Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi ummy akanishika mkono akanmbia twende ukapaone kwetu kupya baba ,twende nyumbani kwetu, basi akawa ananivutaaa, nyieeee akawa anawambia watoto wenzake naona alikuwa anacheza nao ,et nyieee mnamuona baba yangua ananipenda sana leo kaja kuniona, mh nilijisikia vibaya mbele ya mtoto, sijaongea nae wala kuja kumuona mda sana, na wakati naelewa aka kabinti kananipenda sana , ila bado mtot alionesha kanimiss na bado ananipenda mnoo,basi kweli akaniiingiiza mpaka kwao na ilikuwa nyumba kubwa ila ina vyumba vya. Ndani na watu watu wanashare corrido, mpaka wapanganji wa mule wakawa wanashangaa, jinsi ummy alivyonishika mnoo, ummy akawa nanaitambulisha yani, uyu baba yangu leo kaja kuniona, yani ata sikupata shida y kujielezwa na akanikalibisha mpaka ndani, aseeeee nikaingizwa mpaka ndani, zena alikuwa kapanga chumba na sebule ila vile vya kawaida tu

Ila ndani kwake ni kusafi na kulipendeza sana, sababu bado alikuwa na vile vitu ambavyo nilimnunulia, basi sasa nikamuuliza mama.yuko wapi mboana simuoni, akanmbia yupo kule kwemyw biashara anauza biashara, nikamuuliza mama anauza biashaea wapi, aanmbia sio mbali nikupeleke kule anauza chapati nzuri mama yangu, mh nikamwambia sawa nipeleke nikamuone mam, nyie ummy akanishika tena mkonoo, akanitoa ndani tukaamza safari ya kuelekea kwa mama yake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, apo njiani anajulikana ummy nahisi ni katundu aka, basi watu wanamuuliza ummyy uyo nani kwani, ahaaa ni bba yangu uyu , baba yangu mzuri mzuri ananipemda sana ndo kaja kuniona, basi watu wanacheka na mimi naishia kucheka tu, apo ni yeye ndo kanishik mkono basi bwaana mtoto aknifikisha mpaka anapofanyia biashara mama yake, aseeeee hii siku niliumia sanaaaa nilimumoa mnooo

Ilikuwa ni fremu ndogo tua, iliwekwa mabechu mengi, na walijaaa wateja ila wanaume ndo sana, alafu apo kwa njeee ya baraza ndo nilimuona zena sasa, ana tumbao kubwa mnoo na miguu yake imemjaa kweli kweli, ila anasukuma chspati na anangaika na moto, aseeeee nilihisikia vibaya sanaa, na apo niliona kuna mdada ndo anamsaidia kutengea wateja na kupaakua maharageee, mi niliogopa ata kumsogelea zena, na nilimuonea huruma sana mana nilijua ana umia kwa hali yake ,ila anasukuma chapati ana kuchoma daaah, nyie ummye kanaivuta mpaka mbele ya mama yake. Kisha ummy akasema mama muone baba yangu mzuri kaja kuniona,

Apo ndo zena akainua sura yake tukaangaliana sasa, nyieeeeee , niliona aibu sijuh niseme, sijih nilionaje yani, zena akasema.ummy muachie mkono uyo mtu haraka, si mwanae alinishika mkono, ummy akasema mi nimmemis baba , niache nimshike mama, nyieeee mnajua tonge la chapati ambalo ndo linataka kusukumwa, zena akalichukua akampiga nalo mtoto kwa nguvu, paaaah akasema msenge wewe unamshika unamju , baba yako alikuzaa saa ngapi maraya mtoto wewe, nyoooooo, muachie mkono sasa hivi,daa ummy akaniachia akawa analia mtotoz mana lile tonge alimpiga nalo shavuni, alafu alitumia nguvu so nilijua limemuumiza ,nikaona kumekuacha apa leo,

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38



Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi ummy akanishika mkono akanmbia twende ukapaone kwetu kupya baba ,twende nyumbani kwetu, basi akawa ananivutaaa, nyieeee akawa anawambia watoto wenzake naona alikuwa anacheza nao ,et nyieee mnamuona baba yangua ananipenda sana leo kaja kuniona, mh nilijisikia vibaya mbele ya mtoto, sijaongea nae wala kuja kumuona mda sana, na wakati naelewa aka kabinti kananipenda sana , ila bado mtot alionesha kanimiss na bado ananipenda mnoo,basi kweli akaniiingiiza mpaka kwao na ilikuwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-38

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37

921
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38

370
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16

214
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15

191
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

177
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

170
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

151
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

145
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

129

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.85K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.6K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi nikasema ummy upo mama, ummya kanmbia ndio baba nimekumiss, kila siku niktaka kuongea na wewe mama ananikatazia, nikasema ooh sawa mama ndo mana leo nimekuja kukuona mama sawa, basi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest