Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15
Gonga94 · Stories

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

.
🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida yake.

Iris akatabasamu na kusema “Good morning”

Mr. Marvel akajibu “Good morning”

I“Naweza kukaa?”

“Ndiyo, kaa”

Iris akakaa kwenye kiti karibu na meza ya Mr. Marvel. Akamtazama huku moyoni akimsifia jinsi alivyo handsome. Aliona kabisa ni type yake na wanaendana. Akajiuliza kwa nini hakumuona mapema mpaka Noela akapita nae🤔?

“Ok! Ndiyo, nikusaidie nini?” Mr Marvel akauliza

“Kuna kitu nataka kuzungumza na wewe”

“kuhusu nini?”

“kuhusu Noela. Najua anaishi kwenye nyumba yako”

Mr. Marvel akatabasamu “Mimi sitaki kusikia mambo ya Noela kwa sababu kila kitu kumhusu ninakijua”

“Hujui kila kitu, Mimi ni rafiki yake namjua vizuri sana. Taarifa zake zote ninazo hapa!”

“Chochote kile kuhusu yeye sitaki kukisikia, Especially ukiwa ni wewe ndo unae niambia”

“Najua hutaki, lakini lazima unisikilize. Noela si msichana mzuri. Alimuumiza sana mwanao, mpaka Salmon akaja kwangu kutafuta msaada. Najua unajua kuwa kuna kitu kilitokea kati yangu na Salmon. Ilikuwa ni makosa na ilitokea mara moja tu. Tena Ilitokea chini ya ushawishi wa pombe, Hakuna aliyekuwa na akili timamu. Najuta sana Na yote haya yasingetokea kama si Noela. Alimuumiza sana mtoto wako”

“Sasa unanisimulia haya kwa sababu gani? Nifanye nini na taarifa hizi?”🤷‍♀‍

“Ninakuambia ili ujue mimi si mtu mbaya, Mtu mbaya hapa ni Noela na Unatakiwa uwe makini naye. Najua unatumia pesa nyingi kwake, lakini hastahili”

Mr Marvel “Asante kwa taarifa” akiwa hajali kabisa.

Iris akashangaa mbona mwamba hata hashtuki?? Vyote alivyomwambia havijamtikisa hata kidogo. Ikabidi aongeze nguvu

“Mr. Marvel, mimi ni msichana mzuri sana. Sidhani kama mwanao atapenda kukuona upo karibu na ex wake. Itakuwaje akigundua kuwa wewe na Noela mnaishi nyumba moja?”

“Kinachoendelea kati yangu, Noela na mwana wangu havikuhusu! Also Najua namna ya kumshughulikia Salmon so thanks”

“Please usimuumize mwanao hivi, Anampenda Noela ujue??? Mwache awe naye kwani shi ngapi??? Mbona Mimi nipo hapa kwa ajili yako…… Naweza kukujali na kuwa na wewe zaidi ya anavyofanya Noela. Alafu mimi ni mtamuuu” akang’ata lipsi zake kimakusudi ila Mr Marvel ndo kwanza hana time zaidi ya kutabasamu.

Mpaka pale akawa kashapata uhakika ni kitu gani kilimpeleka Iris ofisini kwake. Kwanza akawaza ilikuaje Noela akawa na rafiki kama Iris??? Alitafakari mpaka akachoka.

“Wewe una wivu sana! Kwa nini unataka kila kitu alichonacho Noela? Kwanza ulimchukua Salmon kutoka kwake, ukalala naye na sasa umeona Noela anaishi vizuri bado unataka kumharibia!Why???”

“Hapana, hapana! Nilishakuambia, kilichotokea kati yangu na Salmon kilikuwa ni bahati mbaya”

“Kulala na boyfriend wa rafiki yako kwa miezi minne mfululizo unasema ni bahati mbaya? Kama ingetokea mara moja, ningeweza kusema kweli ni bahati mbaya! Lakini nyinyi mlifanya hivyo mpaka mkawa na uhusiano wa siri! Stop that”

“Kuna mtu alikuwa ananilazimisha. Haikuwa kwa hiari yangu”🥺

“Binti, Nina kazi nyingi za kufanya. Please toka ofisini kwangu na usirudi tena hapa na mambo ya kipuuzi”

“Mr. Marvel embu……embu…nitazame vizuri. Angalia jinsi nilivyo mrembo. Mwili wangu uko vizuri, tumbo flat Naweza kukupa mambo mpaka ukapagawa. Mimi ni mzuri kuliko Noela, Nitakuridhisha kitandani”

Iris akasimama na kuanza kujinengua mbele ya Mr. Marvel, akidhani atamtega kirahisi kama alivyo mtega Salmon.

Mr Marvel akachukia akaona kama Iris anampanda kichwani. Alipiga simu moja tu, walinzi wakaja kumtoa Iris juu juu kama mwenge na kwenda kumtupa nje🤣.

Baada ya kufukuzwa Iris akaapa kwamba hatokubali. Lazima atamwambia Salmon kila kitu kuhusu baba yake na Noela ili kama kukosa basi wakose wote.

Haya, ikafika tarehe 18 Agosti, siku ya birthday ya Noela. Kwa sababu alikuwa kwenye mitihani chuoni, alikuwa busy hivyo birthday yake haikuwa jambo kubwa sana kwake.

Lakini Mr. Marvel hakuweza kuiacha siku ipite bila kumfanyia kitu maalum. Alimpenda sana Noela na kumuona akiwa na furaha ilikuwa jambo kubwa kwake.

Siku hiyo, akaandaa chakula kizuri cha usiku kwenye hoteli yake nzuri kwa ajili yake na Noela tu.
Baada ya kuandaa kila kitu, akamtumia sms Noela

“Nimekuandalia surprise nzuri kwaajili ya birthday yako. Jiandae, leo usiku tunaenda dinner❤️💕”

Noela aliposoma ujumbe huo, akatabasamu. Alipomaliza mtihani tu akatoka darasani na kutembea haraka kuelekea parking ili arudi nyumbani mapema kwaajili ya kwenda kujiandaa. Lakini njiani akakutana na Salmon, akiwa na maua pamoja na boksi.

Noela akamuuliza, “Unataka nini tena jamai??? Please niachie”

“Nataka kukupa zawadi ya birthday”

“Sihitaji chochote kutoka kwako”😒

“Ni zawadi tu hakuna kingine. Kwa nini unaumiza hisia zangu hivi?”

“Siumizi hisia zako bali unajiumiza mwenyewe. Kubali tu kwamba sitaki tena kuwa na wewe then Endelea na maisha yako. Mbona ni simple ivo”

Salmon akavuta pumzi, akamtazama Noela kisha akampisha apite sababu hata angesema kitu gani, Noela asinge zipokea zawadi zake.

Alipokuwa amesimama pale, Iris akamfuata akitaka waongee.

“Please Unaweza kuniacha peke yangu? Nina mambo mengi kichwani”

Iris akacheka “skia Sitaki chochote kutoka kwako, nataka tu tuzungumze”

“Kuhusu nini? Nimeshakuambia kaa mbali na mimi!”😡

“Najua na huna haja ya kunikumbusha kila mara. Nilikuwa nataka kukuambia, kama una nafasi tunaweza kutoka pamoja leo usiku”

“Una kichaa wewe sio bure! Unavyo niona nipo kama nina mood ya kutoka na wewe?”

“Kheee! Sikiliza vizuri, Hata mimi sitaki chochote kutoka kwako nina mipango yangu saa izi! Nataka tu kutoka na wewe ili nikuonyeshe kitu kuhusu Noela. Kama hutaki napo ni sawa ila jua tu kitakulamba mpaka uchanganyikiwe”

“Unamaanisha nini? Unataka kuniambia nini kuhusu Noela?” Salmon alikua na shauku sana ya kutaka kujua🤔

“Nitakuambia na kukuonyesha kila kitu leo usiku. Jiandae, tutaenda pamoja”Baada ya kusema hivyo, Iris akaondoka.

Salmon akabaki anajiuliza anataka kuonyeshwa nini tena kuhusu Noela??? Hakutaka kutoka na Iris, lakini hakuwa na chaguo baada ya kutishwa kiasi kile.

Basi Usiku huo, Noela alikuwa amejiandaa vizuri kutoka na Mr. Marvel. Alikuwa amevaa gauni jekundu na viatu vyeusi! Weeeh alikua kama malaika.

Sema wapendwa mbali na utipwa tipwa, Noela ni mrembo sana na kale ka uso kake ka kitoto kalimfanya avutie zaidi. Mr. Marvel hakuchoka kumtazama kila dakika😍

Walienda hotelini, wakapokelewa na maua kisha mhudumu akawapeleka kwenye meza yao juu kabisa ghorofani ambapo huko ndipo kila kitu kilitakiwa kufanyika.

Huko kulikuwa na mtu anapiga piano na wengine wachache waliokua wanapata dinner na wapendwa wao.

Noela Akamtazama Mr. Marvel na kumuuliza “Umeandaa yote haya kwa ajili yangu?”🥺

“Ndiyo, kwa ajili yako tu. Ili Kuonyesha kwamba birthday yako ni muhimu”

Noela akasema “Asante” kisha akamkumbatia🫂.

Mara Ghafla wakasikia sauti nyuma yao. Walipogeuka, wakamuona Salmon na Iris wamesimama pale🔥.

Mambo yameiva sasa… Nakuja.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15


.
🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋

Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida yake.

Iris akatabasamu na kusema “Good morning”

Mr. Marvel akajibu “Good morning”

I“Naweza kukaa?”

“Ndiyo, kaa”

Iris akakaa kwenye kiti karibu na meza ya Mr. Marvel. Akamtazama huku moyoni akimsifia jinsi alivyo handsome. Aliona kabisa ni type yake na wanaendana. Akajiuliza kwa nini hakumuona mapema mpaka Noela akapita nae🤔?

“Ok! Ndiyo, nikusaidie nini?” Mr Marvel akauliza

“Kuna kitu nataka kuzungumza na wewe”

“kuhusu nini?”

“kuhusu Noela. Najua anaishi kwenye nyumba yako”

Mr. Marvel akatabasamu “Mimi sitaki kusikia mambo ya Noela...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 13
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32

883
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33

761
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

490
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

161
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

152
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

140
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

88
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

86
UTANIITA SHEMEJI   SEHEMU YA 20

UTANIITA SHEMEJI SEHEMU YA 20

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.58K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.32K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.26K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.81K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.7K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Iran imezindua mlolongo wa mashambulizi Mashariki ya Kati, ikiwashambulia Iraq, Qatar, Saudi Arabia na Israel Post Mpya
Iran imezindua mlolongo wa mashambulizi Mashariki ya Kati, ikiwashambulia Iraq, Qatar, Saudi Arabia na Israel
@majario LIVE

. Shambulizi hizi zimeacha eneo hilo likiwa na moto na hofu. Shambulizi Iraq Ndege zisizo na rubani (drones) zimeangukia kwenye vituo vya mafuta na viwanja vya ndege. Wanajeshi wa Marekani walisababisha mashambulizi kadhaa...

UTANIITA SHEMEJI   SEHEMU YA 20 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Macho waliyo angaliana kipindi anaondoka yalinifanya nikabaki nasema moyoni ohooo it about to down 🥲. Samuel baada ya kuondoka Alvin alinifuata na kufika ananikwapua foil ilikuwa na nayama na kutupa...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 19 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Mda ulienda na ratiba zangu zikisonga kama kawaida, jioni ikafika Samuel akatoka kazini ,naona leo mood yake ilikuwa vizuri maana alifika karibu yangu akasimama na kunisalimia . Kisirani nilichokua...

.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 14 Post Mpya
.TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 14
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Licha ya kukataliwa mara kadhaa, Salmon hakukata tamaa. Alikuwa anamfuata Noela chuoni kila mara ili ambembeleze. Pia alikuwa anampigia simu na kumtumia sms kiasi kwamba Noela akaamua kubadilisha namba ili...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest