Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
10 Mar 2026
57 views
VYOTE NDANI GONGA94
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA..........
Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini.
"Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe. Ila uma......laya bhana ๐๐๐.
Baada ya muda tulikuwa ndani ya gari nilimpeleka madame Yustar kazini kwake. Alinikumbushia suala la jana kuhusu kufunga ndoa.
"Nilikuwa nimelewa sawa ila nilimaanisha kile nilichoxungumza. Nahitaji ndoa nimechoka kujibana na wewe" Nilikaa kimya hata nisijue nimjibu nini.
Mimi tayari ni mume wa mtu na baba mtoto. Naipenda sana familia yangu na sijawai kuwaza kuachana na mke wangu, nampenda sana mama Hinaya.
"Mbona hujibu Leo?"
"Huyu sijui nimwambie tu ukweli leo.ila muda bado naweza nikaharibu mipango yote"
"Sawa nimekuelewa, hili jambo yulipe muda tutalizungumza na kukipanga kwanutulivu maana ni jambo kubwa"
"Unazungumzia jambo kubwa gani mbele ya pesa. Wenye pesa hatunaga mambo makubwa tukihitaji ndoa masaa 24 ni mengi" madame Yustar aliongea hayo.
"Lazima familia zifahamu ndo maana nimesema tutaongea kwa utulivu kuoanga kila kitu. Kumbuka familia yangu mimi ipo mkoani"
"Okay sawa basi badae tukutane hotelini kwaajili ya msxungumzo nahitaji hili jambo lifanyie kwa haraka maana nahisi hatari ya kukupoteza"
"Usijali mpenzi wangu. Mimi ni wako tu"
Nikimfikisha kazini kwake na mie nikaelekea kazini. Majira ya saa sita mchana Mellisa alikuja ofisini kwangu.
"Mbona upo hapa muda huu?"
"Ahadi ni deni. Funga ofisi nakuhitaji siku ya leo tuitumie pamoja" Mellisa aliongea.
"Hivi Mellisa upo sawa kweli?"
"Nimechizika na penzi lako nielewe tu au mpaka nivue nguo mbele za watu ndo utanielewa?"
"Huu ni muda wa kazi Mellisa kwanini unakuwa hivyo?"
"Aliyekuajili ni mama yangu, hizi ni mali zangu mimi, utafunga au haufiki?" Mellisa aliongea hayo huku akiwa amekaza sauti na macho yake hayakuonyesha mdhaha.
Nilitii nilifunga ofisi. Kwa pamoja tuliomgozana mpaka hotelini. Kabda ya kuchukua room tulihitaji kupata chakula kwanza.
Tukiwa tumekaa sehemu tunasubilia chakula huku tunapiga Story mbali mbali, nyuso zetu zikiwa zimepambwa na tabasamu kumbe upande wa pili kuna mmama mtu mzima alikuwa anatushangaa kama vile anatufananisha.
Alimpigia madame Yustar.
"Hivi binti yako bado yupo nje ya nchi?"
"Mbona kama kuna taarifa unataka kunipa. Zungumza hakuna haja ya kupita njia ndefu.
"Basi muda huu nipo hotelini nakuona binti yako akiwa na kijana na wanaonekana kuwa ni wapenzi"
"Labda kama kuna chengine unaweza kuniambia?"
"Hilo si la maana?"
"Mellisa ana mtoto gani mpaka nishangazwe na yeye kuwa na mwanaume?, vipi huko nje ya nchi najua alikuwa anaishi vipi?, anafaa kuwa mke wa mtu kwa sasa. Asante kwa taarifa ila punguza kufuatilia maisha ya watu"
"Ila mwanaume aliye nae ni yule kijana," kabda hajamaliza kuongea Madame Yustar alikata simu hakutaka kuendelea kumsikiliza huyo shoga kidawa wake. Kwanza anamjua rafiki yake ni mbea sana.
Hiyo ndo ilikuwa pona yangu mimi. Basi baada ya kumaliza kula tuliingia room kupeana mavituzi๐๐๐๐.........
ITAENDELEA..........
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. ...
31 MPAKA 32 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
ENDELEA..........
Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini.
"Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe. Ila uma......laya bhana ๐๐๐.
Baada ya muda tulikuwa ndani ya gari nilimpeleka madame Yustar kazini kwake. Alinikumbushia suala la jana kuhusu kufunga ndoa.
"Nilikuwa nimelewa sawa ila nilimaanisha kile nilichoxungumza. Nahitaji ndoa nimechoka kujibana na wewe" Nilikaa kimya hata nisijue nimjibu nini.
Mimi tayari ni mume wa mtu na baba mtoto. Naipenda sana familia yangu na sijawai kuwaza kuachana na mke wangu, nampenda sana mama Hinaya.
"Mbona hujibu Leo?"
"Huyu sijui nimwambie tu ukweli leo.ila...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya-15
Maoni