Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
Gonga94 · Stories

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MTUNZI uhuru media

Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema .
" Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu?
" Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr. Maana Mimi mwenyewe sijui kwanini nipo hapa?
" Siamini Kama nimekuona kwa Mara nyingine Tena nyumbani kwangu, kwahiyo wewe ndio binti uliewekwa rehani na Zuri? Alisema Nicky Kisha akamkonyeza na kumfanya pink ainamishe macho yake chini.

Pink alizidi kuogopa maana Nicky alikuwa anamuangalia Sana na alihisi anaweza kumfanyia chochote. Aliendelea kumuomba Mungu kimnya kimnya. Baada ya Nicky kumuangalia kwa muda akasema .
" Acha nikuache upumzike Sina haraka na wewe. Alivyosema hivyo alitoka na wale wanaume wawili.
Pink alienda kukaa kitandani huku akiwa Ni mwingi wa mawazo alikuwa anafikiria afanye Nini ili atoke Ile sehemu maana alihisi sio salama kwake.
" Eee Mungu nakuomba umsaidie dada Zuri apate pesa kwaajili ya kunitia hii sehemu sitaki kukaa hapa.
Nicky alikaa sehemu akawa anakumbuka tulia alilofanyiwana pink .

Siku moja pink alikuwa yupo barabarani na rafiki zake wa mitaani wakiwa wanakula ice cream Mara wakapishana na Nicky akiwa anaendesha gari lake akawapita na kuwamwagia maji machafu kwa hasira pink alisema
" Mjinga uliekosa akili kwani huoni macho yako Yapo kisogoni? Nicky alipofika mbele kidogo akamsimamisha gari Kisha akarudisha gari mpaka walipo akashuka .
" Nyie Malaya mnasenaje?
" Wewe sisi sio Malaya, Malaya wewe na ukoo wako. Pink na wenzake waliendelea kutukanana na Nicky. Pink alimsogelea na kumpaka ice cream kwenye shati lake jeupe kile kitendo kilinikera Sana Nicky kwasababu alikuwa anaenda sehemu muhimu Sana hivyo ilimbidi aahirishe hiyo safari akarudi nyumbani .

" Sasa huu Ni wakati wa kulipiza kusasi changu maana ameungua mwenyewe kwenye 18 zangu.
Siku hiyo ilipita pink alihudumia kwa kila kitu na ilipofika usiku alilala akiwa salama kabisa.

Kesho yake asubuhi Nicky alienda chumbani kwa pink akamkuta bado kalala fofofo. Nicky alichukua saa iliyotegesha alam na kuiweka sikuoni kwa pink, saa ikaanza kupiga kelele kwa sauti kubwa na kusababisha pink akurupuke na kuangukia upande wa pili. Nicky alicheka Sana mpaka pink akaona aibu.
" Hey, habu toa uvivu wako hapa unalala mpaka saizi una Raha gani?
" Samahani.
" Unafikiri upo hapa kwaajili ya kulala, huko nje Kuna kazi nyingi za kufanya habu nifuate.

Pink alimfuata nyuma mpaka walipofika nje kwenye bustani ya mauwa Nicky akasimama na pink nae akasimama. Nicky aliagizia kwanja kwa kijana wake wa bustani Kisha akamtupia , pink akakwepa.
" Okota Hilo kwanja na uanze kukata huo ukoka akikisha unasawazisha na kuwa sawa.
" Nini, Mimi sijawahi kufanya kazi Kama hizi.
" Hebu acha ujinga uliwezaje kunipaka ice cream na ushindwe kufyeka, huwa najua wababe huwa hawashindwi kazi nataka kazi ifanyike. Pink aliokota kwanja na kujaribu kufyeka masikini ya Mungu hakujua hata kulishika Hilo kwanja lakini Nicky hakujali aliondoka na kuingia ndani huku akisema
" Huu Ni mwanzo wa mateso yako pink utakuwa mtumwa wangu mpaka nitakapotosheka maana najua Zuri hawezi kuleta pesa zangu mapema.
Nicky alienda kukaa kwenye dirisha la chumbani kwake akawa anamuangalia pink anavyohangaika kufyeka.

Pink aliendelea kufyeka. Mpaka akahisi kuchoka na bustani hakufika hata nusu. Alienda kutegemea kwenye mti huku tumbo likiwa linamsokota kwa njaa. Baada ya masaa matano alikuwa kamaliza na mikono ilijaa malengelenge.

Aliingia ndani akamkuta yupo sebleni anaangalia movie, alimpita akiwa anaelekea kwenye chumba chake. Mara akaitwa
" Pink . Pink alisimama akaitika
" Abee
" Nenda jikoni ukaniandalie chakula.
Pink alingata meno kwa hasira alitamani kwenda kumrukia amkabe Ile shingo yake.
" Lakini ungeniacha nipumzike kidogo nimechoka.
Nick alimgeukia na kumuangalia huku akiwa kakunja sura yake .

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2



MTUNZI uhuru media

Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema .
" Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu?
" Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr. Maana Mimi mwenyewe sijui kwanini nipo hapa?
" Siamini Kama nimekuona kwa Mara nyingine Tena nyumbani kwangu, kwahiyo wewe ndio binti uliewekwa rehani na Zuri? Alisema Nicky Kisha akamkonyeza na kumfanya pink ainamishe macho yake chini.

Pink alizidi kuogopa maana Nicky alikuwa anamuangalia Sana na alihisi anaweza kumfanyia chochote. Aliendelea kumuomba Mungu kimnya kimnya. Baada ya Nicky kumuangalia kwa muda akasema .
" Acha nikuache upumzike Sina haraka na wewe. Alivyosema hivyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/acha-nikupende-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi acha-nikupende
ACHA NIKUPENDE ❤️1
ACHA NIKUPENDE ❤️1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

244
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

181
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

74
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

71
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

43
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest