Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
10 Mar 2026
2 views
VYOTE NDANI GONGA94
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini 🇿🇦Afrika Kusini haswa wa Kaizer Chiefs wameonekana kuumizwa sana na tukio hili huku mashabiki wa Mamelodi Sundows wakiwazodoa kuwa hawawezi kumpata😂
Ikumbukwe wakati Rushine anajiunga na Simba mwanzoni mwa msimu, ripoti kutoka 🇿🇦Afrika Kusini zilisema kuwa Kaizer Chiefs walikuwa wanamtaka lakini Sundowns wakagoma kutokana na upinzani wao uliopo katika ligi ha PSL!
HAYA MAMBO YAPO MPAKA BONDENI KWA MADIBA!😄
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Nadhani katika jitihada za kuhakikisha tunapeleka mbele kiwanda cha filamu Tanzania (Bongo Movie)
lazima baadhi ya mambo tuambiane ukweli mchungu hili uwe tiba kwa vizazi vijavyo pamoja na wasanii chipukizi. Hili swala...
A rare and heartwarming moment with three generations of the Bachchan family in one frame — Harivansh Rai Bachchan, Amitabh Bachchan, and little Abhishek Bachchan. It’s the kind of picture that instantly feels special because it captures family, legacy, a
. Harivansh Rai Bachchan, one of India’s most respected Hindi poets, looks calm and dignified, while his son Amitabh sta...
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just...
Mashabiki wa Kaizer Chiefs waumizwa na Kitendo Cha Rushine kusalia Simba SC
Baada ya jana klabu ya Simba kutangaza kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja beki wao kitasa Rushine De Reuck, baadhi ya mashabiki wa soka nchini 🇿🇦Afrika Kusini haswa wa Kaizer Chiefs wameonekana kuumizwa sana na tukio hili huku mashabiki wa Mamelodi Sundows wakiwazodoa kuwa hawawezi kumpata😂
Ikumbukwe wakati Rushine anajiunga na Simba mwanzoni mwa msimu, ripoti kutoka 🇿🇦Afrika Kusini zilisema kuwa Kaizer Chiefs walikuwa wanamtaka lakini Sundowns wakagoma kutokana na upinzani wao uliopo katika ligi ha PSL!
HAYA MAMBO YAPO MPAKA BONDENI KWA MADIBA!😄
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mashabiki-wa-kaizer-chiefs-waumizwa-na-kitendo-cha-rushine-kusalia-simba-sc
Maoni