Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 62 63 na 64
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 62 63 na 64

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sehemu ya 62
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina kitu. Basi nikatafuata gari nikapanda mpka mbagala.nikatafuta la saku nikaludi mapka kwangu. Ile nafika tu naona maziwa yananimwagika sana nikawa najua kabisa mwanangu kashaaamka na anataka kunyonya. Asee niliumia sana nililia mnoo yani nililia sana uku moyo ukiniuma sana .nilisema nisamehe cairah mtoto wangu ila naamini upo sehemu sahihi mtoto wangu jamani.niliumia sana tena nililia mno na moyo ukiniuna sana .maziwa yalinivuja mno.nikawa nahisi kabisa mwanangu analia sana uko. Nikasema au yule kaka hajarudi katika gari lake .ooh mungu wangu ila atakuwa kamuona bwana.nikakakaza moyo tu .sikuwa na jinsi ata
Bsi bwana nikawa nimeganda tu katika godoro langu nikiwa ata sielewi ile roho ngumu ya kumuacha mtoto niliipata wapi daaah. Nikabaki najutia tu.nikawaza nikasema hivi ata ningesema nipambne nae mimi nisingeweza jamani. Ooh mungu wangu nisamehe. Na cairaha nisamehe sana mtoto wangu naamini utakuwa salama mh. Mpaka nikawa naogopa mimi mwenyewe jamani. Nilikuwa na picha ya mtoto wangu nilimpigaga.ndo nikaivuta nikamungalia sna nikawa nalia tu mpka usingizi ukanipitia .nikaja kustuka asubuh kabisa .ata kuoga sikutaka nilitulia tu nikiomboleza ndani ya moyo wangu.uku nikipata uchungu mkubwa sana .ata kula sikula kabisa ata njaa sisikii nyie.mwanangu aliniuma sana nimebaki na mshono tu
Basi bwana nilikaa ndani siku 3 nipo nalia naamka nalala.nawaza yani sikuwa sawa kabisa mpka siku ya 4 .husna ndo akaja sasa akanikuta nipo nalia tu. Sielewi yani .sikuwa nimekula kwa siku 3 na sikua nimeoga kwa siku 3 .yani kama chizi nilikuwa mpka nanuka.si unajua wanawake sisi alafu usioge siku 3. Basi hysna alinishanagaa sana kunikuta vile akaniuliza shida nini nikawa nalia tu. Akaniuliza una nini bado sikuweza kumwambia chochote kwa uo mda . Basi shoga kwanaza akanichukua akanipeleka bafuni akaenda kuniogesha kisha akaniludisha ndani akaniumiza umekula wwe.nikasema hapana na sijisikii kula. Akasema hapana lazima ule si unajiuna hauna ata nguvu.
Basi haraka haraka akanikologea uji . Na akanilazimisha kunywa na mwengine akaninywesha kabisa . Nilikunywa uji wote kwa kunilazimisha .akanambia sikia itakuwa ni kuhusu mtoto eeh mbona simuoni apa .nikasema baba yake kaja kafosi kamchukua . Mh niliona niongoepe namuambiaje mtu balaa kubwa nililolifanya mimi .mh hapana kwa kweli.basi shoga akasems mh baba yake hamadi unayesema kila siku kuwa anakataa kumsaidia mtoto. Nikasema ndio kaja kumchukua mtoto anasema ataenda kuishi nae. Shoga akanambia jamani sasa ndo unaumia mpka huli siku 3. Yule ni baba yake piah kama kajiludi ni sawa na uwezo wa kupambana na mtoto wake anao mana pesa anayo kwaiyo usiwe hivyo bwana sawa
Nikasema sawa amna shida kipenzi.

Basi shoga akanitia moyo sana kuwa nione kawaida tu akaanza kunipa story yake kuwa ata yeye kuna mwanae alipokunywa na mwanaume aalozaa nae kwaiyo na mimi niichukulie kawaida. Na mtoto atanikumbuka tu. Kumbe mwenzake nalia mengine kabisa nimetelekeza mtoto uko.kwa mtu ambaye ata simjuh na ata sula yake yule kaka mimi nishasahau. Yani nilivulyoona kapendaza na kashuka katika gar kali nimeenda kumtupa mwanang daah kazi ipo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 63&64
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi hilusna akanambia twende ukakae kwangu siku 3 .alafu utaludi kwako naona haupo sawa kabisa.nikasema sawa Basi kweli husna akanichukua akanipeleka mpka kwake na kweli nilikaa siku 3 nikawa nipo poa kidogo na ata maziwa yakawa ayamwagi tena .ata sielewi ilikuwaje uko . Nikasema mungu amponye mwanangu uko au sijuh atakufa yani acheni. Baasi bwana nilipokuwa sawa nikamwambia shoga mimi pale sipataki tena kiishi pale ngoja nijisikilizie apa nitafute danga linipe pesa niame pale. Shoga hakuwa na shida akanmbia powa amna shida.
Na kweli bwana siku iyo razaki akanitafuta nini nikasepa nae lodge . Tukafanya yetu nikamuomba pesa yakuaama akanipa laki 1 na hamsini. Sikufanya ajizi sikuwa napataka tena pale niliona mtapata kumbu kumbu za mtoto wangu. Nikarudi uku uku charambe karibu na husna nikapanga chumba ila cha kiza mana nilikuwa ata sielewi .nikanunua na kiswaswadu cha kusogeza maisha sasa. Kiukweli razaki uyu alikuwa anaonesha sana anataka sana kukaa na mimi ila wala sikuhitaji .yani mpka akawa ananimbia nitulie anioe ila wala sikuwa nimempenda kwanza mimi razaki nilikua namuona kama danga tu

Ikapita miezi 3. Naendelea na maisha yangu ili kuna jinsi moyo unauma kila nikikumbuka kuhusu mwanangu nahisi ganzi sna.japo husna nilimdanganya kuwa mtoto kachukuliwa na baba yake ila moyo unauma mana nimefanya balaa la peke yangu bwana.basi maisha yakaludi kama mwanzo .nipo tu na husna ndo shoga yangu sana .mimi urafiki na aisha ukaisha kabisa. Nikawa naona duka lake limekua sana na pesa anayo mno .na anapendaeza mno.na yupo busy na mambo yake .na nilisikia kapanga nyumba nzima anaishi na bwana wake. Daah nikaona mimi nilikuwa mjinga sana ile biashara si bola ningefungua mwenyewe leo nisingekuwa na shida uwenda .aya bwana ndo akiri zangu chenga nafanyaje sasa

Basi maisha yakawa yanaendelea kama kawaida nikaludi kwenye udangaji kama jana.ila niliweka tena kijiti sikutaka kabisa kubeba mimba mimi. Hapana kwa kweli .nikapata vipesa vyangu nadunduliza sasa mwajuma na aisha ndo wakawa mashoga wananisema mie nilikuwa najifanya tajiri kumbe mshamba tu nilikuwa nalazumish mapenzi na hamadi kanikataa kweupe. Mimi wala sikuw na mda na aisha nikaona watanipotezea mda .nikawa busy na maisha yangu. Na nilijua vizuri kuwa aisha ndo anatoa siri zangu kwa maahadimu wangu .ila mimi wala nikawa sina mda.ili mladi maisha yanaenda

Siku iyo sasa nipo busy na shoga yangu tena tulikuwa tumekaa barazani katika nyumba aliyopanga . tunapiga story za apa na pale.nikaona gari imepack mbele pale .kisha nikashanga kumuona hamadi anashuka katika ile gari mh nilijisikia mpka kinyaa anakuja kufanya nini sasa na anamtaka nani. Basi akaja mpka pale anajikenulisha akasalimia mimi wala sikuitikia nilitulia kimya ila husna ndo akaiitikia salamu yake.kisha hamadi akaomba kuongea na mie kwenye gari yake .nilitaka kugoma ila nikaona ngoja nimsikilize.nikanyanyuka nikaingia katika gari lake .
Akasema vp shamira upo powa .nikamuangalia tu nikasema bwna sema shida yako haraka .akasema sawa nimefikilia mambo mngi sana shamira najiona kuna mambo nakosea shamira.nimekuwa nasumbuliwa na ndoto za kutisha sana naona watu wanalia na kunambia kwa nini natupa damu yangu lakini sio hivyo tu shamira niliona ni kweli nimefanana na yule mtoto plsss mama yamgu naomba nichukue majukumu kama baba japo nimechelewa naomba unipokee na unisamehe shamira tulee mtoto
Wetu.uwiiii uyu nimtukane tusi gani jamani ebu mnisaidieni walllha daaaaaah

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 62 63 na 64


Sehemu ya 62
Mwandishi; lissa wa huru media

Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina kitu. Basi nikatafuata gari nikapanda mpka mbagala.nikatafuta la saku nikaludi mapka kwangu. Ile nafika tu naona maziwa yananimwagika sana nikawa najua kabisa mwanangu kashaaamka na anataka kunyonya. Asee niliumia sana nililia mnoo yani nililia sana uku moyo ukiniuma sana .nilisema nisamehe cairah mtoto wangu ila naamini upo sehemu sahihi mtoto wangu jamani.niliumia sana tena nililia mno na moyo ukiniuna sana .maziwa yalinivuja mno.nikawa nahisi kabisa mwanangu analia sana uko. Nikasema...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-62-63-na-64

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA 49 to 50
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61

1.15K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

1.05K
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

804
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63

277
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8

159
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10

151
SHAMIRA Sehemu ya58&59

SHAMIRA Sehemu ya58&59

137
SHAMIRA Sehemu ya 56&57

SHAMIRA Sehemu ya 56&57

128
SHAMIRA Sehemu ya 60&61

SHAMIRA Sehemu ya 60&61

124
SHAMIRA 62 63 na 64

SHAMIRA 62 63 na 64

89

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.75K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.46K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.83K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.88K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.71K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.59K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
@majario LIVE

Baada y kumuacha mchumba sasa nikawa hoi yani , sio powa basi zena akanikumbatia akanambia nakupenda san mwanaume wangu, basi apo sasa , nikamwambia zena ,naomba nikuamishe apa mke wangu,...

SHAMIRA 62 63 na 64 Post Mpya
SHAMIRA 62 63 na 64
@majario LIVE

Sehemu ya 62 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana nilikuwa naumia sna moyoni ila nilisema uwenda akasaidiwa uko na akapona kuliko kukaa nae mie. lazima mwanangu ata kufa mana sina...

SHAMIRA Sehemu ya 60&61 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi niliwaza mno ila nikaona acha nipumzishe kichwa mungu atasaidia mbele . Na kweli kesho mimi nilimpeleka mtoto hospitali akapata hudumu.ma dr ...

SHAMIRA Sehemu ya58&59 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya58&59
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa...

SHAMIRA Sehemu ya 56&57 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; 0742443214 Nikapanda kitandanni nikamlaza mwananagu kisha namie nikavuta shuka nikawa nipo busy namnyonyesha.tu. aisha akawa akanasema kwaiyo unaninyanyasa kwa sababu umenipa msingi ama.asee nilisema we kumamako...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 9 na 10
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 9. Nilisaidiana na iren kutenga, walikuja kula chakula Kila mtu alikisifia, isipokuwa king,sikujali alimaliza Kila mtu akaingia kulala,nilijikuta nimemkumbuka mama angu, na Kwa muda huo nisingeweza kumpigia akiwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
@majario LIVE

Ibraa akanmbia kwanzaaa , wewe kaa na mkeo kama siku 3 kwa heshima kabisaa, na kubali tu kuwa ni mkeo na kuwa normal kwake, na uzuri mzigo si unakula basi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest