Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna. Uyu mwanaume kazi yake ni kuzalisha tu, na kuhudumia, tena kuhudumia kwenyewe mda mwengine fujo, mpaka namfta kufata pesa ya matumizi ya mtoto, uyu bwana kukaata mimba hawez ila utakoma na utajuta kuzaa nae maraya uyu, apo zena akasimama akasema kwani wewe umezaa na millan, mama ahmed aksema sio mm tu, uyu mshenzi ana watot watano uyo anaekuja kama mimba yako ya uyu baba, sijuh atakuwa wasita sijuh wa 7 ,na alivyo mbwa uyu baba kila mtoto anazaa na mama akeeee, kumbe umebeba mimba bwana humjuhi vizuri mbavu zangu mieeeee,

Dooih ap nikaona mama.ahmed atazidi kunihalibia ,nilimsogelea nikamtandika kofi moja tu, ananijua akaanguka mpk chini, alivyoinuka apo hakuuliza pesa ya mtumizi wala ya nini, akaenda kusimama getini, anachamba et ata ukunipiga ndo nishamwmabia kweli mwanamke wako ,wewe ni mwanaume wakuchezea wanawake na kuwaharibia mipango yao, ila sio mwanaume muoaje lione kwanza kipolisi lizima halina akiri, polisi jinga kabisaaa wewe. Nyieeee namuangalia zena ananingalia kwa hasira , ahaaa asa nafanyahe ndo kashajua, basi zena akingia ndani kwa hasira, nami nikaingia nikamkuta kakaa kwenye sofa sebleni ,kisha akaniuliza ni kweli juu ya ayo aloongea uyu dada, nikasema ndio ni kweli nna watoto wa 5 na uyo anaekuja kutoka kwako ni wa 6, zena akanmbia we baba mbona mshenzi hivyo, si nilishakuliza uko nyuma kuwa una watoo ama huna,ukanikataliwa kuwa huna , kumbe umezalisha wanawake watano millan, mbona sioni future yangu kwako

Nikasema kwani shida nini zena juu ya watot, mi sijawahi kukataa mtoto ata siku moja, na ata uyo anaekuja kwako nitamuhudumia tu, so kipengele kinatoka wapi, wewe lea mimba ,mimi ntahudumia, zena akanmbia millan , kwaiyo kumbe ulikuwa unanaidanganya sio, unazani kama ungenambia umezalisha wanawake watano mimi ningekuwa na wewe, we ni mwanaume muongo sana millan, najuta sasa kuwa na wewe, nikasema sasa unajuata nini kwani wewe unahudumiwa na wanangu ama na mimi, mimi ndo nitahudumia iyo mimba na mpaka unajifungua so kelele sitaki, unazani mi ningekueleza ukweli mi ningekupata wewe , no sitaki kelele bwana kwanza kichwa changu kina mambo mengi ya maana, zena akanmbia ooh so hili jambo ni la kipumbavuz nikasema zena mi sibishanagi sna na wanawake mana sio mtoto wa kike, so naomba unyamaze, mh zena akanyanyuka kwa hsira akaenda chumbani , kisha baada ya mda akatoka kashavaa akbeba na kila kitu chake, et aanaondoka asa mi namzuiaje kwa mfano, nikamuacha aendee tu ,hasira zikitulia tutaongea na uzuri mimi ndo baba wa mzigo wake na haikwepeki hiyooooo🫡🫡🫡🫡🫡

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33


Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna. Uyu mwanaume kazi yake ni kuzalisha tu, na kuhudumia, tena kuhudumia kwenyewe mda mwengine fujo, mpaka namfta kufata pesa ya matumizi ya mtoto, uyu bwana kukaata mimba hawez ila utakoma na utajuta kuzaa nae maraya uyu, apo zena akasimama akasema kwani wewe umezaa na millan, mama ahmed aksema sio mm tu, uyu mshenzi ana watot watano uyo anaekuja kama mimba yako ya uyu baba, sijuh atakuwa wasita sijuh...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-33

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

248
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

90
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

53
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

50
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

48
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

47

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest