawa ananambia keep chenchii Oyaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vibe la kuambiwa keep chench mnalijua kweli nyie ????
Akitoa minoti hatakama imebakia elfu nane ananiambia keep chench ,Oya sasa hapo mtaji umeongezeka haujaongezeka ??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Oya Niikawa nasema Mungu ameniona maskin mkubwa mimi ,mimi tena nikaongeza kiwango cha unga nikawa nazidisha chapati na sambusa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃzinakuwa nyingiii vibaya mnoooo maana najua yule mkaka akija atanunua zoteeeee anazozikuta hahhaha

Haipiti siku ile gari inakuja inasimama kama kawaida mteja wangu anakuja kununua mzigo wake huyooo anaondokaโ€ฆโ€ฆ

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“

SEHEMU YA "2"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

"BY BABIE LOVE"

Zilipita wiki mbili nikawa nimeshazoea kumuuzia yule mkaka bites zangu

Basi siku hiyo alivonunua nikasema leo napika sambusa kilo kumi na chapati kilo kumi alafu bites nyingine napika kilo tatutatu Oyaaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nikapika nikajaza mandooo na mandoo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ vitu vikajaaaa niko hoi bin taaban nimechoka nimechakaa vibaya mnooooooo nikalala kama mbuzi uchovu mwili mzima

Asbh na mapema nikawahisha mzigo site pale nikakaa juani kumsubiri mteja wa faida aje aniambie keep chench

Guess what ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ alikuja ??? Alikuja nawauliza ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ

Mpaka saa tano hakuna gari wala mkomoteni uliopack pale moyo unaenda mbio nataka kukata roho

Mpaka saa saba hakuna mtu โ€ฆ..nikaanza kulia ๐Ÿ˜ญmnakijua kilio cha uchungu nyie ? Michapati yote hii misambusa tamuuzia nani mimi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Nikapagawa nikaanza kuita watu aisee nao hawaji kununua

Nikaona rundo la watoto wa shule haoo wanarudi makwao

โ€œNyie watoto njooni โ€ฆโ€ฆ
Haoo wakaja

Mna shingapi hapo kwenye mifuko yenu

Mia mbili mbili nauli ya kwenda nyumbani

Nunueni sambusa nimeshusha bei kutoka 500 nitawauzia 200
โ€œ Sawaaaaaa vikafurahi hivyo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Walikuwa kumi na Moja wakatoa hela zao aisee nikawapa sambusa bora nipate 200 kuliko zikachacha nikamwaga ๐Ÿ˜ญ

Nikaona Bado mzigo ni mwingi sanaaaa nikachukua ndoo nikajaza mzigo humo sambusa na chapati nikafunga ofisi huyoo kwabodaboda kuwatembezea aisee nilijuta siku ile ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
Nilijutaaa nilitembea kama mamba , boda boda nao wanataka mpaka wakushike makalio ndo wanunue ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Tafanyaje sasa nikakubali kuyaachia makalio yangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ yakabinywa vibaya mno ๐Ÿ˜‚

โ€œEeh we dada una kalio laini , alisema boda mmoja

โ€œSanaa yan ni laini vibaya mno ukiyaona live ndo utazimia kabisa nilisema ile kauli ikawavutia wengi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Oya jerojero za sambusa zilimwagika pale walinunia vibaya mnoooo
Huku wengi wao wakiomba namba yangu , vipi niwanyime au ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Niwanyime ili misambusa inidodee mimi taipeleka wapi

Yaan nilikubali kila kitu chamsingi wanunue

Walikula nusu ndoo ya sambusa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wengi mno niliwapa namba yangu ya simu lkn nilijua tu nikifika home kila namba itakayonipigia inakula block.

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“

SEHEMU YA "3"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

"BY BABIE LOVE"

Nikaondoka bwana ,Huku na kule pita kwenye foleni zunguka mtaa kwa mtaa mpaka vilabuni kwa walevi nilienda ili tu mzigo uishe lakin wapiiiiiii

Aisee nilichoka vibaya mno nikakumbuka kule home mtaani kuna watoto weng sana nikaamua kurudi nyumbani tu zikichacha sawa tu nitakubali hasara sina namna kabisaa ๐Ÿ˜ข

Huyoo mdogo mdogo hadi nyumbani nikafika nikatua mizigo yangu nikaenda kuoga nikaingia kulalaaaaaaaaaa

Wadogo zangu sasa wakiskia mzigo umerudiii wewwe wanaweka sherehe ni kuzitafuna tu hizo smbusa mpaka ziishe ndo watatulia


Niliingia room Nilijigunika kwa hasira nililiaaaaaaaaa balaa maana nusu ya kamtaji kote nimepata hasara ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Watoto wote mtaa mzima wakajaa pale home kula sambusa za bure aisee maana zina viungo ndani zisingetoboa kufika kesho zingechacha

Ila chapati niliiweka kweye mfuko laini nikazitia kwenye ndoo

Jamani nilipitiwa na usingizi mzito vibaya mnoooo , nililala ile saa kumi jioni nilikuja kushtuka ni asbh kumekucha kabisaaaaaa


Aloo nikakurupuka pwaaaa mbiooo nikaenda kuchukuw chapati nilikozificha nikabeba mizgo yangu huyooo site
Nikafika nikawasha mkaa na kuweka flampan pale pale nikaanza kupasha chapati zangu aisee na leo naziuza 250 badala ya 500 yaan full hasara acha kabisa .

Nikachukua kikaratasi na markpen nikaandika kbisa kabango kuwa chapati ni 250

Wacha watu wamiminike kama mvuaaaa
Zilikuwa na chapati za elfu 13 hivi

Walinunua balaa ndani ya dakika 10 nikapata elfu 6

Nikiwa naendelea kupasha pale macho chini kwenye flampeni sasa saangapi ile gari isije tena pale kupack๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„


Nilipata hasira vibaya mnoooo baada ya kuipna , nikikumbuka hasara niliyoipata kwenye sambusa na chapati ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Nilikuwa nimenuna vibaya sana siyo kama sikuzote ambazo huwa namchangamkia sana yule mkaka

โ€œHabari madam ?

โ€œSalama ๐Ÿ™

โ€œNipatie mzigo kama kawaida

โ€œLeo hamna

โ€œHukuandaa leo? Akauliza

โ€œNiliandaa jana michapati misambusa kama yote hukuja kuchukua ulitegemea mimi nalisha wakimbizi ๐Ÿง. Aisee nilichukia vibaya mnoo๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน


โ€œSorry for that nilitoka kikazi kidogo but am back and i promise you sitakuangusha tena.

โ€œYaan ulisababisha mpaka boda boda wakanishika makalio yangu kisa wewe โ€ฆ.
Nilikuwa nimekasirika vibaya mnoooo, โ˜น๏ธ niliendelea kupasha zangu machapati yangu nisimtizame usoni niko bize na wateja

โ€œSogea huko unaziba wateja sasa , nilimwambia huku nikimfungia dogo mmoja hivi chapati zake

Alisogea na kurudi kwenye gari yake ๐Ÿฅฒ

Nilidhan ataondoka , ila alikaa Kama dakika mbili hivi akarudi tena .


โ€œTell me how much u lost yesterday?

โ€œLaki moja na ishirini , nikaropoka uso wa mbuzi

โ€œOkay I will fix it , akatoa walet yake , akahesabu noti nyekundu kama zoteeeeeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, aloo nilitamanni kumpa mate aendelee kuzihesabu hahahahhjaja
Oya zilikuwa 20 zile noti nyekundu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚akanipatia

Sorry for everything alisema kisha huyooo anaondoka

โ€œJamani kaka skiliza , nikashindwa kujizuia

Akasimama akinitizama , uso wake ulioneshw kabis hakupendezwa na nilichomfanyia mbele za

โ€œasante mnoooo ubarikiwe sana jmn
Nilisema nikimkimbilia mpaka alipo ๐Ÿ˜ญ the man is so kind.

โ€œDont worry see u alisema huyoooo akaingia kwenye gari yake vyenye vioo tinted akaondoka


BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“

SEHEMU YA "4_5"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

"BY BABIE LOVE"

Nilipata nguvu mpyaaaaaaa , nguvu kubwaaaaaaaa nimeshapata mihela mingi zaidi ya nilizopoteza , alooo nikamaliza zile chapati chap zikanunuliwa kwa bei ya hasara nikasema kwa hii shughuli ya leo na jana aisee Kesho sipiki napumzika .

Nikafunga virago vyangu nikaenda zangu nyumbani kulalaโ€ฆ.


Nafika home tu nakutana na vurugu kama zoteeee

Wamama wa Vikoba wamemfata mama kumdai hela zao alizokopa na hajawalipa ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ

Wamemzingira wanataka kuingia ndani kubeba tv yetu ya chogo na makochi mabovu ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ


โ€œPisha mama Naah Pishaaa tupite tupukutishe kasebule hako

โ€œHaingii mtu hapa , mwenye nguvu asogee nimvunje taya arudi kwake bila fizi mdomoni ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ alisema mama
Yaani nilivunja mbavu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mama ni mbabe vibaya mno๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yan mama angu ni kibonge alafu ana manguvu na ni jeuri vibaya mnoooooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hata kipindi tunaishi na baba , oya baba alikuwa anakula makofi vibaya mnoooo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Sijui akilala wapi huko kwa madem zake arudi asubuhi , mara sijui akifanya tukio gani aloo alikuwa anakula ngumi na mateke kutoka kwa mama mpaka anavimbaaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ siku baba aakisumbua mama anamkalia tu
Kababa kanalia huko chumbani kuomba msaada ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃkababa kakaona isiwe tabu chakufia nn kakahamaga nyumba kakatoweka sijui kaliendaga waapi kuponya nafsi yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃni mwaka wa kumi na nne huu hatujakaonaga ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃkalikimbia kichapo hahhhahahhhaha

Bas vile vimana vinapiga makeleke tu kwa mbali havisogei mlangoni maana mama amekaa kabisa katikati ya mlango anamsubiri mwenye nguvu asogee pale ammwage utumbo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

โ€œKwan mama wanakudai shingapi ? Nikaon isiwe Tabu

โ€œElfu 60 ndo mikelele yote hii mwanangu

Kha nyie washamba kweli haya shikeni hela yenu sepeni hapa nilisema kwa hasira

Vile vimama sasa eeee danga umlee mamaako maana anamadeni mpaka kwapani bora una akili haugawi k yako bure ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mama kuskia vile alienda jikoni akaokota panga la kukatia kuni hilo panga limechongoka kama mshale weeee alivikikbiza vile vimam vilibanana getini kama nyau vikataka kuondoka na geti ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mamaaaa Tunakufaaaaa mamaaa tusaidieeeeee vililia vile vimama mbiooooo ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธvilitawanyika vibaya mnooo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“* "1__5"


SEHEMU YA "1"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BY BABIE LOVE

"Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea๐Ÿ’ต"

Nyie njooni niwaambie kitu โ€ฆโ€ฆโ€ฆ
mnazijua chapati?
Sambusa je ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni ni hivi
mwanenu kupitia hizo bites nilijikuta penzini na billionea ambae alikuwa na billions of love up on me ๐Ÿ˜alikuja kama miuza chai pale kazini kwangu kumbe kuna mengi aliyaficha nisiyajue .,,,, alikuwa anatafuta standards zake anazozitaka kwangu ๐Ÿ˜‚

Nilikuwa nauza hizo bites tu bila chai, ila yeye akaona wacha aje na chupa zake ili awekaribu na mimi auteke moyo wangu, na amin nawaambia alifanikiwa Hansโ€ฆโ€ฆโ€ฆ..

Unaweza hisi ni movie ila...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/billions-of-love-1__5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi billions-of-love-1__5
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

1.38K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65*

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*

297
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

257
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

206
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

205
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

193
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

189
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

166
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.

123
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.

86

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.84K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.72K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea๐Ÿ’ต" Nyie njooni niwaambie kitu โ€ฆโ€ฆโ€ฆ mnazijua chapati? Sambusa je ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3) Post Mpya
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 71 Mwandishi; lissa wa huru media Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa...

๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA Post Mpya
๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA
@majario LIVE

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Wote wamevaa rangi za nchi zaoโ€ฆ lakini NANI AMEUA STYLE ZAIDI? ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ โš ๏ธ CHAGUA NCHI MOJA...

SHAMIRA 67 to 70 Post Mpya
SHAMIRA 67 to 70
@majario LIVE

62 MPK 70 (SEASON THREE) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 67&68 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikiwa nawaza sana pale akaingia husna .akagonga mlango...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
@majario LIVE

:01 Natafuta ni wapi nianzie na ni wapi nimalizie, sijui kabisa yaani kwa maana moyo wangu, roho yangu, na hisia zangu vyote kwa pamoja vimejawa na furaha isiyo kifani. Maisha yangu ni...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.
@majario LIVE

Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65* Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.
@majario LIVE

Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi,...

JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest