Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 *LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII*      *Chapter 14&15*  Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea
Gonga94 ยท Stories

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
utadhani chizi kaona bia mpya, alikaa huko sijui waliongea kitu gani mimi na imagination yangu nipo busy naendelea kuimagine jinsi nitakavyokuwa najishongondoaa hukoo uwil mama misifa miee full kuimagine hapo ambae angeniona angekufa kwa kucheka haki ya Mungu mara nashangaa mama anaingia ndani

"We mjinga mwenzako anakusubiri hukoo nje haya wewe hata hujajiandaa utaenda kuchagua hivyoo vitu umevaa hivyoo hebu wahi mjinga wewe, ila wewe mhhh haya inukaa lione zembe kwel" nilichukiaa yaani ananiambia hivyoo wakati mimi hapayeye kaniumiza ndio kafanya hata nisitoke afu ananichamba nilimkata hilo jichoo la we haya endelea nikaondoka zangu kuingia ndani kujiandaa nilivaa zangu baibui langu jeusi na mtandio mweusi kwa kuficha mialama yangu, alionisababisha huyu mama yangu bi Aysher Shadol, na ila nilipendeza kutokana na msaada ya asili yangu na urembo wangu wa kitanzania jumlisha Iraq basi nilinoga balaa, nilijua kama nimenoga baada ya kuwa kwanzia natoka mlangoni mpaka nafika kwenye gari langu Lecturer ni ananitizama tu kwa macho ya kutamaushwa nilijua tu nimependeza, nilifika kwenye gari nikafunguliwa mlango jamani nilijona kama vile princess jaman mhh nikakaa nae siti ya mbele "umependeza sana malkia wangu, ungekuwa unavaa hivi hivi kila siku ungeonekana mrembo zaidi mpenzi wangu" nilimtizama tu nikatabasamu basi hapo ni nina sifiwa njia nzima mpaka nasikia sasa kero japo nilikuwa napenda ila ilikuwa dakika 5 kanisifia, dakiak 5 zingine kanisifiaa tena basi nilijihisi mimi ni malaika Wallah japo kuna muda nilihisi ananikera mimi duuh..

Tulienda sehemu moja kam mall kubwa hasa pale kila kitu kina bei aliniambia nichague kila ninachokitaka nikabaki namshangaa alitabasamu akanambia tu niwe huru kuchagua nisiogope kitu vyote ni mali yangu, awe hapo nilitmani hata watu wote mtoke duniani nibaki mimi.na Lecturer wangu jamani mnisamehe tu ila ndio nilivyowaza akilini mwangu hhh mi nae sometimes ni kama vile navuta bangi

Tulichagua vitu vingii jamani mpaka nikawa nasema sijui kama kwenye buti vitatosha maana nilikuwa naviona ni vingi mnoo Wallah, maan kulikuwa na vitu vya kula, nguo, pia alive quest sehem moja hiv papo keko pale kwenye furniture wapeleke nyumbani mimi hiyo sikujua ila niliona niliporudi nyumbani, huyu kaka aliamua. kunifanyia shopping jamani mmmmh jaman maan tu vile vitu viligharimu pesa nyingi bado hizo furniture japo sikuona alipokuwa analipa maan alikuwa analipa kwa njia ya kuscan na

Tulitoka hapo akanipeleka kule ambapo alisema nikafanye kazi, nilitambulishwa sikuwa najua kama hata ile ni hospitali yake niliwekwa kitengo cha madawa, kumbe hata pale chuo yeye amekuja kama kusaidiaa tu kutufuaa sisi wanafunzi wa mwaka wa tatu japo hapo mimi nishatoka kwenye sisi, nilikuwa nashangaa moyoni nikajua tu anavitu vingine kuachana na hivi, tulipo maliza huko tulienda sehemu ya kula huko nilimuuliza kuhusu maisha yake binafsi maan mimi siwezi kuolewa na mtu nisiyejua maisha yake

Alinambia kwamba yeye hana wazazi na amelelewa kweny kituo cha watoto yatima hivyo kasomeshwa na wasamalia wema, ila kupitiaa elimu yake yeye alifanikiwa aliishia hapo hakuezeaa zaidi nilimuonea huruma sana maana hta kwenye ndoa alisema atakuja kufatilia msimamizi wa kwenye kile kituo alichokulia, maan ndio kam mzazi wake nilijikuta nazod kumpenda jamni ila sikuuliza kuhusu swala la mahusiano wala nini mimi sikutaka kujua kuhusu hayoo, baada ya hapo alinirudisha nyumbani, tuliagana na mambo mengine yakaishia hapo, nikaingia ndani kwetu na yeye akaondoka zake

Itaendelea......
Tangazo - mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
mjeda inauma siwezi vumilia 1 to 20 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *Chapter 14&15* Alitoka nje na kuniacha mimi ndani nipo najichekea chekea

utadhani chizi kaona bia mpya, alikaa huko sijui waliongea kitu gani mimi na imagination yangu nipo busy naendelea kuimagine jinsi nitakavyokuwa najishongondoaa hukoo uwil mama misifa miee full kuimagine hapo ambae angeniona angekufa kwa kucheka haki ya Mungu mara nashangaa mama anaingia ndani

"We mjinga mwenzako anakusubiri hukoo nje haya wewe hata hujajiandaa utaenda kuchagua hivyoo vitu umevaa hivyoo hebu wahi mjinga wewe, ila wewe mhhh haya inukaa lione zembe kwel" nilichukiaa yaani ananiambia hivyoo wakati mimi hapayeye kaniumiza ndio kafanya hata nisitoke afu ananichamba nilimkata hilo jichoo la we haya endelea nikaondoka zangu kuingia ndani kujiandaa nilivaa zangu baibui...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter-14-15-alitoka-nje-na-kuniacha-mimi-ndani-nipo-najichekea-cheke

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII   Chapter 17  Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 17 Nilikuja kuzinduka najiona nipo hospitali tayri
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18  mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII Chapter 18 mtihani mkubwa sana ambao hata wewe kuusolve
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8  Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 8 Nilililegeaa mara kumi yake jamani huyu mkaka hapana anajua bwana kwa kujua tu anajua
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12  Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 12 Niliingia ndani, mama alikuwa ananisubiri kwa hamu kweli maana
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10  Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13  Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 13 Hyo siku ilipita na Lecturer hakuja alinambia tu hakupata muda na kesho
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7  "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 7 "Ndio nakupendaa, na nipo tayari kuthibitisha hiloo kwako, msichana wa kiarabu
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9  Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 9 Nililala mpaka asubuhi, ila niliwahi kuamka mimi wa kwanza kuliko lecturer, nilikaa nikaanza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest