VYOTE NDANI GONGA94
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Nikamuuliza Albert unaniachaje iv Kwa mara ya kwanz akaniita mke ,
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akasema mke samahan Kuna watu wanakuja kuvamia
kwaiyo Sina budi kuiliΓ±d imaya yangu.
Daaah nilikaairika sana na yeye mwenyw
alijua nimekasirika alivoondoka nikabaki nasonya Sonya mwenyw kama sina akili nzurπ.
Muda ukaenda adi ikafika saa tisa mtu hajarudi ,nikaona we usintanie Kwan ofisini kwake sipajui .nikavaa koti ya night dress nikamfata ukouko ofini .
Nikamkuta ,ndo wanamalizia kupanga mikakati.
Alivyoniona tu akafunga kikao ,nakuamuru .
watu wake waondoke,
Mimi sio mtu wa karibU na Alberto Sanaa ila Kwa sasa nilimuona hayupo sawa kabisa Yani maaana alionekana
anastress.
Sikutaka atakumuuliza sababu nikamwafata
nikakaa mezani kwake alafu nikamlza kifuani ,
nikawa kama nambembeleza flani iv ,kumbe kwel
anajifanya mgumu ila alikuw anaehitaji sana iki ninachokifanya .
Nilivokuwa nimemkumbatia nikaskia Kam anavuta mafua iv ,ila anajikaza asilie ,maana yeye ni Mafia haruhusiw kulia Tena mbele ya walinz wake .
Nikaamuru walinzi wote watoke nibak na mume wangu ,walivyoondoka tuu na yeye akaanza kulia π,alilia sana ,kazi yangu ikawa kumbembeleza tuu .
Baadae alivokaa sawa sikumuuliza ila yeye mwenyew akaamua kuniambia kwamba siku Kam ya Leo ndo siku watu walivamiaga kwake na wakamuua mama ake ,na Leo ivoivo wamekuja Tena ao watu ,ndo kitu kilichomuuhuzuni
ila waliweza kuwa zuia Kwa kupanga ulinzi mathubuti.
sana
Alivyosema ivo mume wangu nikamkombatia tukapitia na kausingizi uku nimemkombatia kama baba angu mzaziπππ
Itaendelea.....
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-___________________________________-sehemu-ya