Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
Gonga94 ยท Stories

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mwandishi; lissa wa huru media

Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata shule nimefel pumbavu zake.nikaona aka ngoja bwana baraka mie. Basi nikawa binti mzuri nakwambia .yani ni mimi na nyumbani .nyumbani na mimi. Nikitoka ni dukani mala moja nimetumwa na sichelewi nishaludi home .ila sasa adrian na yeye alikuwa anakomaa kunifatilia jamani. Yani nilikuwa nikitoka nje nakutana nae sana .ila wala sikutaka upumbavu mie nikasema namngoja mpenzi wangu baraka.na kama.madihara ikakata miezi 3. Nikawa nangoja siku tu ni lini baraka analudi.

Siku iyo sasa nipo home na mama. Tukapika vizuri tulivyomaliza tukatenga mezani mana mzee alisema yupo njiani analudi muda sio mrefu. Basi sie tukaanza kula uku tunapiga story kweli kweli. Mala mzee nae akaingia . Akaingia kwanza ndani kwake .kisha ndo akatoka sasa. Akasema mke wangu nijazie chakula kingi leo nna njaa sana. Kweli mama akamjazia chakura. Kisha tukaanza kula taribu. Baba akasema leo bwana nimepokea habari nzri sana juu ya baraka. Mh nilivyosikia barkaa nikatulia kwanza mana moyo ulikuwa unapiga kweli kweli. Baraka tena kafanya nini. Baba akasema baraka alikua anatalajia kuludi leo. Ila hataludo tena.nikauliza kwa nn. Akasema amepata nafasi ya kujiunga jeshini hivyo ameona ajiunge tu na jeshi . Eeeeh nini. Nikasema kwaiyo baba hatarudi. Akasema ndio. Amenambia atakuwa huko kwa miaka 3 kwanza ya mafunzo. Aseeeee nilibaki.nimeganda kama sio mimi. Ningoje miaka 3 tena. Na mbay zaidi hanitafuti mimi anampigia mjomba ake tu .yani baba yangu. Na kuna siku nilienda kwa mjomba bakari.niliwauliza wadogo zake wakanmbia huwa anapiga kuwasalimia. Nikaona kabisa basi mimi baraka hanipendi na sina umuhimu kwake. Nilijikuta machozi yananishuka mbele ya wazazi.

Mama akauliza we mbona unalia eeeh. Aseeee nikasukuma chakura.nikanyanyuka kwa hasira nikaingia chumbani kwangu. Nikajifungia kabisa malango.nikalia mno.nilililia sana.tena kwa sauti na hasira kweli kweli. Nikasikia mama anagonga fungua. Ebu fungua . Shakira mwanangu fungua. Nikasema mama kwa nn ananifanyia makusudi.nimemvumilia miezi 3 kanambia analudi tunakuwa wote .atakuwa anakupigia ili tuongeee lakini ni muongo hajawahi kupiga ata siku moja. Bado anatakaa kuwa mbali na mimi kwa miaka 3. Naishije bila ya yeye naishije. Nampenda sana mimi. Nampenda sana baraka ananitesa mimi. Hivi mnajua nilikuwa kama chizi. Nililia uku nikilalamika sana .na wazazi wakisikia . Sikujali ata kidogo. Nilikuwa nalia tuuu. Nillia mno. Mpaka nilipojisikia kunyamaza ndo nilinyaamaza mwenyewe kisha nikalala kabisaaa. Ila usingizi ulikata usiku kama saa 7 .mama alikuwa aita shakira shakira .nikasema abeee mama akasema fungua mlango mwanangu.

Basi nikasogelea mlango kisha nikafungua mama akaingia. Akanikuta nimechoka sana. Akaa kalibu na mimi. Akanishika mkono. Akanambia pole sana. Naomba nieleze nini kinaendelea kati yako na barkaa. Mimi nilisema mama .nisameheni mimi nampenda sana baraka.mama akanmbia sawa nielezeee. Nikasema nilianzisha mahusiano naye na alinambia akiludi tutakuwa pamoja nimngoje na atanioa tu .mama akanmbia mmewahi kufanya mapenzi. Mh apo nikakakataa nikasema hapana hatujawahi. Mama akasema sawa lakini shakira si unajua baraka ni kaka yako ama umesahau mwanangu? .nikabaki kimya. Mama akanmbia sikia niwambia ata uyo baraka hakupendi.mbona akimpigia baba yako hamuulizi chochote kihusu ww. Yeye anaangalia mamabo yake tu. So plsss naomba uache kulia na uendelee na maisha yako unanielewa nikasema lakini nampenda sana mama. Mama akasema achana nae .wewe tulia upate cheti chako ukaenze kujifunza urembo upambanie mambo yako sawa. Nikasema sawa mama. Basi maa akanikumbtia kisha akawa ananituliaza kwa mamaneno mazuri.nashukuru nikapoa tu. Na nikawa kawaida tu. Temper ikashuka kabisa. Nq hii siku mama akalala na mimi kabisaaaa.

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29



Mwandishi; lissa wa huru media

Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata shule nimefel pumbavu zake.nikaona aka ngoja bwana baraka mie. Basi nikawa binti mzuri nakwambia .yani ni mimi na nyumbani .nyumbani na mimi. Nikitoka ni dukani mala moja nimetumwa na sichelewi nishaludi home .ila sasa adrian na yeye alikuwa anakomaa kunifatilia jamani. Yani nilikuwa nikitoka nje nakutana nae sana .ila wala sikutaka upumbavu mie nikasema namngoja mpenzi wangu baraka.na kama.madihara ikakata miezi 3. Nikawa nangoja siku tu ni lini baraka analudi.

Siku...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-29

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sasa-nakupenda-sehemu-ya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

1K
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

231
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

195
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

147
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

139
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

131
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

9

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest